Dr. Slaa Vs. Makamba, mechi ambayo haina haja ya kwenda kutazama

mndeme

JF-Expert Member
Sep 2, 2008
323
57
Ni ukweli usiopingika kuwa ccm pamoja na kuwa chama tawala walikosea sana kumweka makamba kuwa mtendaji mkuu wa chama.

Yani ukimlinganisha na Dk Slaa ni kama sisimizi na tembo.
 
ni kweli...lakini tusaidie kutatufa solution...in other words "so? wafanyaje?"....CCM wapo humu wanaweza kusikiliza mawazo yako...huwezi jua ati
 
Ni ukweli usiopingika kuwa ccm pamoja na kuwa chama tawala walikosea sana kumweka makamba kuwa mtendaji mkuu wa chama.

Yani ukimlinganisha na Dk Slaa ni kama sisimizi na tembo.

Sasa walikosea au walipatia?
Maana kwa upenyo wa kuwa na katibu mkuu zezeta ndo chadema inazidi kupedwa ,....au unaangalia kwa mtazamo gani?
 
ni kweli...lakini tusaidie kutatufa solution...in other words "so? wafanyaje?"....CCM wapo humu wanaweza kusikiliza mawazo yako...huwezi jua ati

Wamongezee Makamba miaka mitano (5) zaidi,ame fanya kazi nzuri sana na amejenga chama kwa kiwango kikubwa
 
Adui muombee njaa.kwa ccm makamba ndo mtendaji makini.yupo juu ka povu la bia.naomba wamuongezee mda ifikapo 2012.
 
Ni ukweli usiopingika kuwa ccm pamoja na kuwa chama tawala walikosea sana kumweka makamba kuwa mtendaji mkuu wa chama.

Yani ukimlinganisha na Dk Slaa ni kama sisimizi na tembo.

Shhhhhhhh... Noma weee, usiwashtue.

Acha Makamba aendelee kuwa Katibu Mkuu wa CCM milele au amteue Tambwe Hiza au Chiligati wamrithi.
Kikwete naye aendelee kuwa M'kiti milele, au baadaye amwachie Lowassa au Rostam.

Tuendelee kuwaambia viongozi waliopo sasa CCM kuwa wao ndio bora kabisa kuliko wakati mwingine wowote...
 
Back
Top Bottom