DR. USIJEINYWA HIYOO NI FEKI -Mamlaka ya Chakula

Mwiba

JF-Expert Member
Oct 23, 2007
7,609
1,250
PG-1.jpg

Rais wa Zanzibar Dk. Aman Abeid Karume, akiangalia chupa feki ya bia ya Heinken wakati wa maadhimisho ya miaka mitano ya Mamlaka ya usimamizi wa chakula na madawa yaliyofanyika makao makuu ya mamlaka hiyo barabara ya Mandela.
 
Yona F. Maro

R I P
Nov 2, 2006
4,207
0
Amegundua Mengi Sana Haswa Kuhusu Muafaka Na Cuf Si Unaona Kila Siku Mambo Mapya ? Ulitaka Nini Zaidi Agundue ?

Halafu Karume Si Muisilamu Mbona Anashika Chupa Ya Bia ? Ana Dhalilisha Umma Mzima Wa Waisilamu Huyu
 
NakuliliaTanzania

JF-Expert Member
Sep 24, 2007
557
0
Amegundua Mengi Sana Haswa Kuhusu Muafaka Na Cuf Si Unaona Kila Siku Mambo Mapya ? Ulitaka Nini Zaidi Agundue ?

Halafu Karume Si Muisilamu Mbona Anashika Chupa Ya Bia ? Ana Dhalilisha Umma Mzima Wa Waisilamu Huyu

muulize kwanza kodi ya kuendesha serikali inapatikana wapi..inaelekea anajua huyo kwa hiyo ni muhimu kulinda afya zetu wanywaji...kama ana kunywa au la, hilo ni jingine, binafsi naamini ana uhuru huo
 
Hofstede

JF-Expert Member
Jul 15, 2007
3,577
0
Jamaa anachapa maji si kawaida hapo kashika chupa tayari kiu ilimpata na lazima alishushia mara tu alipoingia mafichoni kwake
 
Mwiba

JF-Expert Member
Oct 23, 2007
7,609
1,250
Jamaa anachapa maji si kawaida hapo kashika chupa tayari kiu ilimpata na lazima alishushia mara tu alipoingia mafichoni kwake
Na kweli maana kama utamtazama jinsi alivyoikamata ni wazi kabisa nae ana utaalamu nazo ,wenyewe wanywaji nafikiri wanaihisi ile chupa ilivyokamatwa yaani kuna kautaamu, CCM bara wanamuogopa huyo mjamaa anavyosema ndivyo wanavyofanya.
 
macho_mdiliko

JF-Expert Member
Mar 10, 2008
15,735
2,000
This world is fully of mistery..... Professor Maji Marefu, Professor Vulata, Dk. Aman Abeid Karume.... you mention....
 
nat867

Member
Feb 14, 2008
97
0
Ni vema tujadili context ya maudhui badala ya mtu. Picha hiyo inaonyesha kuwa kuna heiken feki hivyo tuwe makini.
Tena nimepata taarifa ya uhakika nilipopita banda la TFDA(Mamlaka ya Chakula na Dawa) kuwa walikamata mtu anatengeneza heiken feki ambapo alikuwa anachukua Bia ya kilimanjaro na kui-repack kwenye chupa za heiken dar es salaam.
So be careful to do physical inspection before consuming!
 
Kaa la Moto

JF-Expert Member
Apr 24, 2008
7,737
2,000
Kazi kwenu wanywaji. Mi iwe fake au genuine sigusi nooooooooo. Nipe juisi na chupa ya Pepsi hapo tena...........
 
emedichi

Member
Mar 1, 2008
46
0
Mtaalamu mmoja aliziita hizi zote ziwe zimethibitishwa au la ( coca cola, pepsi, mirinda, nk. Bia zote ) kuwa ni TOILET CLEANERS! risk ya kiafya iko kote, hasa kwa sababu ya kemikali.
 
Kuntakinte

JF-Expert Member
May 26, 2007
702
0
Amegundua Mengi Sana Haswa Kuhusu Muafaka Na Cuf Si Unaona Kila Siku Mambo Mapya ? Ulitaka Nini Zaidi Agundue ?

Halafu Karume Si Muisilamu Mbona Anashika Chupa Ya Bia ? Ana Dhalilisha Umma Mzima Wa Waisilamu Huyu

Mkuu Shy,

Umeshasema hapo kwamba KARUME SI MUISLAMU,

HAWADHALILISHI WAISLAMU ILA AINAIZALILISHA NAFSI YAKE.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom