Dr slaa ziarani katika mikoa ya shinyanga, Kigoma, Tabora na Singida.

Kamanda waitara tunakushukuru sana kwa taarifa yako iliyo nyooka , tunasema hivi ukitaka kuua nyoka , PIGA KICHWANI .
 
haya ndo mambo siyo matamko, tena amefanya mvizuri kwenda kanda aliyokuwa anaongoza Zitto ili kupima upepo, ingawaje nina hofu dola za ujerumani zinaweza kuhusika kuhujumu mikutano hiyo.

Ujerumani ndio mfadhiri mkubwa wa harakati za M4C so uwe na amani braza, Muhuni mmoja hawezi kuzuia matakwa ya watanzania
 
Ingelikuwa amri yangu slaa asije huku maana aibu atakayoipata ni aibu kwa chama. Na ni ushindi kwa zzk
 
Kamanda waitara tunakushukuru sana kwa taarifa yako iliyo nyooka , tunasema hivi ukitaka kuua nyoka , PIGA KICHWANI .
 
chacha-wangwe.jpg


Mzimu huu utawafuata Popote Walipo katika Maisha yao yaliyobaki.


wakuu tumwache wangwe apumzike kwa amani ikumbukwe aliaga dunia kwa ajali ya gari na dereva wake alishafungwa jela
 
Katibu mkuu wa Chadema Dr. Slaa anatarajia kufanya ziara ya kukagua uhai wa chama na kuangalia ujenzi wa chama kupitia Chadema ni msingi kama ifuatavyo:tarehe 04.12.2013 atakuwa Kahama,tarehe 05.12.2013 hadi tarehe 13.12.2013 atakuwa Kigoma,tarehe 14.12.2013 hadi tarehe 22.12.2013 atakuwa Tabora na tarehe 23.12.2013 hadi tarehe 24.12.2013 atakuwa mkoani Singida.wahusika wote fanya maandalizi ya ziara hii kwa kuzingatia ratiba na kwa maelezo zaidi wasiliana na mimi.wananchi wote kupitia njia hii mnajulishwa kushiriki katika zoezi hili kwani kila jimbo kutakuwa na mikutano ya hadhara.asanteni kwa kupokea taarifa na kuwajuza wengine.CHADEMA NI VEMA!

.
Haya ndio mambo tunayotaka kusikia. Ukaguzi wa uhai wa chama ni muhimu. Masuala ya malumbano kuhusu maamuzi ya cc hayana mshiko kwa sasa. Siku 14 tangia mtu kupewa barua yake ndio zitakazo amua mbichi na mbivu.
Tahadhari: kuwe na umakini sana kwa sababu jamaa kutoka magamba mtaalam wa mabomu kutoka China anaweza kwa kushirikiana na vibaraka wake waliokuwa chadema kulipua mkutano mmoja wapo. Utabiri wa TBJ kwa nchi mojawapo ya Africa mash. (kenya ikiondolewa) bado haujatimia. TBj alimtabiria Lowasa urais ilii huo unabii utimie na kwa kuzingatia mtu muhimu na anaetajwa kuukwaa urais ni Dr wa ukweli, basi majasusi wa nabii wanaweza kuingia kazini. Ilikuwa hivyo kwa Joyce Banda wa Malawi kwani baada ya Banda kuhudhuria sinagogini na kupeleka Zaka kule alitabiriwa urais. Baada tu ya ktabiriwa urais majasusi yaliingia kazini hadi rais Mutharika wa Malawi wakati huo alipofariki ili kuutia muhuri unabii wa mstahiki nabii wa ug'haibuni.
CHADEMA UNGEZENI UMAKINI, SISI RAIA TUPO PAMOJA NANYI KATIKA MOVEMENT YA UKOMBOZI WA TAIFA LETU.
.
 
ww sio chadema acha kelele. unajua nini ww au ni walewale msiopenda kuwajibishwa? mkamateni kapuya jirani yenu hapo tabora.
 
11 Reactions
Reply
Back
Top Bottom