Dkt. Ulimboka amuumbua mmoja wa wahusika wa utekaji wake!

jamaa dhaiu sana.Wanafanya kila kitu kwa stail ya wazi sana ,tena wakati hawaaminiki.Hao usalama wa taifa wote itakula kwao katik uchaguzi ujao. Katika chaguzi za karibuni wamekuwa wakiponea bahati na kuokolewa ama na polisi au watu wengine.Ukweli halisi ni kuwa sisiem hawajaui raia wpo ktk hali ripe kwa vurugu lisiloisha.Uchaguzi wowote katika nchi kwa kipindi hichi unaweza kuwa mwisho wa CCM.

Hao usalama wa taifa wanajulikana mno katika bia na masifa yao.
 
Huyo kamanda ni Hatari ila hatari zaidi ni Mratibu wetu anaendelea kuonesha Udhaifu wake na Sasa inawezekana ndio 40 zake zimefika... Kwani Ulimboka ana uchungu na Wananchi na Kichapo na Damu yake itawaumiza Sana watawala watu...

Majitu yafanananayo na Shetani then yanapigiwa Saluti na Majeshi Yetu..... Huyo Msangi Harikaaa....40 huwa hazikwepeki hii Serikali mahari panapo wastahili ni kule alipopelekwa Kenyatta jr the Hegi!
Kikwete bana mbona anamaliza utawala wake vibaya, asitegemee vitisho kama hivi vitamsaidia. Ona sasa doctors have won the public sympathy on the expense of his leadership.
 
MwanaHaki hii treni umepanda kwa kudandia hukupanda wakati imesimama kituoni..mtoa mada amefanyia mabadiliko uzi wake leo saa 6 usiku..yeye ndiye alieandika jina la Msangi.. mimi nili-quote post yake ma unaona jina liko kwasababu nilikuwa mtu wa mwanzo kuchangia kabla hajafanya amendments..

Kabla sijafuta usemi wangu, vimon hebu tujuze: Je, ni kweli wewe ndiye uliyeandika au kufuta jina la Msangi kwenye post yako? Na kama ni kweli, ni kwa sababu gani? Asante.
 
Last edited by a moderator:
Kwani haya makampuni ya simu lukuki yaliyopo bongo si wanaweza kutrace namba za simu alizopigiwa Dr. Ulimboka then take it from there..au namba ni ya ikulu??? Mbona ni rahisi sana kutokana na maelezo ya Dr. hao watu wangekamatwa the following morning huu ni upuuuzi wa kuzidi kipimo.
 
mengi yatasemwa ila tuwaruhusu tu madaktar waunde tume huru ili kubaini ukweli ila sidhani kama serikari inaweza kufanya ishu ya kitoto namna hii na kama kweli walikuwa wanania ya kumuua basi jamaa sio wataalam.istoshe unaweza kuta hili swala hata halihusiki na mgomo wa madaktari maana nilitegemea kwamba wakati wanampiga basi kuna maneno wangekuwa wanampa.na kama hilo ndilo mbona mengine kakumbuka.jamani hili taifa letu wote sasa maneno ya kuvunja amani hayafai likichafuka watu watashindwa pa kutolokea tuwaulize ndugu zetu nchi za jirani,mapinduzi ya kisiasa hayaji namna hii.
 
Back
Top Bottom