Dr. Ulimboka Yuko Wapi?

Bonson

Senior Member
Apr 20, 2013
183
147
Ndugu wana JF,

Naomba kupata updates za Dr. Ulimboka:
1. Je, bado ndie mwenyekiti wa madktari Tz?
2. Je, yupo nchini?
3. Vijana walopoteza kazi kwa misimamo yake inakuaje?
4. Je, kaamua kunyamaza au kunyamazishwa?

Mwenye dondoo atuwekee plz!
 
kishapata umaarufu presha ya nini sasa..
 
Hii ndo sera ya ccm, watu wakileta domodomo ni kuwanyamazisha, kwa jerry muro yuko wapi?
ccm oyeeeee!
 
Ndugu wana JF,

Naomba kupata updates za Dr. Ulimboka:
1. Je, bado ndie mwenyekiti wa madktari Tz?
2. Je, yupo nchini?
3. Vijana walopoteza kazi kwa misimamo yake inakuaje?
4. Je, kaamua kunyamaza au kunyamazishwa?

Mwenye dondoo atuwekee plz!
Unauliza vitu usivyojua. Kwani lini aliwahi kuwa mwenyekiti wa madaktari Tz?
 
Waswahli kwa umbea,hv huwa mnapata muda wa kufanyakazi kweli? Ukiona kimya nawe kaa kimya.
 
Nikumbusheni ile account number ya kuingizia watu fedha kupitia benki ya makabwela
 
Back
Top Bottom