Dr Slaa: Ukombozi wa pili wa taifa hili ni mgumu kuliko wa kwanza!

mpk

JF-Expert Member
Sep 26, 2012
3,115
3,862
"Ilikuwa rahisi kuikomboa nchi hii kutoka kwa wakoloni wazungu kuliko kuikomboa kutoka kwa hawa wakoloni wazawa" Alisema. Alifafanua kuwa hawa wezi wanadhani nchi ikikombolewa wataishia magereza kwa vile wao hawana pa kukimbilia huku wakoloni walijua watarudi kwao.

Alisema yeye ni padri na imani yake ya kikatoriki inamwabia mtu hawezi kutubu bila kurudisha aliichoiba, "warudishe mali zetu waone kama tutahangaika nao" aliongeza. "Nawaambieni utawala huu hata ufanyeje hauzidi mwaka mmoja na nusu, hivyo wajiandae kurejesha mali zetu". Alisema wakisikia hivyo wanafanya kila njia kubakia madarakani hata kama ni kuondoa uhai wa watu.

Source: Mi mwenyewe na sasa tunaingia Busanda.
 
Dr Slaa ni kama Nuhu, tusipofanya anachotuambia tutaangamia wote kama wakati wa gharika ilivyoangamiza Sodoma na Gomora.
 
Kashindwa kuikomboa chadema mpaka imefia mikononi mwake sasa kahamia ukawa ni katibu aliyepoteza mwelekeo kwenye siasa.
 
Dr Slaa ni kama Nuhu, tusipofanya anachotuambia tutaangamia wote kama wakati wa gharika ilivyoangamiza Sodoma na Gomora.
Yatakukuta wewe tangu lini mtenda dhambi kama yule afananishwe na nuhu,kanisani kwenyewe kakimbia dhambi kibao halafu leo awe mkombozi wa taifa hili safi lenye upeo wa kimungu.
 
inachekesha kujiita yeye ni padre huku akibadilisha wanawake kama mashati, na hata wengine wakiwa na ndoa halali za kanisani na waume wao. huo utukufu wake ni upi? kiukweli tunahitaji ukombozi toka kwa huyu mkoloni mweusi lakini sio viongozi wa aina ya huyu mzee kigeugeu. mara nimeacha upadre, sasa anakuja na single kuwa yeye ni padre.

"Ilikuwa rahisi kuikomboa nchi hii kutoka kwa wakoloni wazungu kuliko kuikomboa kutoka kwa hawa wakoloni wazawa" Alisema. Alifafanua kuwa hawa wezi wanadhani nchi ikikombolewa wataishia magereza kwa vile wao hawana pa kukimbilia huku wakoloni walijua watarudi kwao.

Alisema yeye ni padri na imani yake ya kikatoriki inamwabia mtu hawezi kutubu bila kurudisha aliichoiba, "warudishe mali zetu waone kama tutahangaika nao" aliongeza. "Nawaambieni utawala huu hata ufanyeje hauzidi mwaka mmoja na nusu, hivyo wajiandae kurejesha mali zetu". Alisema wakisikia hivyo wanafanya kila njia kubakia madarakani hata kama ni kuondoa uhai wa watu.

Source: Mi mwenyewe na sasa tunaingia Busanda.
 
Dr Slaa ni kama Nuhu, tusipofanya anachotuambia tutaangamia wote kama wakati wa gharika ilivyoangamiza Sodoma na Gomora.
Nuhu wa chadema au UKAWA?
Hivi Dr slaa kwa fikra zake anafikiri wanaweza kushinda kiti cha Urais? Kwanza yeye hawezi
Kugombea maana Lipumba yupo.

Hivi Dr slaa ni padri!
 
Nuhu hakupika wake za watu. Nuhu hakutelekeza familia yake.
Nuhu hakuwa mzinzi. Usiikanyage Biblia wewe. Ufipa street.
 
Nuhu wa chadema au UKAWA?
Hivi Dr slaa kwa fikra zake anafikiri wanaweza kushinda kiti cha Urais? Kwanza yeye hawezi
Kugombea maana Lipumba yupo.

Hivi Dr slaa ni padri!

CUF: HATUTASUSIA UCHAGUZI MKUU 2015.
MBOWE: UCHAGUZI MKUU 2015 HATUTASHIRIKI.
Mbowe: 2015 tutasimamisha mgombea mmoja wa UKAWA.
 
Hivi Nuhu alikuwa mkombozi wakati wa sodoma na gomora eeh?
Chumvi kwenye chai na nazi kwenye ugali.
 
Yatakukuta wewe tangu lini mtenda dhambi kama yule afananishwe na nuhu,kanisani kwenyewe kakimbia dhambi kibao halafu leo awe mkombozi wa taifa hili safi lenye upeo wa kimungu.

unamaanisha hili taifa la wauaji,wala rushwa,wezi,mafisadi,majangili na wabakaji ndilo taifa la Mungu? Upo serious kweli au upo kutetea buk 7 mkono uende kinywani?
 
"Ilikuwa rahisi kuikomboa nchi hii kutoka kwa wakoloni wazungu kuliko kuikomboa kutoka kwa hawa wakoloni wazawa" Alisema. Alifafanua kuwa hawa wezi wanadhani nchi ikikombolewa wataishia magereza kwa vile wao hawana pa kukimbilia huku wakoloni walijua watarudi kwao.

Alisema yeye ni padri na imani yake ya kikatoriki inamwabia mtu hawezi kutubu bila kurudisha aliichoiba, "warudishe mali zetu waone kama tutahangaika nao" aliongeza. "Nawaambieni utawala huu hata ufanyeje hauzidi mwaka mmoja na nusu, hivyo wajiandae kurejesha mali zetu". Alisema wakisikia hivyo wanafanya kila njia kubakia madarakani hata kama ni kuondoa uhai wa watu.

Source: Mi mwenyewe na sasa tunaingia Busanda.
Kumbe bado Padri mbona wafuasi wake wanasema alishastaafu.
 
Tuko pamoja Dr. Slaa. Tuko tayari na inawezekana. ...hatutavumilia siasa za uongo na wizi mali za taifa.
 
Slaa anajua fika kuwa hawawez kuitoa ccm madarakani sema kazunguka kuongea tu "eti wanafanya kila ila kubakia madarakani"aaaaaaaaaaaaaah kweli mfa maji haachi kutapatapa kuwaambia tu wananchi kuwa siwez kuitoa ccm madarakani ni ngumu kashindwa nn?slaa hutoweza na huwezi hata kidogo biashara ya jumla ikikushinda,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,rejarejaaaaa
 
Kwa sababu, hakuna ukoloni huo unaosemwa bali ni mbinu tu ya waroho wa madaraka kuupindisha ukweli kwa maslahi yao.
UKOMBOZI WA PILI HAUPO, KWAKUWA NI 'IRRELEVANT!'
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom