Dr. Vincent Mashinji amesema muda huu mawakala wao wamepewa viapo, tayari kusimamia na kuhakikisha upigaji kura .

Angesema walipewa viapo lini
Itakuwa tangu siku za nyuma mnataka kudanganya wananchi kutafuta kura za huruma.. ha ha haaaa tumeamka hatupendi kiki

Kwanini wanaficha kuwa mawakala wao walishapata hayo na hata hawataji namba.. leo wanasema eti wamepewa huku wanadai walitawanishwa eeeeeh hivyo wamekutana wapi kukusanywa kwa viapo?

Uongo mwingine bomu kabisa sema mliitea mkawaficha labda kusubiria usiku mjidai walikataliwa.. uongo mtupu ya mauaji yamewashinda ya mwenzenu
Dada hebu soma ulichoandika halafu angalia kila maana gani.
 
UCHAGUZI KINONDONI: Katibu Mkuu wa CHADEMA, Dr. Vincent Mashinji amesema muda huu mawakala wao wamepewa viapo, tayari kusimamia na kuhakikisha upigaji kura unakwenda kwa mujibu wa sheria.
=========
Jitokezeni kupiga kura kwani sasa mawakala wamepewa viapo tayari kwa kazi moja tu hapo kesho...kusimamia na kuhakikisha upigaji kura unakwenda kwa mujibu wa sheria! KUWENI WA KWANZA VITUONI ✌✌✌KWANI USHINDI NI WETU!.Dr Vicent Mashinji

Kuna sehemu CHADEMA wametegwa na wameshategeka. Kuna msemo wa Kiingereza huwa naupenda sana usemao ' it is too late '. Naomba niishie hapa tafadhali.
 
Mkurugenzi wa uchaguzi asipotenda haki nitamwanika vibaya sana kwa sababu namfahamu kutoka kwenye familia ( Kibondo kigoma) mpaka hapo alipo.
 
Eeeeeeh
Video za zamani mmejirekodi ili mrushe leo kudai ni leo ha ha haaaaaaaaa
Itabidi mrushe na bongo muvi kabisa watu wawaone vizuri eeeeeeh
Natamani siku moja nionane na wewe live nitafurahi sana
 
Angesema walipewa viapo lini
Itakuwa tangu siku za nyuma mnataka kudanganya wananchi kutafuta kura za huruma.. ha ha haaaa tumeamka hatupendi kiki

Kwanini wanaficha kuwa mawakala wao walishapata hayo na hata hawataji namba.. leo wanasema eti wamepewa huku wanadai walitawanishwa eeeeeh hivyo wamekutana wapi kukusanywa kwa viapo?

Uongo mwingine bomu kabisa sema mliitea mkawaficha labda kusubiria usiku mjidai walikataliwa.. uongo mtupu ya mauaji yamewashinda ya mwenzenu
Kuna watu mnaweza kulazimika kupimwa IQ zenu kidogo maana kuropoka msivyovijua na ushabiki maandazi kuzidi kama huyu sijui tumuweke kwenye kundi la watu gani duniani hapa.Shame on you.
 
Angesema walipewa viapo lini
Itakuwa tangu siku za nyuma mnataka kudanganya wananchi kutafuta kura za huruma.. ha ha haaaa tumeamka hatupendi kiki

Kwanini wanaficha kuwa mawakala wao walishapata hayo na hata hawataji namba.. leo wanasema eti wamepewa huku wanadai walitawanishwa eeeeeh hivyo wamekutana wapi kukusanywa kwa viapo?

Uongo mwingine bomu kabisa sema mliitea mkawaficha labda kusubiria usiku mjidai walikataliwa.. uongo mtupu ya mauaji yamewashinda ya mwenzenu
Nafahamu unajua kuandika, ila mambo mengine soma tu inatosha. Maana kujifanya ww NEC sijui mkurugenzi wa uchaguzi! Shwain kabisa
 
Angesema walipewa viapo lini
Itakuwa tangu siku za nyuma mnataka kudanganya wananchi kutafuta kura za huruma.. ha ha haaaa tumeamka hatupendi kiki

Kwanini wanaficha kuwa mawakala wao walishapata hayo na hata hawataji namba.. leo wanasema eti wamepewa huku wanadai walitawanishwa eeeeeh hivyo wamekutana wapi kukusanywa kwa viapo?

Uongo mwingine bomu kabisa sema mliitea mkawaficha labda kusubiria usiku mjidai walikataliwa.. uongo mtupu ya mauaji yamewashinda ya mwenzenu
Mshazoea bao la mkono! Lkn kumbukeni vyama tawala miaka nenda rudi vinaendelea kumomonyolea, nani anafuata baada ya Mugabe followed by Zuma! Freedom ya kutokua na bao la mkono inakuja.
 
Angesema walipewa viapo lini
Itakuwa tangu siku za nyuma mnataka kudanganya wananchi kutafuta kura za huruma.. ha ha haaaa tumeamka hatupendi kiki

Kwanini wanaficha kuwa mawakala wao walishapata hayo na hata hawataji namba.. leo wanasema eti wamepewa huku wanadai walitawanishwa eeeeeh hivyo wamekutana wapi kukusanywa kwa viapo?

Uongo mwingine bomu kabisa sema mliitea mkawaficha labda kusubiria usiku mjidai walikataliwa.. uongo mtupu ya mauaji yamewashinda ya mwenzenu
Wewe nae wazazi wako walitoa pesa wakakusomesha? Walikula hasara
 
cocochanel kasema cdm walikwa wanadanganya mawakala walishaapa kitambo
Kuapa walisha apa siku tano zilizopita. Ila hawajapewa fomu zao za viapo ambazo husimama kama kitambulisho cha wakala wa chama mbele ya msimsmizi wa kituo. Bila fomu hiyo, huwezi kuruhusiwa kuingia katika kituo cha uchaguzi.
 
Angesema walipewa viapo lini
Itakuwa tangu siku za nyuma mnataka kudanganya wananchi kutafuta kura za huruma.. ha ha haaaa tumeamka hatupendi kiki

Kwanini wanaficha kuwa mawakala wao walishapata hayo na hata hawataji namba.. leo wanasema eti wamepewa huku wanadai walitawanishwa eeeeeh hivyo wamekutana wapi kukusanywa kwa viapo?

Uongo mwingine bomu kabisa sema mliitea mkawaficha labda kusubiria usiku mjidai walikataliwa.. uongo mtupu ya mauaji yamewashinda ya mwenzenu
Another beatchcomber.....rodent poking teeth.
 
Back
Top Bottom