Dkt. Ulimboka amuumbua mmoja wa wahusika wa utekaji wake!

Sasa hao wanaochunguza wanachunguza kitu gani wakati Suspect wa kwanza wa kuanza nae wanae na wanamwacha? Au wanategemea Uli atawatajiwa watu kutoka sayari nyingine! Kweli polisi nao ni dhaifu.
 
dah, inasikitisha sana, sina imani na serikali, sina imani na jeshi la polisi

Pole Dkt Steve U. Mwenyezi Mungu atakujalia upone na vile vile awaumbue wote walihusika kwa na mna 1 au nyingine na USHENZI huu.
 
Duuh!Hii kali mwisho wa ubaya aibu!Wataumbuka wote mbaya zaidi itakuwa kwa waliowatuma!
 
Hii ya Kuiba Wallets Simu na Pesa za watu wanaowakamata ni ukweli mtupu polisi ndio zao sasa wameumbuka vibaya naomba katiba mpya iwe inawapa adhabu kali sana polisi wenye tabia kama za Msangi...

Dah Msangi rejesha Wallet ya Dr. Ulimboka hahaha Nomaaaa...
 
Kamanda aliyehusika kumtesa Dr. Ulimboka na mmoja kati ya watu wanaounda tume ya kuchunguza unyama aliofanyiwa Dr. Ulimboka ameaibika mara alipoingia chumba alicholazwa Dr. Ulimboka aliweza kumtambua na kumwambia "Nirudishie simu na wallet yangu".

Kamanda alitoka wodini kainamisha kichwa.

Source (Mimi mwenyewe-nilikuwepo)
Yaani ulikuwepo ukaona mhalifu anatajwa na anaondoka anajiinamia wewe upo tu? Ningekuwa mimi ungekuta saa hizi nipo mahabusu nikisubiri kujibu au kesi ya kuua au kujeruhi vibaya na huyo kamanda akiwa either ICU au mochwari akisubiri taratibu za mazishi."LIWALO ACHA LIWE!!!"
 
Ahhhhhh, nimesikia eti ni yule baunsa anayekaaga nyuma ya Dr. slaa!!!! Jamani mnataka kuchafua jina la CDM nyie, mmetumwa nini!!!???
 
Damu ya mtu haipotei hivi hivi. Na km wamejua hajafa wameenda wodini kufanya nini ama kuona km atawakumbuka. Hii move ni kali.
Ma dr tafadhali mlindeni sana dr ni hatari kila mtu kuingia kumuona, hawa wajinga wanaweza kutumia mwanya huo!
 
Wangetakiwa wamkamate usikute ndo wana njama za kumaliza.. Ule msitu umekula damu za wafanyabiashara watatu wale wa mahenge moro Ulimboka Mungu yupo atamsaidia atapona
 
Hii kali. Ngoja tuone atachukuliwa hatua gani. kwa sababu hii haihitaji upelelezi tena.
 
Kamanda aliyehusika kumtesa Dr. Ulimboka na mmoja kati ya watu wanaounda tume ya kuchunguza unyama aliofanyiwa Dr. Ulimboka ameaibika mara alipoingia chumba alicholazwa Dr. Ulimboka aliweza kumtambua na kumwambia "Nirudishie simu na wallet yangu".

Kamanda alitoka wodini kainamisha kichwa.

Ahhhhhh, nimesikia eti ni yule baunsa anayekaaga nyuma ya Dr. slaa!!!! Jamani mnataka kuchafua jina la CDM nyie, mmetumwa nini!!!???
Mbona hyo rahisi cdm watamtimua siyo cc magamba tungeendelea kumkumbatia tu!
 
Eti tunajitapa kua nchi ya kidemocrasia! wakati askari wanaua raia? Mungu walaani wote walohusika na mateso anayoyapata Dr Uli.
 
Kamanda aliyehusika kumtesa Dr. Ulimboka na mmoja kati ya watu wanaounda tume ya kuchunguza unyama aliofanyiwa Dr. Ulimboka ameaibika mara alipoingia chumba alicholazwa Dr. Ulimboka aliweza kumtambua na kumwambia "Nirudishie simu na wallet yangu".

Kamanda alitoka wodini kainamisha kichwa.

Source (Mimi mwenyewe-nilikuwepo)

Ungefanya busara kumwaga Majina ya tume hapa ili hyo isue ihakikiwe vzr kwani si wote katka tume hyo wamefurahia kitendo cha yeye kupgwa.
 
Yaani ulikuwepo ukaona mhalifu anatajwa na anaondoka anajiinamia wewe upo tu? Ningekuwa mimi ungekuta saa hizi nipo mahabusu nikisubiri kujibu au kesi ya kuua au kujeruhi vibaya na huyo kamanda akiwa either ICU au mochwari akisubiri taratibu za mazishi."LIWALO ACHA LIWE!!!"

Haahaaaa duuuuuh!
 
Kamanda aliyehusika kumtesa Dr. Ulimboka na mmoja kati ya watu wanaounda tume ya kuchunguza unyama aliofanyiwa Dr. Ulimboka ameaibika mara alipoingia chumba alicholazwa Dr. Ulimboka aliweza kumtambua na kumwambia "Nirudishie simu na wallet yangu".

Kamanda alitoka wodini kainamisha kichwa.

Source (Mimi mwenyewe-nilikuwepo)

niliwahi kumuona kwenye tv bwana msangi kipindi kile bado akiwa o/c-cid pale o'bay, yuko makini sana katika kazi zake za upelelezi. Kama kweli kahusika kwa hili, atakuwa alipewa amri toka ngazi za juu, na kwa utaratibu wa kazi zao hawezi kumtaja aliyetoa order hiyo hadharani, labda IGP amfungulie kesi kwenye mahakama ya kijeshi.

Pole sana kamanda msangi, mungu atakuokoa kama hukudhamiria bali ulishurutishwa, maybe ndio maana ulimwachia uhai wake dr ulimboka.

Connecting dots, yule ofisa upelelezi aliyekula kichapo muhimbili, alitumwa na msangi?
 
Back
Top Bottom