Dr. Slaa: Tutamshtaki JK.....................

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
219,470
911,173
Gazeti la Mwanahalisi limeripoti ya kuwa Dr. Slaa kumshitaki JK Mahakamani kama hataanzisha mchakato wa katiba mypa................

Nionavyo hii sasa ni purukshani ya mfa maji..............................hata unyasi atakamata akifikiri utamwokoa..........................

JK na CCM hawana mpango wa katiba mpya na watanzania wamewachagua wakielewa hivyo sasa Dr. Slaa ambaye tunaelezwa ni mwanasheria haelewi kuwa Mahakama siyo mahali pa kudai sera za chama chako kilichoshindwa kushika dola kwa ridhaa ya watanzania. Hivyo, basi Chadema au Dr. Slaa hakiwezi kukishinikiza CCM ambacho kina ridhaa ya kuongoza ya wananchi................Chadema wanao uhuru wa kupinga matokeo yoyote yale kama hawaridhiki nayo lakini wakikaa kimya ni kuwa wameyakubali na vurugu za maandamano na nyinginezo ni utovu wa nidhamu na ni juu ya serikali kutuhakikishia ulinzi na usalama sisi raia wengine ambao tunataka kuchapa kazi na kuliendeleza taifa hili masikini sana duniani..................

You do not need to be a lawyer to comprehend this factual reality..............that courts of law have no mandate to define or enforce policy preferences..................only voters have that mandate as per our own constitution.............
 
JK Kashinda kuwa raisi ila c kwa mridhaa ya watanzania wote kama udhaniavyo, huwezi sema rais anaye ongoza taifa la watu mil 40 na zaidi ameteuliwa na watu asilimia 27 na akaitwa rais wa haki. kwa wenzetu walio endelea wanajua nini maana ya demokrasia na sio tanzania, mwacheni slaa atafute haki anayo ona amenyimwa lets just watch cos kama ni katiba ya tanzania ki uhalisia haifai na inahitaji mabadiliko, tuache tu ushabiki wa vyama tuangalie maendeleo ya nchi yetu huko mbele yatakuwa vipi
 
Gazeti la Mwanahalisi limeripoti ya kuwa Dr. Slaa kumshitaki JK Mahakamani kama hataanzisha mchakato wa katiba mypa................

Nionavyo hii sasa ni purukshani ya mfa maji..............................hata unyasi atakamata akifikiri utamwokoa..........................

JK na CCM hawana mpango wa katiba mpya na watanzania wamewachagua wakielewa hivyo sasa Dr. Slaa ambaye tunaelezwa ni mwanasheria haelewi kuwa Mahakama siyo mahali pa kudai sera za chama chako kilichoshindwa kushika dola kwa ridhaa ya watanzania. Hivyo, basi Chadema au Dr. Slaa hakiwezi kukishinikiza CCM ambacho kina ridhaa ya kuongoza ya wananchi................Chadema wanao uhuru wa kupinga matokeo yoyote yale kama hawaridhiki nayo lakini wakikaa kimya ni kuwa wameyakubali na vurugu za maandamano na nyinginezo ni utovu wa nidhamu na ni juu ya serikali kutuhakikishia ulinzi na usalama sisi raia wengine ambao tunataka kuchapa kazi na kuliendeleza taifa hili masikini sana duniani..................

You do not need to be a lawyer to comprehend this factual reality..............that courts of law have no mandate to define or enforce policy preferences..................only voters have that mandate as per our own constitution.............

My friend Ruta--nyuma---I am sure you are living in another planet: check hiyo red, when did CDM brought chaos and demonstrations that needed intervention from govt-and its forces? Wenye kuleta vurugu Tanzania ni wale wanaong'ang'ania kubaki madarakani at the expense of the majority, tena using govt arms. Then cheki hiyo blue, umaskini wa Tanzania ni kweli; but have you ever asked yourself criticaly why we are made poor? Who is responsible? Do you think is a God given curse that we should live in abject poverty for over 40 years of independence? You must be living in your own world where you are clueless about Tanzanians. So please don't talk on their behalf
 
The same JK sometime ago alishasema HAJUI KWA NINI WATANZANIA NI AMSIKINI................ A FACT HARD TO BELIEVE
 
Hivi................HAPO UNAZUNGUMZIA KATIBA YA CCM AU YA TANZANIA.............???? UNAPOSEMA.........."watanzania wamewachagua wakielewa hivyo"..................... WHERE DO YOU PUT Dr. SLAA....??? AU UMESHAMNYANG'ANYA URAIA.......???
 
What are the solutions for our problems, and how to get the solutions for our problems? To me I see the movement for CDM as the right one, otherwise should we keep quit and wait for 2015 to have the same situation as the one happened last month? No, I say no we have to do something.

Mimi nawewe tunaweza, naamini kabisa hata Dr Slaa siyo mungu hivyo tufanye kitu katika nafasi yetu hapa tulipo kila mmoja wetu ili kusaidia CDM hata kwa mawazo inatosha. Naimani hapa tuko wengi wenye pumba na wenye mchele kwa hiyo CDM na sisi tuna wajibu wa kuhakikishia tunafanya kitu chenye maslahi ya taifa.

