Elections 2010 Dr. SLAA USIKUBALI, HAIWEZEKANI UMATI WOTE ULE UKUSALITI!

Kevie

New Member
Nov 1, 2010
2
0
Rejea umati wote uliokuwa unakulaki,wengine kukuita Mussa kuokoa wanaisrael,wengine mkombozi, eti leo unapata kura kidogo namna hii,

Sio kweli kabisa eti wajiandikishe watu laki moja halafu wapiga kur wawe elfu arobaini,lazima wamefutilia kura zako nying sana na kuacha za mafisadi.

Kama ni vita wao mafisadi ndio wanaanzisha kwa kuchakachua matokeo,

Tanzania bili kitekwe inawezekana!
 
Possible mkuu kuna watu walikuwa wanafuata helcopter Pumbavu kabisaa hawa.
Kata ya Mkwawa Iringa watu kama 189 hawakuja kupiga kura kati ya 388 na wengi wao ni vijana hopeless kabsaaaaaaaaaaaaa
 
Na hata bado,,,sikiliza matangazo ya Redio... Mkware anapanda kama ROKETI
 
jumapili watu wengi walijitokeza kupiga kura, na hata magazeti ya juma3 yaliripoti high turnout cha kushangaza matokeo yanaonyesha watu wachache wamepiga kura
 
tulikuwa tunafuata helikopta na pia kumwona yule mke wa watu aliyeibiwa
 
watu kibao wamezuiliwa kupiga kura safari hii kwa sababu mbali mbali kubwa kuwa majina hayajachapwa huku mtu anakitambulisho mkononi. Hii si sawa kukuta kituo cha watu 400 only 130 ndio wamepiga kura. Hata hivyo Dr. Slaa ameshinda sana mikoa ya Mbeya, Arusha, Mwanza, Mara, shinyanga na Iringa mjini lakini jamaa hawataki kuyatangaza hadi wayachakachue!!!
 
Jamani nawaombeni muache speculations zinazoweza kupotosha umma. mkusanyiko watu hauna maana kama watu hawana elimu ya uraia ya kuwawezesha kuelewa. hali halisi ni mkoa wa Kagera kuna watu walieneza ucvumi kuwa mkichagua vyama vya upinzani mtaleta vita kama ya Uganda, watu wakapiga kura kwa woga.
 
Jamani, acheni utani. Ki ukweli mshindi ni Dr Slaa, ila kuna hila kubwa imefanywa ndani ya serikali ili Jk aonekane ndiye mshindi, wengi wamejitokeza kupiga kura wakimaanisha ki-ukweli kabisa. Hakuna aliyekuwa anafuata Hekopita wala kuona kitu chochote. Ila tu pale tunapoangalia kura za ubunge sana wao wanaendelea kuchakachua kura za Urais na hii ndiyo inayofanyika sana.
 
Mkakati wa NEC/CCM ni kutangaza mara moja pale tu ambapo Kikwete/CCM imeshinda ili kujenga confidence kwa wananchi kuwa CCM/Kikwete anaongoza kura za urais; ni utamaduni wao wa kushinda. Mkakati huu pia unaweza kuwa na lengo la kuchakachua matokeo ya kura za urais katika maeneo ambapo Kikwete/CCM ameshindwa. Kwamba baada ya kuaminisha umma kuwa Kikwete/CCM imeshinda/inaongoza katika "maeneo mengi" itakuwa rahisi kuhalalisha uchakachuaji wa kura katika maeneo ambapo Kikwete/CCM wameshindwa!!!!!!!!!!!! Ili ije kufahamika kwamba ni kawaida kwa CCM kushinda na kawaida kwa wapinzani kulalamika.
 
unajua watu hasa vijana hapo awali hawakuwa wamepanga kupiga kura hii ni kutokana na uccm na uchakachuaji uliozidi mana wengi walisema sipigi kura sababu mshindi anajulikana , sasa baada ya SLAAAAAA kujitokeza watu wengi walivutiwa naye vijana, wale wote waliopoteza matumaini ya kupiga kura, vijanaaa walihamasika sana na SLAAAAAAAA japokuwa wengi wao hawakujitengenezea mazingira ya kupiga kura, ila nawaeleza kati ya watu milion 19 waliojiandikisha ,waliopiga kura hawafiki hata milioni 10, slaaa anakubalika ila wengi waliopiga kura ni wajinga na masikini wanaosapoti ccm, na wale ambao hawakupiga kuraa wengi ni wa slaaaaaa.vijana wengi ni vijanaaaaaaaa:rip::rip::rip::rip::rip::rip::rip::rip::rip::r
 
katika siasa hata siku moja usijudge kwa kuangalia umati au hadhira inayomsikiliza mgombea kwani wengi huwa siyo wapiga kura that is public lie
 
Tulisahau kufanya kampeni za kitanda kwa kitanda baada ya kuwa tumempata First Lady wa kuazima.
 
Wana-Chadema tulieni, majimbo yaliyotangazwa mengi ni ya zenji. Maeneo tunapokubalika bado hawajatangaza. Chadema iko makini kufuatilia na haibiwi mtu. Freedom is coming.
 
Wana-Chadema tulieni, majimbo yaliyotangazwa mengi ni ya zenji. Maeneo tunapokubalika bado hawajatangaza. Chadema iko makini kufuatilia na haibiwi mtu. Freedom is coming.

Tujipe moyo, lakini tofauti ni kubwa mno. ... Ilitarajiwa.
 
Am optimist.... bado tunawezabadili matokeo wametangaza ngome zao tu
 
Jamani, acheni utani. Ki ukweli mshindi ni Dr Slaa, ila kuna hila kubwa imefanywa ndani ya serikali ili Jk aonekane ndiye mshindi, wengi wamejitokeza kupiga kura wakimaanisha ki-ukweli kabisa. Hakuna aliyekuwa anafuata Hekopita wala kuona kitu chochote. Ila tu pale tunapoangalia kura za ubunge sana wao wanaendelea kuchakachua kura za Urais na hii ndiyo inayofanyika sana.
Kashinda wapi kwa mfano, Acheni kuwa na akili za kitoto!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom