sixgates
JF-Expert Member
- Mar 19, 2011
- 3,979
- 1,662
Napenda nilipongeze jeshi la polisi nchini kwa kulinda usalama wa Dr Slaa haswa pale alipoanza kushambuliwa na wahuni akiwa jukwaani mjini kigoma kasulu.
Japo Dr Slaa amekuwa akilidharau na kulitukana hili jeshi la police, na kusema wanapendelea ccm, lakini kwa kazi ambayo hili jeshi la police linafanya hasa kuimarisha ulinzi katika mikutano ya Slaa, nalipongeza sababu mimi ni muumini wa amani.
Bibi kidude aliwahi kuimba wimbo unaoitwa "mhogo wa jang'ombe" katika huo wimbo ipo mistari inayosema
"Mhogo wa jang'ombe, hujaulamba mwiko, usitukane wakunga na uzazi ungalipo"
Ushauri.
Dr Slaa na wanachadema musiwatukane police wakati bado mpo katika harakati za siasa jamani.
Nakemea vitendo vilivyofanywa kasulu, sii vya kiungwana.