Dr Slaa usitukane wakunga na uzazi ungalipo

sixgates

JF-Expert Member
Mar 19, 2011
3,979
1,662
Napenda nilipongeze jeshi la polisi nchini kwa kulinda usalama wa Dr Slaa haswa pale alipoanza kushambuliwa na wahuni akiwa jukwaani mjini kigoma kasulu.

Japo Dr Slaa amekuwa akilidharau na kulitukana hili jeshi la police, na kusema wanapendelea ccm, lakini kwa kazi ambayo hili jeshi la police linafanya hasa kuimarisha ulinzi katika mikutano ya Slaa, nalipongeza sababu mimi ni muumini wa amani.

Bibi kidude aliwahi kuimba wimbo unaoitwa "mhogo wa jang'ombe" katika huo wimbo ipo mistari inayosema

"Mhogo wa jang'ombe, hujaulamba mwiko, usitukane wakunga na uzazi ungalipo"

Ushauri.
Dr Slaa na wanachadema musiwatukane police wakati bado mpo katika harakati za siasa jamani.

Nakemea vitendo vilivyofanywa kasulu, sii vya kiungwana.
 
Dr slaa dr. Slaa...hamna mambo mengine ya muhimu ya kujadili mbali ya @dr. Slaa?
 
Hivi hawa vijana ambao humu JF tu faili lao ni adhabu tosha wanapataje huu ujasiri wa kuandika haya?

Unajua zamani hawa wanafiki walikuwa wanaiogopa JF! Huu ujasiri umetoka wapi?

Ajabu kweli!!!
 
Napenda nilipongeze jeshi la polisi nchini kwa kulinda usalama wa Dr Slaa haswa pale alipoanza kushambuliwa na wahuni akiwa jukwaani mjini kigoma kasulu.

Japo Dr Slaa amekuwa akilidharau na kulitukana hili jeshi la police, na kusema wanapendelea ccm, lakini kwa kazi ambayo hili jeshi la police linafanya hasa kuimarisha ulinzi katika mikutano ya Slaa, nalipongeza sababu mimi ni muumini wa amani.

Bibi kidude aliwahi kuimba wimbo unaoitwa "mhogo wa jang'ombe" katika huo wimbo ipo mistari inayosema

"Mhogo wa jang'ombe, hujaulamba mwiko, usitukane wakunga na uzazi ungalipo"

Ushauri.
Dr Slaa na wanachadema musiwatukane police wakati bado mpo katika harakati za siasa jamani.

Nakemea vitendo vilivyofanywa kasulu, sii vya kiungwana.

Wewe inaonekana bado unahitaji kurudi cdm ndio maana unaleta post kila mara cdm cdm, si madhambi yako ndio yalikufanya utimuliwe? Muongelee huyo mzee wako
 
Huwezi kuishi bila Chadema ? Walicho fanya huko Kogoma ulikuwa unapikia kelele na leo imekuwaje unasema si uungwana ? Siyouungwana hata wewe kulia lia na Chadema kwa matusi wakati umesha jiondoa
 
Alafu nyie mnaojaribu huko kwenye PM ngoja niwasaidie....

Msirudie....... nacheka tu kwa huu upuuzi......
 
Napenda nilipongeze jeshi la polisi nchini kwa kulinda usalama wa Dr Slaa haswa pale alipoanza kushambuliwa na wahuni akiwa jukwaani mjini kigoma kasulu.

Japo Dr Slaa amekuwa akilidharau na kulitukana hili jeshi la police, na kusema wanapendelea ccm, lakini kwa kazi ambayo hili jeshi la police linafanya hasa kuimarisha ulinzi katika mikutano ya Slaa, nalipongeza sababu mimi ni muumini wa amani.

Bibi kidude aliwahi kuimba wimbo unaoitwa "mhogo wa jang'ombe" katika huo wimbo ipo mistari inayosema

"Mhogo wa jang'ombe, hujaulamba mwiko, usitukane wakunga na uzazi ungalipo"

Ushauri.
Dr Slaa na wanachadema musiwatukane police wakati bado mpo katika harakati za siasa jamani.

Nakemea vitendo vilivyofanywa kasulu, sii vya kiungwana.

Too shallow!
Police services are not a favor, they are surviving through our taxes that we pay. So what Dr. Slaa is saying about them is not a lie at all.
 
Hivi hawa vijana ambao humu JF tu faili lao ni adhabu tosha wanapataje huu ujasiri wa kuandika haya?

Unajua zamani hawa wanafiki walikuwa wanaiogopa JF! Huu ujasiri umetoka wapi?

Ajabu kweli!!!

Mkuu lipi baya nimeandika katika andiko hili
 
Wewe inaonekana bado unahitaji kurudi cdm ndio maana unaleta post kila mara cdm cdm, si madhambi yako ndio yalikufanya utimuliwe? Muongelee huyo mzee wako

Una uhakika nlitimuliwa? Nliondoka kwa hiari yangu
 
Napenda nilipongeze jeshi la polisi nchini kwa kulinda usalama wa Dr Slaa haswa pale alipoanza kushambuliwa na wahuni akiwa jukwaani mjini kigoma kasulu.

Japo Dr Slaa amekuwa akilidharau na kulitukana hili jeshi la police, na kusema wanapendelea ccm, lakini kwa kazi ambayo hili jeshi la police linafanya hasa kuimarisha ulinzi katika mikutano ya Slaa, nalipongeza sababu mimi ni muumini wa amani.

Bibi kidude aliwahi kuimba wimbo unaoitwa "mhogo wa jang'ombe" katika huo wimbo ipo mistari inayosema

"Mhogo wa jang'ombe, hujaulamba mwiko, usitukane wakunga na uzazi ungalipo"

Ushauri.
Dr Slaa na wanachadema musiwatukane police wakati bado mpo katika harakati za siasa jamani.

Nakemea vitendo vilivyofanywa kasulu, sii vya kiungwana.

kwani kusema police wanapendelea CCM ndio tusi? mbona sioni tusi hapo? Na huo ulinzi wanaofanya ni wajibu wao sio upendeleo kwa Dr.Slaa. kwa kifupi sioni cha maana unachotaka kusema.
 
Kwa wataopenda kuusikiliza ni huu hapa:

[video=youtube_share;sZvZksszNW0]http://youtu.be/sZvZksszNW0[/video]

cc Dr.W.Slaa
 
Last edited by a moderator:
kwani kusema police wanapendelea CCM ndio tusi? mbona sioni tusi hapo? Na huo ulinzi wanaofanya ni wajibu wao sio upendeleo kwa Dr.Slaa. kwa kifupi sioni cha maana unachotaka kusema.

Nawapongeza kwa kutimiza wajibu wao ipasavyo. Mikutano ya Slaa inaligharimu jeshi la police kupambana na waandamanaji
 
Napenda nilipongeze jeshi la polisi nchini kwa kulinda usalama wa Dr Slaa haswa pale alipoanza kushambuliwa na wahuni akiwa jukwaani mjini kigoma kasulu.

Japo Dr Slaa amekuwa akilidharau na kulitukana hili jeshi la police, na kusema wanapendelea ccm, lakini kwa kazi ambayo hili jeshi la police linafanya hasa kuimarisha ulinzi katika mikutano ya Slaa, nalipongeza sababu mimi ni muumini wa amani.

Bibi kidude aliwahi kuimba wimbo unaoitwa "mhogo wa jang'ombe" katika huo wimbo ipo mistari inayosema

"Mhogo wa jang'ombe, hujaulamba mwiko, usitukane wakunga na uzazi ungalipo"

Ushauri.
Dr Slaa na wanachadema musiwatukane police wakati bado mpo katika harakati za siasa jamani.

Nakemea vitendo vilivyofanywa kasulu, sii vya kiungwana.

Licha ya hiyo beti, huu wimbo umesheheni beti nzito nzito ambazo ukizisoma utafikiri unaiona picha ya chadema inayoendelea kwa sasa:

MUHOGO WA JANG'OMBE

Date: 25 August, 2003
Kiitikio:

  • Muhogo wa Jang'ombe, sijauramba mwiko
    Usitukane wakunga, na uzazi ungaliko

  1. Kaditamati naapa, muhogo sitonunua
    Haikuwa Maimuna, aliyekwenda ung'oa
    Kapata tete kuanga, na ugonjwa wa shurua
  2. Kula dori kula dori, mshindo wa sufuria
    Guliguli guliguli, kofia ina viua
    Ndiye mimi ndiye mimi, anipataye ukoa
  3. Mungu akitaka kupa, hakuletei barua
    Hukupa usingizini, pasi mwenyewe kujua
    Kwenda mbio sikupata, bure unajisumbua
  4. Mkato wake matege, wakati anapokuja
    Naliiweka dhamiri, ya kumfulia koja
    Wallahi nimeghairi, kiumbe hana mmoja
  5. Kamfunge kamfunge, beberu wa Athumani
    Umfunge umfunge, pahala panapo jani
    Endaye tezi na omo, atarejea ngamani
  6. Sina ngoa sina ngoa, kuhadaiwa sitaki
    Ni mwerevu ni mwerevu, wala sihadaiki
    Pambanua pambanua, viwili havipendeki
  7. Ya nini kutakadamu, kwa jambo lisilokuwa
    Utahadhari na mwiko, wakati wa kupakua
    Ukitamani makoko, chungu utakitoboa
  8. Nauliza masuala, hamnambii jamani
    Watu wake wakishiba, huzidi umaluuni
    Pahala pasipo ngoma, hupandwaje na shetani
Nyimbo ya Bi Kidude
Imeletwa na Hassan O. Ali

Source: MUHOGO WA JANG'OMBE

cc Dr.W.Slaa
 
Dr slaa lazima amuombe radhi zitto pamoja na jeshi la polisi kwa ujumla ametia aibu sana alitukana sana polisi mpaka aliwaita polisi ccm leo ndiyo waliomuokoa.
 
Back
Top Bottom