Dr Slaa Tusikilize popote ulipo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dr Slaa Tusikilize popote ulipo

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by MchunguZI, Oct 21, 2010.

 1. MchunguZI

  MchunguZI JF-Expert Member

  #1
  Oct 21, 2010
  Joined: Jun 14, 2008
  Messages: 3,623
  Likes Received: 590
  Trophy Points: 280
  Mod. nisamehe nahisi kama Rais Slaa au wana CHADEMA walio karibu naye kila siku, wanaweza wasipate ujumbe huu kama nitaandika kwenye thrd nyingine.

  Mkuu wetu, tafadhari kuhusu kujibu maswali 'live' ni hatari kwako. Tatizo siyo wananchi wema wanaotaka kukusikia au kuelewa utakakotupeleka. Tatizo liko kwa waharibifu.

  Amini usiamini, sasa hivi kuna kila juhudi za kuonyesha kwamba hufai. Yatakupata yale ya Vurugu za Kenya baada ya uchaguzi, kipindi ambacho watu walipiga simu ktk FM radio na kutukana na kutoa maoni ya kuuwa.

  Uelewa wa wananchi tunatofautiana, wengine wataamini utakayoambiwa vibaya na wengine watadhalau. Ni vibaya kuwapa wabaya wako muda wa kubishana nao kwenye chombo cha habari.

  Kubali kuhojiwa na waandishi wa habari hata kama watakusanya maswali toka kwa wananchi na kuyachuja.
   
 2. Sir R

  Sir R JF-Expert Member

  #2
  Oct 21, 2010
  Joined: Oct 23, 2009
  Messages: 2,177
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  Shaka ondoa, Dr slaa ni doctor wa ukweli; wajaribu atawaumbua tu. Siyo mwoga.
   
 3. Quinine

  Quinine JF-Expert Member

  #3
  Oct 21, 2010
  Joined: Jul 26, 2010
  Messages: 10,897
  Likes Received: 12,002
  Trophy Points: 280
  Mtu mchafu always hujificha gizani na mtu safi hukaa kwenye mwanga uchafu wowote utakaloletwa kwenye mwanga(live) kwa nia ya kumchafua utaonekana wazi na watu watamjua mchafu ni nani.
   
 4. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #4
  Oct 21, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,340
  Likes Received: 19,522
  Trophy Points: 280
  nakubaliana na ww jamaa
   
 5. Mimibaba

  Mimibaba JF-Expert Member

  #5
  Oct 21, 2010
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 4,566
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Do not worry subiri uamini a Phd holder katika panel. Hapa ndipo hao unaowahofia watapata ufahamu. Pia kumbuka ana clean political slate and a record of achievements ambazo ndio mvuto wa wananchi at least mimi. Pia itakuwa vizuri akionyesha weaknesses kwani yeye ni mwanadamu tu anaemtegemea Mungu wenye hekima watazigeuza ziwe strengths.

  Nampenda Slaa na Chadema kwa mtazamo wao wa maendeleo wa kitaifa tofauti na offer za kiupendeleo kwa wenye influence kuhamisha bajeti za serkali kwa ubinafsi. Pia naamini atatoa mchango mkubwa akiwa raisi angalau wa mabadiliko ambayo yanahitajika sasa na siyo baadae
   
 6. M

  Mchungaji Ritch Senior Member

  #6
  Oct 21, 2010
  Joined: Sep 4, 2010
  Messages: 116
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Yeahn ni hatari lakini ndio uwajibikaji huo cha msingi angalia je advantages outweigh disadvantages kwa ushiriki wako ktk mdahalo
   
 7. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #7
  Oct 21, 2010
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Nafurahi kwa tahadhari yako,pamoja na kwamba yuko makini inabidi awe makini zaidi kwa sasa kwa kweli
   
 8. u

  urasa JF-Expert Member

  #8
  Oct 21, 2010
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 435
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  If u want to measure wisdom of a person,give him/her a chance to speak,right time for slaa to seak in the media,ifanywe kwa kikwete na wengineo pia ili wapiga kura wawajue,najua chama kizee hawawezi kumpeleka mgombea wao mbele ya media house yoyote,i know he is allegic to media house discussions
   
 9. Donyongijape

  Donyongijape JF-Expert Member

  #9
  Oct 21, 2010
  Joined: May 28, 2010
  Messages: 1,451
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 160
  Mimi nakubaliana na wewe kama Dr ataenda mwenyewe,kuna sum ishuz real kama watambambikia na itakuwa massacre kwake na chadema asipoangalia vizuri..watanzania watapata mwanya wa kumuona na kumjaji yeye kama yeye lakini si kumlinganisha na fulani..so mimi nadhani ni heri hata kama JK hatakuwepo basi atafutwe Lipumba,Mziray,Rungwe etc na wao wawepo.asiwe yeye peke yake..! Hii itasaidia kuziba vacuum ambayo inaweza kujitokeza kutokana na yeye kuwepo mwenyewe,though i believe kama hakutakuwa na 'watumwa' ili kumvunja moyo,hakika ile siku itakuwa ni ya thamani kama dhahabu kwani atafikia millions of voters at one time....Go My President
   
 10. Sir R

  Sir R JF-Expert Member

  #10
  Oct 22, 2010
  Joined: Oct 23, 2009
  Messages: 2,177
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  Kama hao wengine hawataki, tuwalazimishe?
   
Loading...