Dr. Unataka kumfanya nini mbuzi?

Umeolewa?

from Katesh using Siemens C55
Mmmh! Simu yako tu ndo imenifanya nicomment huu uzi 'Siemens' nakumbuka ndo ilikuwa simu ya kwanza kabisa baba'ngu kumiliki nilpokuwa mdogo, simu ilikuwa ikiita najifanya kuita marafiki ili tu waje waone pia baba'angu ana simu.
61e030d24ca9b6c43dc5ea5ccd8cd1fe.jpg
 
Kuishi kwingi ni kuona mengi.........

Penye wengi pia pana mengi.......lolote linaweza kutoka muda wowote
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom