Dr slaaa kupewa uwaziri...

JOYCE PAUL

JF-Expert Member
Jan 8, 2010
1,005
82
Kuna tetesi kuwa DR JK atampa uwaziri ila haijulikani ni wizara gani DR SLAA ambaye alikuwa mgombea wa nafasi ya URAIS kupitia chama cha CHADEMA.kama kweli nampongeza sana MH DR RAIS JK....:israel:
 
Nashauri dr. Slaa asikubali kwani wanataka kumshusha nguvu kisiasa. kufanya kazi chini ya sera za ccm kama waziri ni kujiangusha kisiasa
 
source please! maana huwa unakurupuka kupost hisia zako.
 
Kwanza Dr. Slaa hana uchu wa madaraka kihivyo, halafu anajua kinachotakiwa kwa Tanzania. yeye mwenyewe hawezi kukubali kabisa.
 
Tha's ridiculous, don't expect the superb man to work under the mediocre - JK
 
Ukiyasoma maneno ya mwenye thread neno kwa neno, utaona kuwa kaamua kuongeza posts tu!
 
Kuna tetesi kuwa DR JK atampa uwaziri ila haijulikani ni wizara gani DR SLAA ambaye alikuwa mgombea wa nafasi ya URAIS kupitia chama cha CHADEMA.kama kweli nampongeza sana MH DR RAIS JK....:israel:

Nakuuza kama kichwa chako na ubongo zina ushirikiano wa kutosha. Huwezi kurupuka na kupost thread ya kijinga hivi.
 
Nashauri dr. Slaa asikubali kwani wanataka kumshusha nguvu kisiasa. kufanya kazi chini ya sera za ccm kama waziri ni kujiangusha kisiasa
Ni kweli kabisa akatae maana ndo upizani utakufa,asiwe kama Seif anayetekeleza sera za sisem,na baada ya miaka 5 chama hakipo
 
Ndugu Joyce,

Massive Democratic Change Coming SOON!! Acha kuja humu kuanza kupima kina cha maji ya Tsunami ya Mabadiliko ambayo CHADEMA inawaandalia Watanzani zaidi ya milioni 15 ambao hawako Wezi wa Kura 2010. Agenda ilipo mbele ya Dr Slaa sio kwenda KULA NA KURIDHISHA NAFSI yake na familia yake. Ajua Jukumu aliopewa na Watanzania mpaka dakika hii. Tupe Chanzo chako tafadhali!!
 
Jamani hivi kila mtu akipost kile anachokiwaza tutafika?
Inawezekana tukafika, ili mradi tu watu waeleze kuwa ni mawazo na siyo eti Ni taarifa au tetesi ambazo zinatoka kichwani mwake. It is not good at all
 
Kuna tetesi kuwa DR JK atampa uwaziri ila haijulikani ni wizara gani DR SLAA ambaye alikuwa mgombea wa nafasi ya URAIS kupitia chama cha CHADEMA.kama kweli nampongeza sana MH DR RAIS JK....:israel:

JP:
ANGALIZO: Katiba inasema Rais atateua mawaziri kwa 'kushauriana' na waziri mkuu. Mawaziri hawa watatokana na wabunge. Dr Slaa si mbunge labda Rais amteue katika nafasi zake kumi alizopewa na katiba.
 
Kunasehemu ya vichekesho mamapenzi nk huko pst unavyotaka hapausikurupuke ufanyeutafitikaburaya kupst
 
Kuna tetesi kuwa DR JK atampa uwaziri ila haijulikani ni wizara gani DR SLAA ambaye alikuwa mgombea wa nafasi ya URAIS kupitia chama cha CHADEMA.kama kweli nampongeza sana MH DR RAIS JK....:israel:
Kaangalie upya Expiry date ya ubongo wako inawezekana imeshapita.
 
source please! maana huwa unakurupuka kupost hisia zako.

Hilo ndilo la maana maana sio mtu akiamka tu na mawazo yake basi anapost tu.
"Lyatonga Mrema kuwa waziri mkuui" bila source inakuwa kama gazeti la udaku sasa.
 
Kuna tetesi kuwa DR JK atampa uwaziri ila haijulikani ni wizara gani DR SLAA ambaye alikuwa mgombea wa nafasi ya URAIS kupitia chama cha CHADEMA.kama kweli nampongeza sana MH DR RAIS JK....:israel:

jina lako linaendana na mawazo yako yalivofinyu.. yani umeshindwa hata kuulizia ndugu,jamaa na marafiki??????
wewe ni muhudumu wa stationery nin??? ndomana hujielewi

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom