Dr Slaa VS Kikwete Vs Lipumba Uchaguzi 2010 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dr Slaa VS Kikwete Vs Lipumba Uchaguzi 2010

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Mulokozi, Sep 25, 2010.

 1. M

  Mulokozi New Member

  #1
  Sep 25, 2010
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Napenda Kuchuku Nafasi Hii Kuwajulisha Watanzania hasa Wale wenye nafasi ya kuifikia Jamii kwa namna moja au Nyingine,
  Kipimo Cha Kumuamini mtu huja baada ya kumpima.
  Hivi chama cha mapinduzi kwa nini mnaogopa midahalo??
  Tuta wapimaje uwezo wenu bila kuwashindanisha na Wapinzania wenu??

  Hello Watanzania huweni makini chagueni chama makini chenye sera za uwazi zisizo kuwa na hofu ya kuogopa kuulizwa maswali ya kinaga ubaga.

  Tuna amini kama CCM itashinda mwaka huu basi itakuwa zengwe na sio ukweli halisi kwani hatuoni uwezo wao kisera mbele ya wapinzani wao.

  Jambo la kushangaza nyie mtafanyaje kampeni wakati hata uwezowenu wa kujieleza mbele za watu hauonekani!

  Mh. Raisi Aliweza kuandaa kipindi watu wakawa wanamuuliza maswali Live bila zengwe. na alikuwa anajubu, leo inakuwaje ashindwe kuzungumza na wapinzani sera na mustakabali wa taifaletu.

  Tunajua uwezo wa CCM si kitu mbele ya CUF na Chadema, kwani ukiangalia uwezo wa Slaa na Lipumba nidaraja kubwa sana ukilinganisha na mgombea wa chama cha mapinduzi. CCM chida yenu ni nini mbona mnapiga kampeni ya mabilioni ya fedha na mabango makubwa mnashindwa na mdhalo wa bure ambao ungetufanya watanzania tujue nyie ni pumba au mchele!!! lakini kwa kazi mlizofanya tumesha wajua pa kuwaweka kwani kura ni siri yetu tutaonana 30th October 2010 ndani ya chumba cha kupigia kura. Huku nje tutawashangilia sana lakini mishahara yetu mliyo tunyima na kusema hamtaki kura zetu sisi tutawapa wale wanaohitaji kura kwa maendeleo ya wantanzania wote na sio viongozi wachache kama sera yanu ya uongozi inavyosema.

  Mwisho Mungu ibariki Tanzania Mungu Bariki Africa.
   
 2. h

  hagonga Senior Member

  #2
  Sep 25, 2010
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 141
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Leo kuna mdahalo wa nafasi za ubunge- jimbo la ubungo ITV, saa moja hadi saa tatu kamili usiku, msikose nyote!!!


  Tuwapime
   
Loading...