Dr. Slaa: Tundu Lissu ana tabia ya kuyumbayumba, amsifu Hamad Rashid (KUB 2005-2010)

Na ilikuaje Dr. Slaa ndiye aliyemleta Lowassa na akatambulisha kwa Mbowe?

dodge
Ndo maana nikasema wanasiasa wote ni waongo labda wanachotofautiana ni aibu. Kama lissu alimuita Lowasa mwizi ila akampokea chamani na kuanza kumsafisha na slaa akamuita mwizi ila baadae akampokea though baadae nafsi ikamsuta akaondoka nadhani hapa wote wanashare sifa ya uongo ila lisu hana aibu na slaa ana aibu
 
Khs wanasiiasa kua waongo hio iko kwny DNA yao.

Slaa ana aibu gani sasa,si ni yeye kila siku alikua anaiponda CCM na kulilia haki za binadamu sijui nini full kuongoza maandamano lkn leo amepewa ubalozi na hao hao CCM na akihojiwa vipi kuhusu wapinzani kuwekwa ndani kila siku/kuzuiwa kufanya mikutano anakwambia watanzania hawa angalii mambo ya haki za binadamu wao wanataka maendeleo tu(fly over,madaraja),sasa huyo mtu ana akili kweli.

Na usisahau mwenyekiti wa CCM alikua anasema mafisadi yamekimbilia Chadema(Lowassa) lkn ni yeye huyo huyo aliyekua wa kwanza kumpokea Lowassa pake Ikulu huku akisema 'Baba wa watu hana shida ni mtu msafi kabisa,mwenye busara' na CCM itamtumia kuletea maendeleo watanzania.

Hao ndio wanasiasa.

dodge
 
Ndo maana nikasema wanasiasa wote ni waongo labda wanachotofautiana ni aibu. Kama lissu alimuita Lowasa mwizi ila akampokea chamani na kuanza kumsafisha na slaa akamuita mwizi ila baadae akampokea though baadae nafsi ikamsuta akaondoka nadhani hapa wote wanashare sifa ya uongo ila lisu hana aibu na slaa ana aibu
Mkuu. Ujamuelewa huyo hataki umseme dr slaa ila mseme lisu tu. wakati slaa ameyumba ZAIDI.
 
Toka namfahamu lisu kama mwanasiasa sijawi kusikia kuyumba kwake katika matamshi yake, na ndio sababu jiwe alitaka kumuua sababu ni mtu wa msimamo hayumbi yumbi, maana kuna wanasiasa wengi tu wanayuyumba na kwa matamshi yao unaona kabisa hawana msimamo na Dr. Slaa ni mmoja wao, pia jiwe naye yumo.

Sent using Jamii Forums mobile app

Alimshambulia lowasa kwa maneno akiwa CCM kisha akamsafisha na kumsifu akiwa chadema, na kugeuza maneno yake, je hapo siyo kuyumba kwa mtu mwenye taaruma ya sheria?
 
Mmbulu ndo ugonjwa gani?
Huyu mmbulu alikosa ulaji ccm akakimbilia chadema,akaporwa tonge la urais chadema akarudi ccm,akiporwa ubalozi waezamkuta act!!
Alitaka upadri mara akaacha akamtamani pareso akala mara akamwacha tena akageukia mke wa mtu akatishiwa kuuwawa akamwacha akageukia kupora tena mke wa mtu mwingine na kukimbia naye huko ughaibuni baada ya kushindwa kumuoa hapa!! Ajabu anaona wenzie ndiyo wanayumbayumba... wakati yeye anaanguka-anguka!! Kasomeni mavitabu ya ujinga vizabizabina huko mbali msitusumbue.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama Tundu Lisu ana tabia ya kuyumba yumba, unatuambia sisi ili iweje??
Mimi namjua Tundu Antipas Lissu kama wakili wa kujitegemea, m bunge, mwanachama na kiongozi wa CHADEMA.

Lkn huyu dokta Slaa simuelewi elewi hata kidogo.
Alituambia kinyesi yaani (Lowasa) kuja CHADEMA ni sawa na mtu kutoa kinyesi chooni na kukimwaga sebuleni. Mm nilimuelewa.

Ajabu yeye dk Slaa aliyekuwa sebuleni yaani CHADEMA kakimbilia chooni yaani CCM alikotoka Lowasa na kumuacha Lowasa sebuleni.
Sasa huyu mzee Slaa ana akili gani mpaka akimbilie huko alikotuambia ni chooni yaani CCM?

Leo Lowasa karudi huko huko aliko Slaa na wala hakumbuki kama aliwahi kumwita kinyesi, woote wamo ndani ya shimo moja lililojaa kinyesi mafisadi na wala hatumuoni dk Slaa akikimbilia kwingine.

Mzee Slaa, aliyekosa msimamo na hoja ni wewe wala siyo Tundu Lisu.

Nakushauri wewe ambaye sasa hivi ni sehemu ya kinyesi ccm ule mkate wako huko chooni kimya, kimya, maana ukijasema saana uliowaumiza watakuweka kapu moja na mtemi Jiwe aliyetaka kuutoa uhai wa Tundu Lisu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom