Dr. Slaa: Tundu Lissu ana tabia ya kuyumbayumba, amsifu Hamad Rashid (KUB 2005-2010)

Kama Tundu Lisu ana tabia ya kuyumba yumba, unatuambia sisi ili iweje??
Mimi namjua Tundu Antipas Lissu kama wakili wa kujitegemea, m bunge, mwanachama na kiongozi wa CHADEMA.

Lkn huyu dokta Slaa simuelewi elewi hata kidogo.
Alituambia kinyesi yaani (Lowasa) kuja CHADEMA ni sawa na mtu kutoa kinyesi chooni na kukimwaga sebuleni. Mm nilimuelewa.

Ajabu yeye dk Slaa aliyekuwa sebuleni yaani CHADEMA kakimbilia chooni yaani CCM alikotoka Lowasa na kumuacha Lowasa sebuleni.
Sasa huyu mzee Slaa ana akili gani mpaka akimbilie huko alikotuambia ni chooni yaani CCM?

Leo Lowasa karudi huko huko aliko Slaa na wala hakumbuki kama aliwahi kumwita kinyesi, woote wamo ndani ya shimo moja lililojaa kinyesi mafisadi na wala hatumuoni dk Slaa akikimbilia kwingine.

Mzee Slaa, aliyekosa msimamo na hoja ni wewe wala siyo Tundu Lisu.

Nakushauri wewe ambaye sasa hivi ni sehemu ya kinyesi ccm ule mkate wako huko chooni kimya, kimya, maana ukijasema saana uliowaumiza watakuweka kapu moja na mtemi Jiwe aliyetaka kuutoa uhai wa Tundu Lisu

Sent using Jamii Forums mobile app
Ungejibu hoja yake kamanda

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kama Lissu alimwita Lowassa shetani lakini akashiriki kumpa nafasi agombee nafasi ya juu ya uongozi wa kanisa..

Lissu ni sehemu ya uongozi ulioshiriki kumpokea Lowassa na kumfanya mgombea plus kumnadi majukwaani. Usimchomoe na kumwachia mzigo Mbowe peke yake.

Dr Slaa unafahamu kuwa hiyo ndio ilikuwa sababu za kuchomoka upinzani koz alimkubali Lowassa kwa sharti la kuungama jukwaani kwamba nilikuwa fisadi sasa naacha. Kwa mshangao alipitishwa bila kufanya hivyo .. Slaa akasepa..
Lowasa kasimishwa na chama kugombea sio lisu kama lisu, sakata la lowasa hata yeye Slaa alikubaliana nalo.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lissu kuyumba...

wazungu wanatuibia madini.... Magu anakamata kontena.Lissu amekasirika....Raisi mjinga na anefanya maamuzi ya ajabu..

Kumbe anatetea mteja wake Akashia

Ndugu zangu,

Kwenye kitabu chake ambacho kwa sasa ni gumzo Tanzania na ughaibuni kinachoitwa "Nyuma ya pazia" Dr.Slaa anweleza Lissu kama mtu mwenye kuyumba yumba na kudandia hoja.Kwa sasa nimefika ukurasa wa 215.View attachment 1351152

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndugu zangu,

Kwenye kitabu chake ambacho kwa sasa ni gumzo Tanzania na ughaibuni kinachoitwa "Nyuma ya pazia" Dr.Slaa anweleza Lissu kama mtu mwenye kuyumba yumba na kudandia hoja.Kwa sasa nimefika ukurasa wa 215.View attachment 1351152

Sent using Jamii Forums mobile app
Meko akimuona jamaa kiharusi kinampata
IMG_20200206_112905.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toka namfahamu lisu kama mwanasiasa sijawi kusikia kuyumba kwake katika matamshi yake, na ndio sababu jiwe alitaka kumuua sababu ni mtu wa msimamo hayumbi yumbi, maana kuna wanasiasa wengi tu wanayuyumba na kwa matamshi yao unaona kabisa hawana msimamo na Dr. Slaa ni mmoja wao, pia jiwe naye yumo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama haujasikia wewe ndio inakuwaje mkuu?
Vipi kumweka Lowassa kwenye “list of shame” pale Mwembeyanga halafu kumnadi nchi nzima huko kama sio kuyumba tupe wewe jina lingine.
 
Ndugu zangu,

Kwenye kitabu chake ambacho kwa sasa ni gumzo Tanzania na ughaibuni kinachoitwa "Nyuma ya pazia" Dr.Slaa anweleza Lissu kama mtu mwenye kuyumba yumba na kudandia hoja.Kwa sasa nimefika ukurasa wa 215.View attachment 1351152

Sent using Jamii Forums mobile app
Yeye tunajua amejiunga ama ameungana na CCM. Lakini tunajua pia kwamba Lissu wana ugomvi na serikali ya akina Dr. Slaa. Sasa huko kuyumba kwa Lissu ni katika lipi? Aweke wazi Lissu kayumba wapi? Maana sisi tunajua hata matatizo anayokumbana nayo yanatokana na ugomvi wake na serikali ya akina Dr. Slaa.
 
