Dr. Slaa umesahau mambo uliyopigania kwa miaka 20?

Hamna uongo utafiti unapingwa kwa utafiti.... Kma ambavyo kafulila alionekana muongo ila leo hii magufuli kakiri kuwa kafulila alikuwa sahihi na hakuwa tumbili kama ambavyo CCM walituaminisha.... Kwahyo mtu anaweza kuwa fisadi kweli ila akileta ushahidi wa jinsi ambavyo hahusiki utaendelea kushikilia bango au unafkiri kamati kuu ni wajinga vile

Lowassa ni waziri mkuu mstaafu so anajua siri nyingi sana za taifa na ndio maana akaishia kuzimwaga na utetezi huko huko kamati kuu na sio huku nje maana wangemletea nongwa hasa..... Cku akikamatwa ndio utaelewa nasema nini au unafkiri CCM wajinga kumuacha ilihali wanamuita fisadi kila kukicha
Ulikuepo iyo siku
 
Kwanini hiyo list of shame mliitoa kwenye website yenu? Nini tafsiri yake?

..kila mtu anakula matapishi yake.

..Dr.Slaa aliwahi kutoa kauli kwamba akipata madaraka atamuweka ndani JPM kutokana na kashfa ya kuuza nyumba za serekali.

..sasa leo Dr.Slaa kaibukia Ikulu akimpa sifa tele JPM. sijui Dr amesahau alichokisema, au alikuwa anafikiri hakuna kumbukumbu ya kauli zake za zamani.

..Na upo uwezekano wa Dr.Slaa kurudi CCM na kuungana na watu walewale waliokuwa wakimfanyia vurugu alipokuwa CDM.

..Utakumbuka shambulizi dhidi ya mke wake kule Arusha. Au shambulizi lililopelekea kuuwawa mwandishi wa habari Daudi Mwangosi, yote hayo mlengwa alikuwa ni Dr.Slaa na watoa amri walikuwa CCM.
 
Ulikuepo iyo siku
Kwani waliongia humo sio wanadamu tunaoishi nao huku uraiani na kufanya nao kazi..... Kamati kuu sio Mungu ni wanadamu mtafute mmoja atakupa A to Z ya kilichojadiliwa cku ile.... Lisu aliweka ngumu haswaaaa mpaka nyaraka zikamwagwa!!! Walihakikisha kwamba kwa namna yoyote hana kandokando lolote linaloweza sababisha kuwapa point CCM ndio maana kampeni nzima ccm wakabaki fisadi fisadi ila hawaweki facts zozote za maana mezani tofauti na ilivyotegemewa maana walijua huyu naye akijibu kazi kwisha

Tena walivyokuwa wajanja waliongelea ufisadi wa Richmond siku ya mwisho ya kampeni wakijua lowassa hana muda wa kujibu hahahhaa CCM bhana walijua wangeropoka kabla ya hapo kungekucha
 
Tukiachana na yote hakuwa na sababu ya kusema tuliopigania miaka 20 yametekelezwa ilihali kuna mambo upinzani wanalilia mpaka leo ikiwemo katiba mpya haijapatikana
Nafasi ya kutengeneza katiba mpya mlipewa mkaichezea,kwa sasa labda tuanze kura ya maoni ya katiba pendekezwa,tena tukipata pesa mwaka 2030
 
Nafasi ya kutengeneza katiba mpya mlipewa mkaichezea,kwa sasa labda tuanze kura ya maoni ya katiba pendekezwa,tena tukipata pesa mwaka 2030
Tuliichezeaje ilihali CCM walikuja na Rasimu yao badala ya kuacha wabunge wake wajadili kwa uwazi na ukweli... Mwisho wa cku rasimu ya warioba ikafutwa yote ikaletwa rasimu ya ccm ilioandaliwa na rose migiro hapo ndipo bunge likamalizwa kabisa maana uchama ukaanza

All in all naamini magufuli kupitia rasimu ya warioba ingemsaidia sana hasa vita dhidi ya ufisadi pamoja na uwajibikaji na kupunguza gharama maana hta post nyingi za kisiasa zingefutwa na majimbo kupunguzwa n.k kwahiyo kwa namna yeyote mchakato wa katiba urudi mezani otherwise mkiweka matumaini kwa mtu mmoja siku akistaafu mnaanza from the scratch

NB: Nammiss sana Humphrey polepole na Prof Kabudi
 
Frustrations baada ya watu kukaripiwa walipojaribu kohoji pongezi za lowasa kwa utendaji wa magufuli.
 
Amesema Slaa ni msaliti,
Amesaliti kiapo cha upadri
Amesaliti kiapo cha ndoa
Amesaliti kiapo cha ukombozi wa Taifa.
Hebu msaidie kujibu haya.
Wakati anaingia chadema, akawa katibu mkuu, akawa mgombea urais, je chadema hawakujua kuwa
1. Dr. Slaa aliasi kanisa?
2. Kuwa Dr. Slaa alikuwa mwana ccm kisha akakisaliti chama kwa kukosa uvumilivu wa kisiasa baada ya kukatwa jina lake?
3. Je chadema haikumsaliti Dr. Slaa??

Haya mambo ya kumlaani na kumpaka matope baada ya kutoka chadema si mazuri na ni unafiki.
Ni wakati muafaka wa chadema kujirekebisha na kuacha tabia hii.
 
All in all naamini magufuli kupitia rasimu ya warioba ingemsaidia sana hasa vita dhidi ya ufisadi pamoja na uwajibikaji na kupunguza gharama maana hta post nyingi za kisiasa zingefutwa na majimbo kupunguzwa n.k kwahiyo kwa namna yeyote mchakato wa katiba urudi mezani otherwise mkiweka matumaini kwa mtu mmoja siku akistaafu mnaanza from the scratch
Rasimu ya katiba pendekezwa ina mambo mengi mnayoyataka,kwa nini msingikubali kwa kuanzia kuna
Tume huru
Matokeo kupingwa mahakamani n.k
Huwezi kupata katiba itakayoridhisha wote kwa 100%,tatizo mlidekezwa sana mkajisahau
Kenya wana katiba ya kurasa 1000,lakini mpaka leowana marais wawili
 
Pole mkuu mbowe alimsaliti slaa kwa vipande vya pesa vya lowassa,katiba mpya walioipigania wakina slaa alioipinga kwa nguvu na ushawishi wake lowassa chadema walimchukua,fisadi namba moja chadema walimchukua,hoja ya ufisadi chadema haipo tena na wala si kipaumbele chao.je slaa amechukua kadi ya ccm!
"Vidaka Tonge", unakimbilia kuwahi kutoa comment utafikiri una cha maana cha kuandika kumbe, " A Heap of Garbage".

Haya yeye kapatiwa "ubalozi" je wewe, umepatiwa nini? Seven Bk.....???
 
Mnamchokonoa weee ...akijibu mnatafutana mwaka mzima ....
hahahahaha wanamchokonoa ??? ana yule mzeeana akili sana kwa pale chadema sidhani kama kuna anayeweza hata kujibizana naye kwa hoja
 
Back
Top Bottom