Dr. Slaa: Wabunge wa Chadema hawana uhasama na JK........

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
219,470
911,173
Gazeti la Nipashe linatuhabarisha ya kuwa Mheshimiwa Dr. Slaa ambao watanzania wengi tunaamini alishinda Uraisi mwaka 2010 akisema ya kuwa wabunge wa chadema hawana uhasama na JK ila na jinsi gani alitangazwa kuwa Raisi na NEC..........
 
Good point Dr Slaa. Hakuna haja ya kuwa na uhasama na mtu maana sio kawaida ya watz.
 
Wachache wasio na nia njema ndio wanapotosha ukweli kuwa CDM haina uhasama na JK bali inapinga utaratibu mzima unaotumika na NEC na serkali kwa ujumla ambao unapendelea zaidi chama kinachokuwa madarakani.
 
CCM wangependa kuipaka Chadema matope ionekane ni chama cha kigaidi..ili kufunika uwezo mdogo wa kupambana na kero zetu hususani umasikini..............................
 
Back
Top Bottom