JOYCE PAUL
JF-Expert Member
- Jan 8, 2010
- 1,005
- 82
Kuna tetesi kuwa DR JK atampa uwaziri ila haijulikani ni wizara gani DR SLAA ambaye alikuwa mgombea wa nafasi ya URAIS kupitia chama cha CHADEMA.kama kweli nampongeza sana MH DR RAIS JK....:israel:

Nashauri dr. Slaa asikubali kwani wanataka kumshusha nguvu kisiasa. kufanya kazi chini ya sera za ccm kama waziri ni kujiangusha kisiasa
Kuna tetesi kuwa DR JK atampa uwaziri ila haijulikani ni wizara gani DR SLAA ambaye alikuwa mgombea wa nafasi ya URAIS kupitia chama cha CHADEMA.kama kweli nampongeza sana MH DR RAIS JK....:israel:
Ni kweli kabisa akatae maana ndo upizani utakufa,asiwe kama Seif anayetekeleza sera za sisem,na baada ya miaka 5 chama hakipoNashauri dr. Slaa asikubali kwani wanataka kumshusha nguvu kisiasa. kufanya kazi chini ya sera za ccm kama waziri ni kujiangusha kisiasa
Inawezekana tukafika, ili mradi tu watu waeleze kuwa ni mawazo na siyo eti Ni taarifa au tetesi ambazo zinatoka kichwani mwake. It is not good at allJamani hivi kila mtu akipost kile anachokiwaza tutafika?
Kuna tetesi kuwa DR JK atampa uwaziri ila haijulikani ni wizara gani DR SLAA ambaye alikuwa mgombea wa nafasi ya URAIS kupitia chama cha CHADEMA.kama kweli nampongeza sana MH DR RAIS JK....:israel:
Kaangalie upya Expiry date ya ubongo wako inawezekana imeshapita.Kuna tetesi kuwa DR JK atampa uwaziri ila haijulikani ni wizara gani DR SLAA ambaye alikuwa mgombea wa nafasi ya URAIS kupitia chama cha CHADEMA.kama kweli nampongeza sana MH DR RAIS JK....:israel:
source please! maana huwa unakurupuka kupost hisia zako.