Dr. Vincent Mashinji alipokutana na Mgombea Urais wa Ghana kwa tiketi ya chama cha NPP

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Mar 9, 2015
14,243
34,899
IMG-20161208-WA0101.jpg


Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Dr Vincent Mashinji alipokutana na Mgombea Urais wa Ghana kwa tiketi ya chama cha NPP ambaye matokeo ya awali yanaonyesha kuwa ameshinda Urais leo nchini Ghana.

Dr Vincent Mashinj amewakilisha Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ikiwa ni chama rafiki wa chama cha NPP.
 
Hivi chadema wanadhani 2020 ni mbali? Yaani wanafanya yale wananchi waliyoyachukia kwa CCM ya Kikwete. Wanakumbatia watuhumiwa wa ufisadi na kuzurura nje ya nchi wakati wapiga kura wanataabika. Hivi kama wanapesa za kuzurura, kwanini wasianzishe vikundi vya vijana? Wameshindwa kujitofautisha na tawala zisizotakiwa. Hii ndio tatizo kuwa zao la mfumo uliochokwa.
 
walikua wanawahesabia wenzao mara ngapi wamekwenda nje. Lakini wao ni halali. Kwa nini wasiige sera za Magufuli. Tangu achaguliwe ameshasafiri mara ngapi
 
So what!!!
Picha za Magufuli akiruhusu machinga ndiyo mpango wa nchi ya Tanzania. Asiyempenda ahamie Ghana
 
Nyie si mlikataa siasa za majukwaani basi hizo ndizo siasa za kimya kimya ambazo zinafanyika huku ADUI ajui kinachoendelea ndio maana kila MTU anagesi bila uhakika
 
Hata nyerere mambo yalipokua magumu akaanza ushirika na mataifa jirana ili kupata nguvu nyie tofauti ni bwana yule atoki wanatoka wawili kwa mpigo mama la mama na wazir wa mambo ya nje
 
Amewaruhusu wamachinga warudi kufanya biashara baada ya kuhakikisha ameisha wafirisi. Bwana huyu mjanja sana
 
Back
Top Bottom