Hapa wana CDM mnagawanywa hamjijui. Subiri wakati ukifika haya yote yatajulikana tu.
Hayo ni baadhi ya maneno na kauli za wananchi wa maeneo mbalimbali nchini. Ikiwemo Dar,Mwanza,Tabora.Kigoma,shinyanga,singida,manyara,Arusha,Kilimanjaro,Tanga.mbeya,Iringa,Dodoma,Sumbawanga,Morogoro,Mtwara,nk. Katika mikoa hiyo watu saba kati ya kumi wanadai katibu mkuu wa chadema taifa asipopitishwa na chama chake 2015 katika uchaguzi mkuu.basi kura zao watatoa kwa chama kingine. Kwa kile wanachokiita uadilifu wa kiongozi huyo na msimamo(standpoint) wa kiongozi huyo wa chama cha demokrasia na maendeleo ambaye amekuwa akifanya kazi ya ziada katika maeneo mengi nchini. Kwa elimu ya uraia pamoja na serikali kwa ujumla kitu ambacho ni nadra sana kwa kiongozi mwingine ndani ya cdm. Wakizungumza na wawakilishi wa shirika la utafiti wa wa save the childrens tanzania bwana haroun mafuru mkoani lindi wiki ,alisema Ni vizuri kwa wananchi na jamii kwa ujumla kuamua ni nani wanataka kumtuma akawatetee katika taifa lao. Na vile vile si dhambi kuonyesha ni nani wanayempendeza awe rais wao ifikapo 2015!
We ni muongo kwa maelezo yako tu unaonyesha hata akisimama slaa hutompa! Kwanini useme haraka tu uko radhi kumpa kura yako hata lusinde na nape kwani wao umeupima wapi uzalendo wao? Nyie ndo uvccm mnaoleta mijadala ya namna hii kuwagawa wana cdmMimi ni miongoni mwa hao kama Dr.slaa hatapitishwa nitapigia kula ccm hata kama wamsimamishe Lusinde au Nape huo ndo ukweli wangu toka Moyoni mwangu c mbowe wala Zzk ambaye anaweza akaufikia uadilifu wa Dr.slaa na misimamo yake! Dr.slaa ndiye atakaye tusaidia kuipata
Tanzania tunayoitaka.
mimi mwenyewe nitawapigia ccm kura
hao kama wamesema hivo hawana maana, mwanachama na mpenzi wa chadema na mageuzi nchini anatakiwa akubali maamuzi ya kidemokrasia ya chama! kama kwenye kura za kupata mpeperusha bendera ya chadema akapatikana mtu mwingine ambaye sio Slaa hawaheshimu maamuzi hayo??mwisho wa siku inatakiwa chama kwanza mtu baadae!!
Hii hoja hapa si mahali pake, utafiti wako ingekuwa bora unge-present katika vikao vya uteuzi vya chama chako wakati utakapofika, kama unakipenda chama chako tafadhali tangaza sera kwa sasa!
mimi ni among wale undecided voters sijajua nitampigia kura nani..nataka nisubiri wagombea wa ccm na cdm watakua ni nani then ntajua hapo...chadema ngoma iko kwao..wao ndio wana uwezo wa kuitoa madarakani ccm au kuibakiza pale hasa itategemea na nani watamweka kama mgombea wao...wakimweka mtu magumashi tu ccm inashinda tena kwa kishindo na cdm hapo itakua kama nccr mageuzi na cuf..they will never recover...[/kamwe cdm haiwez kuwa kama makabwela cuf
wewe sasa ndio undandia treni kwa mbele maana hapa tulikuwa tunajadili swala la chadema na uteuzi wa mgombea wapo wanaosema bila slaa watapigia chama kingine kura ndio maana nikasema chama kwanza mtu baadae ila yanapokuja maswala ya kitaifa huwa inatakiwa utaifa kwanza chama baadae so kabla ya kurukia kuchangia ujue mtu anachangia hoja kutoka kwenye context ipi??Hapana kabisa, Nchi kwanza na chama baadae. Mimi nafikiri ni wakati wa kukomaa kisiasa na kutofanya majaribio tena kwani yametugharimu sana. Ninatambua siasa za chadema kuwa ni tofauti na za CCM. Hao wanaoleta siasa za CCM Chadema, sisi tunaojali nchi kwanza tutawakataa. Maana CCM kwa sasa hawalali wanasaka urais na kujitangaza kuwa wanataka urais. Huu utamatuni wa CCM unaletwa Chadema na watu wenye uchu na madaraka kama wale wa CCM. Sisi wananchi wa kawaida kabisa tunashindwa tofautisha hao wanaojitangaza chadema na wale mafisadi wa CCM. Tunasikia "MIMI SIGOMBEI UBUNGE TENA NITAPEPERUSHA BENDERA KWA KUPITIA CHAMA FULANI". Haina maana, tumikia wananchi wako si muda muafaka wa kutuonesha kua unauchu wa madaraka kiasi hicho. Urais Chadema tunajua kua si wa kugombea kama CCM, sisi wananchi wa kawaida tunachojua Chadema wanamuomba mtu agombee uraisi baada ya kujua kua anahitajiwa na wananchi na hii ndo peoples power. Wanojitangaza kua wanataka urais kupitia Chadema kwa sasa tunawaona Ni magamba tu hata kama wameanza kukutumikia Chadema toka wakiwa na miaka miwili haijalishi. Chadema ni chama mbadala na ni lazima kiwe na utafauti na CCM. Kama kinafanana na CCM hakuna haja ya kukibadili CCM.
Nahidi watu wengine wametumwa ili kukigawa CHADEMA, KUWENI MAKINI SANA.[ wananch hawawez kukigawa chama bali viongoz
hao kama wamesema hivo hawana maana, mwanachama na mpenzi wa chadema na mageuzi nchini anatakiwa akubali maamuzi ya kidemokrasia ya chama! kama kwenye kura za kupata mpeperusha bendera ya chadema akapatikana mtu mwingine ambaye sio Slaa hawaheshimu maamuzi hayo??mwisho wa siku inatakiwa chama kwanza mtu baadae!!
Hayo ni baadhi ya maneno na kauli za wananchi wa maeneo mbalimbali nchini. Ikiwemo Dar,Mwanza,Tabora.Kigoma,shinyanga,singida,manyara,Arusha,Kilimanjaro,Tanga.mbeya,Iringa,Dodoma,Sumbawanga,Morogoro,Mtwara,nk. Katika mikoa hiyo watu saba kati ya kumi wanadai katibu mkuu wa chadema taifa asipopitishwa na chama chake 2015 katika uchaguzi mkuu.basi kura zao watatoa kwa chama kingine. Kwa kile wanachokiita uadilifu wa kiongozi huyo na msimamo(standpoint) wa kiongozi huyo wa chama cha demokrasia na maendeleo ambaye amekuwa akifanya kazi ya ziada katika maeneo mengi nchini. Kwa elimu ya uraia pamoja na serikali kwa ujumla kitu ambacho ni nadra sana kwa kiongozi mwingine ndani ya cdm. Wakizungumza na wawakilishi wa shirika la utafiti wa wa save the childrens tanzania bwana haroun mafuru mkoani lindi wiki ,alisema Ni vizuri kwa wananchi na jamii kwa ujumla kuamua ni nani wanataka kumtuma akawatetee katika taifa lao. Na vile vile si dhambi kuonyesha ni nani wanayempendeza awe rais wao ifikapo 2015!
Bila shaka Wewe ni ZZK