Francis12
JF-Expert Member
- Sep 30, 2016
- 7,533
- 22,278
Anaandika Katibu Mkuu wa Chadema Dr Vicent Mashinji
Waziri Mkuu anadanganya Bunge na Naibu Spika anamlinda!
Sijui Naibu Spika kama anakumbuka hotuba ya Rais na Mwenyekiti wa CCM ya 5.2.2016 kule Singida
Kwa tabia hizi za kulindana maendeleo ya Taifa hili ni tete!