If we play our part, by analysing the whole process from A - Z we must win this battle. And it is possible only if we all play efficiently. It doesn't matter where you are.
 
Well said.................. unajuwa tukiweka maslahi ya chama mbele na kuacha ya taifa..............tumekwisha...........
 
My friend Ruta--nyuma---I am sure you are living in another planet: check hiyo red, when did CDM brought chaos and demonstrations that needed intervention from govt-and its forces? Wenye kuleta vurugu Tanzania ni wale wanaong'ang'ania kubaki madarakani at the expense of the majority, tena using govt arms. Then cheki hiyo blue, umaskini wa Tanzania ni kweli; but have you ever asked yourself criticaly why we are made poor? Who is responsible? Do you think is a God given curse that we should live in abject poverty for over 40 years of independence? You must be living in your own world where you are clueless about Tanzanians. So please don't talk on their behalf

Kushina kwa CCm uchaguzi maana yake wapiga kura wameafiki na Ilani yao ya uchaguzi...........hivyo siyo sahihi kwa CDM kutegema kupindisha ridhaa ya watanzania kwa mutut wa kimahakama hiyo mahakama haina uwezo huo.........................

Umsikini ni jadi yetu ya kupenda vijiweni badala ya kufanya kazi.......................jiulize hivi leo ni asilimia ngapi ya watanzania wamezalisha lolote? Hapo siri yote ya umasikini utaipata..............watanzania tunapenda haki bila ya wajibu...............tutafika kweli?
 
mwacheni slaa atafute haki anayo ona amenyimwa lets just watch cos kama ni katiba ya tanzania ki uhalisia haifai na inahitaji mabadiliko, tuache tu ushabiki wa vyama tuangalie maendeleo ya nchi yetu huko mbele yatakuwa vipi

Hakuna haki hiyo mahakamani ya kuipindisha demokrasia.......................kupitia kivuli cha kimahakama.....................
 
If we play our part, by analysing the whole process from A - Z we must win this battle. And it is possible only if we all play efficiently. It doesn't matter where you are.
Haki inayotambuliwa kisheria ni Dr. Slaa kuipeleka NEC mahakamani kwa kuchakachua matokeo ya kura ya Uraisi kinyume na Ibara Na. 41(5) ya katiba ya JMT ambayo imeweka wazi Uraisi utaamuliwa kulingana na taratibu za sheria ya uchaguzi ambazo NEC hawakuzifuata...................Chadema wanatafuta visingizio kwa kutumia Ibara Na. 41 (7) ya katiba tajwa kama ndiyo inayowazuia wasiende huko lakini hiyo Ibara imeweka wazi ya kuwa kama matokeo yaliyotangazwa na NEC hayatapingwa kwenye chombo chochote ikiwemo mahakama kama yamezingatia Ibara nzima ya 41 na kwenye mgogoro huu wa kikatiba NEC kuna ushahidi wakutosha wa NEC kutoifuata Ibara 41 (5).........na hivyo kuiruhusu mahakama kuingilia kati na kutatua mgogoro tajwa..........................

Chadema wanaelewa wakienda huko watashinda kesi na kura za JK zitapungua hadi kufikia 44.56% na Dr. Slaa kuwa 44.45%.................ila kinachowaudhi ni kuwa bado Mahakama itamthibitisha JK kwa kura 13, 354............................................Na Chadema kwa vile wanamulika leo tu hawana kiona mbali kuwa kwa kuidhalilisha NEC mahakamani mchakato wa katiba mpya na mageuzi ndani ya NEC yatakuwa rahisi kufanyika kwa sababu kuanzia maamuzi ya kimahakama utakuwepo ushahidi uliothibitishwa kimahakama..............................
 
My friend Ruta--nyuma---I am sure you are living in another planet: check hiyo red, when did CDM brought chaos and demonstrations that needed intervention from govt-and its forces? Wenye kuleta vurugu Tanzania ni wale wanaong'ang'ania kubaki madarakani at the expense of the majority, tena using govt arms. Then cheki hiyo blue, umaskini wa Tanzania ni kweli; but have you ever asked yourself criticaly why we are made poor? Who is responsible? Do you think is a God given curse that we should live in abject poverty for over 40 years of independence? You must be living in your own world where you are clueless about Tanzanians. So please don't talk on their behalf
Swali lako sitalijibu kwa sababu hujiheshimu.......na wewe angalia sehemu niliyoweka nyekundu kuthibitisha huna malezi mazuri.........Sijui mawazo yako yanafikiri nini hadi ukalitenganisha jina langu hivyo........................Ni kweli mkono wa mjinga huandika popote...............Tupo hapo tunaongelea mambo mazito ya mustakabali wa kitaifa lakini mwenzetu yaekea umejielekeza kuleta tafurani isiyo ya lazima................................make your point but do not debase others......respect others to earn your respect.......
 
Back
Top Bottom