Dr W. P. Slaa asafishiwa njia Kyela

Hili jembe lazima agombee 2015; Kabla ya 2010 zitto alisema hatagombea Kigoma, lakini aligombea, so hizi ni mbinu za siasa
 
loh, hizi picha ni za wakati wa uchaguzi mkuu 2010 acheni kuwwhadaa watanzania

KUANGALI PICHA HUJUHI BASI HATA KUSOMA ? HUONI HAPO NI TAREHE NGAPI?

attachment.php
 
Navua rasmi magamba nataka kuvaa magwanda,nitapataje kadi ya uanahama M4C???
 
Hili jembe lazima agombee 2015; Kabla ya 2010 zitto alisema hatagombea Kigoma, lakini aligombea, so hizi ni mbinu za siasa

Kyela tumechoka na "wageni"kutuchukulia Ubunge wetu!Dr Mwakyembe kwake ni Dar;Mwanyamaki kwake ni Dar!Mwakipesile kwake kulikuwa Dar!

Ni Jimbo la Kyela lkn always huwa linaongozwa na mwana Kyela anayeishi Dar na wakichaguliwa tu huwa wanatutupa!2015 hatukubali na lzm mwenyeji achukue jimbo!

Nilikwisha tangaza kugombea na sijabadili nia na nitashinda dhidi ya wageni hawa!CHADEMA ndiyo sisi tunaoijenga Kyela sio hawa wa msimu!
 
Hapa naona ni huyu MWanyamaki ndio anajisafishia njia!
Mbona naona neno MABADIRIKO huko ni Kyela kweli au Tarime?
 
Back
Top Bottom