Kuandika majina ya watu ktk kitabu ambacho ulikuwa peke yako ni uzandiki wa kiwango Cha Hali ya juu.Willy Kama anavyojulikana Karatu anafiti zaidi akiwa upinzani kwa kuwa si mnafiki.anaijua vizuri Sana ccm.kuanza kuandika kitabu na kuanza kumshambulia Lissu ni Mambo binafsi na kulipa kisasi kwa vile Lissu hakumtetea kipindi Cha uteuzi.aliye dai hamtaki chadema mbona wako wote huko Kama si unafiki.toka Lissu ashambuliwe amewahi lini kutoa neno Leo ndiyo kamkumbuka Tena kwa matusi.kweli nimeamini ukimsikia mbwa anabweka ujue Hana mnofu mdomoni .huyu ni yule aliyekuwa cdm?.

Sent using Jamii Forums mobile app
Umetoa hoja nzuri sana! Dr. Slaa alisema amekimbilia CCM kwa sababu hamtaki Lowassa. Huyo Lowassa karudi CCM na wako wote huko. Mbona hakimbii CCM na kwenda chama kingine kisicho na Lowassa? NI uzandiki tu malaya huyo wa kisiasa
 
Kama haujasikia wewe ndio inakuwaje mkuu?
Vipi kumweka Lowassa kwenye “list of shame” pale Mwembeyanga halafu kumnadi nchi nzima huko kama sio kuyumba tupe wewe jina lingine.
Kwani sasa Lowassa yuko wapi? Mbona wapo wote huko CCM? Si akimbie na huko CCM na kwenda CUF au chama kingine? Nafikiri nafsi inamsuta
 
Ndugu zangu,

Kwenye kitabu chake ambacho kwa sasa ni gumzo Tanzania na ughaibuni kinachoitwa "Nyuma ya pazia" Dr.Slaa anweleza Lissu kama mtu mwenye kuyumba yumba na kudandia hoja.Kwa sasa nimefika ukurasa wa 215.View attachment 1351152

Sent using Jamii Forums mobile app
Tundu Lisu kakemea mambo ya madini tangu 2003, yeye Slaa alikuwa kimya akatuletea orodha ya mafisadi ambayo hadi Leo hawezi kuthubutu kuiongelea
 
Kwa page hiyo tu inaonekana kitabu hicho si cha kuelezea mambo, kuyachambua, kukiri na kutoa muekekeo (ushauri), bali ni kitabu cha kujigamba, kushambulia, kujitetea na kutoa madukuduku.
Hakina hadhi ya kitabu, angeandika makala tu.
Watu hawajui hata maana ya kitabu. Madukuduku na ubeya tu nao unaandikia kitabu? Naona nafsi yake inamsuta huyu jamaa Dr. wa mihogo.
 
Ndugu zangu,

Kwenye kitabu chake ambacho kwa sasa ni gumzo Tanzania na ughaibuni kinachoitwa "Nyuma ya pazia" Dr.Slaa anweleza Lissu kama mtu mwenye kuyumba yumba na kudandia hoja.Kwa sasa nimefika ukurasa wa 215.View attachment 1351152

Sent using Jamii Forums mobile app
Dr slaa hana mfano wa kuigwa yeye ndiyo anayumba kwani alinunuliwa na CCM kwa dola milion 2 akahama chadema kwa njia haramu na kukimbilia Canada kisha akazawadiwa Rushwa ya ubalozi Sweden, babu mihogo hana sifa yeyote ile ya kuigwa ni mtu asiye na maana kabsa kwani hata mke aliyenaye ni mke alimpora mtu
 
Tundu Lisu kakemea mambo ya madini tangu 2003, yeye Slaa alikuwa kimya akatuletea orodha ya mafisadi ambayo hadi Leo hawezi kuthubutu kuiongelea
Wakati Tundu lisu anaipigania Nchi Dr mihogo kalikuwa busy na michepuko mpaka kakafumaniwa Dodoma na mke wa mtu hako kazee ni kazinzi sana hakana mfano wa kuigwa hata mmoja
 
Tundu Lisu kakemea mambo ya madini tangu 2003, yeye Slaa alikuwa kimya akatuletea orodha ya mafisadi ambayo hadi Leo hawezi kuthubutu kuiongelea
Kwa taarifa tu ambazo wengi hawajui ni kwamba list ya mafisadi ile ya kwanza ya mwembeyanga pamoja na ya pili kule tabora ambazo zote zilisomwa na Dr slaa aliyeziandaa pamoja na vielelezo vyake ni Tundu Lissu.Dr Slaa aliisoma tu ila credit zote zapaswa kumwendea aliyeandaa ambaye ni Tundu Lissu
 
Back
Top Bottom