We nani mpaka upate update zake
Daktari mwanaharakati mwenzie aliyempigia kura.
kishapata umaarufu presha ya nini sasa..Ndugu wana JF,
Naomba kupata updates za Dr. Ulimboka:
1. Je, bado ndie mwenyekiti wa madktari Tz?
2. Je, yupo nchini?
3. Vijana walopoteza kazi kwa misimamo yake inakuaje?
4. Je, kaamua kunyamaza au kunyamazishwa?
Mwenye dondoo atuwekee plz!
We nani mpaka upate update zake
anataka kwend kuwaadithia nduguze..
Acha undondocha!Daktari mwanaharakati mwenzie aliyempigia kura.
Daktari mwanaharakati mwenzie aliyempigia kura.
Unauliza vitu usivyojua. Kwani lini aliwahi kuwa mwenyekiti wa madaktari Tz?Ndugu wana JF,
Naomba kupata updates za Dr. Ulimboka:
1. Je, bado ndie mwenyekiti wa madktari Tz?
2. Je, yupo nchini?
3. Vijana walopoteza kazi kwa misimamo yake inakuaje?
4. Je, kaamua kunyamaza au kunyamazishwa?
Mwenye dondoo atuwekee plz!
ni kweli wamwache ale Pesheni kwa amani, kwani walimsaidia hata robo ya yale mateso!!Wenye shida ni nyie dr. uli kajituliza tuli.
We nani mpaka upate update zake
Hii ndo sera ya ccm, watu wakileta domodomo ni kuwanyamazisha, kwa jerry muro yuko wapi?
ccm oyeeeee!