kuropoka uongo siku moja kutakuponza .M2 at work ,siku.zako cdm zinahesabika mkuu
haya ndo mambo siyo matamko, tena amefanya mvizuri kwenda kanda aliyokuwa anaongoza Zitto ili kupima upepo, ingawaje nina hofu dola za ujerumani zinaweza kuhusika kuhujumu mikutano hiyo.
Mzee anaenda kuzima moto mikoani chezea zitto wewe.
hakuna asiyemjua waitara mwita humu ndani kijana , siku nyingine uliza kabla ya kushutumu .Pamoja sana kamanda! Ila please verify id yako. Taasisi kubwa kama chadema haisemewi kwa kutumia unverified id! cc Tumaini Makene, Ben Saanane, Dr.W.Slaa
uoga ndiyo dhambi kubwa na mbaya kuliko zote ! na hasa kama unaogopa hata mijusi , ukidhani ni nyoka !Ingelikuwa amri yangu slaa asije huku maana aibu atakayoipata ni aibu kwa chama. Na ni ushindi kwa zzk
Kigoma anatemebele jimbo gani huyo padriiiiiii
Mzimu huu utawafuata Popote Walipo katika Maisha yao yaliyobaki.
Katibu mkuu wa Chadema Dr. Slaa anatarajia kufanya ziara ya kukagua uhai wa chama na kuangalia ujenzi wa chama kupitia Chadema ni msingi kama ifuatavyo:tarehe 04.12.2013 atakuwa Kahama,tarehe 05.12.2013 hadi tarehe 13.12.2013 atakuwa Kigoma,tarehe 14.12.2013 hadi tarehe 22.12.2013 atakuwa Tabora na tarehe 23.12.2013 hadi tarehe 24.12.2013 atakuwa mkoani Singida.wahusika wote fanya maandalizi ya ziara hii kwa kuzingatia ratiba na kwa maelezo zaidi wasiliana na mimi.wananchi wote kupitia njia hii mnajulishwa kushiriki katika zoezi hili kwani kila jimbo kutakuwa na mikutano ya hadhara.asanteni kwa kupokea taarifa na kuwajuza wengine.CHADEMA NI VEMA!
.CHADEMA NI VEMA!
rais wa nani?? maaskofu au wachungaji????Kila la kheri Rais Mtarajiwa.
Taifa lote lipo nyuma yako.
hakuna asiyemjua waitara mwita humu ndani kijana , siku nyingine uliza kabla ya kushutumu .
CHADEMA KwISHA KAZIkuropoka uongo siku moja kutakuponza .