Dr Ulimboka kuwataja wote waliyomteka na kumfanyia ukatili

Status
Not open for further replies.
Mchuzi wa bata,

..Dr.Mwakyembe aliitisha mkutano wa waandishi wa habari akasema, "mjadala kuhusu afya yangu umefungwa."

..sasa nahisi Dr.Ulimboka naye atasema hivi, "mjadala kuhusu kutekwa kwangu umefungwa."

joka Kuu,

Tusubiri tumpe nafasi tuyasikie hayo maneno yake.
 
Last edited by a moderator:
Baada ya kuchanwa na baadhi ya waandishi wa habari kwamba tuachane na mambo yake ndio ameamua kusema ndwni ya masaa 24 ngoja tuone part 4 itakuwaje
 
Hahahaaaa chezea mkwanja wewe hana ubavu huo wa kuataja money makes da world go round alituumiza sana akili kumuombea tukiwa na imani akirudi tuu mtajo bt hahahahaahaha. Movie maker siri. Director rama. Location mwabepande. Scrpt play kova. String dr ulimboka. The end.
 
........hamna great thinker atakayeshadidia eti ulimboka atataja waliomtesa, hamna kitu kama hiyo, hiyo kitu ilishapita, labda kama amechanganyikiwa lakini kwa wanaoujua mfumo ulivyo kwa nchi yeyote duniani wasitegemee jipya wala kupoteza muda kusubiri habari hii, alishindwa Mwakyembe sembuse Dr. Chezea system ww???????? ni suala la wakati, here we go!!!!!!!
 
My primaary school teacher used to say that always do
-right thing
-right time
-right place
Kwa maana hiyo habari za Dr Uli hazina mvuto tena watu tumeshakuwa na mixed feelings about is silence.
 
Mods,
Hii habari ni ya kweli msiitoe.

sio ya kweli na kamwe haiwezi kuwa ya kweli! Ulimboka hana guts za kuwataja muda wote alikuwa anasubiri nn? wewe mchuzi wa bata ni kuwa masaa ishirini na nne yakipita hajafunguka uje hapa na uzi mwingine kukanusha la sivo nitawasiliana na PAIN KILLER aku kill! ban!!
 
Umaarufu wake umeporomoka ghafla kama ulivyopanda kwa ghafla. Ameshindwa kuitumia chance alopewa kujiimarisha. Hizi nafasi wakipewa kina Zitto hawafanyagi makosa, mwambie akaanzie Mabwe labda atatoka
 
kuwataja kuna ugumu gani mpaka aanze na dibaji na mikwara miingi..bongo full sanaa.
 
Mchuzi wa bata,

..Dr.Mwakyembe aliitisha mkutano wa waandishi wa habari akasema, "mjadala kuhusu afya yangu umefungwa."

..sasa nahisi Dr.Ulimboka naye atasema hivi, "mjadala kuhusu kutekwa kwangu umefungwa."

Hii nimeipenda. Nakumbuka pia Sumaye alitishia "kupasua bomu" akaita waandishi. Alichokisema wote tuliskia. Tz bana, raha sana.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom