Chakaza
JF-Expert Member
- Mar 10, 2007
- 40,319
- 72,742
Mtu akiwa na tuhuma anakaa pembeni tuhuma zake zisikilizwe na kuamuliwa kwanza. Dr Tulia katuhumiwa kuvunja taratibu za kuendesha kama naibu spika na wapinzani wamesema hawataingia awapo yeye.
Lakini kama mkakati Fulani hivi ili wapinzani wasiwepo basi sasa hivi amekuwa never miss, hataki hata kuwaachia wenyeviti ili tuu wapinzani watoke.
Kama hekima ingekuwa inatumika Tulia angebaki ofisini na wenyeviti wangeendesha bunge yeye akasubiri tuhuma zake zipate maamuzi maana sio ndogo.
Na nina uhakika kama Ndugai angekuwepo sio mgonjwa hangeruhusu Tulia akanyage ukumbini.
Dr Tulia hebu tuachie bunge letu wananchi wajadili budget, mbona unatuvuruga? Kwani ulitumwa kuvuruga bunge letu?