Dr. Slaa: Tundu Lissu ana tabia ya kuyumbayumba, amsifu Hamad Rashid (KUB 2005-2010)

Yeye tunajua amejiunga ama ameungana na CCM. Lakini tunajua pia kwamba Lissu wana ugomvi na serikali ya akina Dr. Slaa. Sasa huko kuyumba kwa Lissu ni katika lipi? Aweke wazi Lissu kayumba wapi? Maana sisi tunajua hata matatizo anayokumbana nayo yanatokana na ugomvi wake na serikali ya akina Dr. Slaa.
Rudia kusoma kamanda

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Slaa ana uwezo Mdogo sana sema alipewa Umaarufu na chadema kwa Sapot ya Muhamko wa Vijana

Lissu ni Akili kubwa ana uwezo wa kujenga hoja na kuitetea, Slaa alikua Mpaka Achambuliwe na apigishwe msasa na Vijana
Mbona baada yakuondoka Slaa chadema imekufa kifo Cha mende? Af huyo lisu ni kweli hana msimamo, anatuambiaje kuhusu Lowasa?
 
Mfano:
Then>Lowasaaaaa ! Fisadiiii ! 🔊
After> Lowasaaaaa ! Msafiiii ! 🔊
Now > Lowasaaaaa ! 🤔🤔🤔 !🙃
Hawa manyumbu kumbukumbu hawana kabisa! Eti leo Lisu ndio kamanda. Wamesahau km alikiri kuwa alihusika kuandaa ripoti yamafisadi. Mwisho wasiku katiba yachama ikavunjwa ili fisadi awe Rais, Tena akiwa mwanasheria mkuu was chama.
 
Wenzetu mabeberu wakiandikaga vitabu vyao huwa hawaachi kitu, huweka kila linalowahusu hata kama alichepuka na mke wa ndugu yake kwenye kitabu atasema na kuomba samahani.. Ila hivi vitabu vya wabongo vinaacha magepu mingi sana kuhusu mhusika kifupi siasa zinaendelea mpaka kwenye vitabu..
nunua kitabu kasome. Hajaacha kitu. Vyote kaweka wazi!
 
yeye mbona aliyumbayumba hadi kufikia hatua ya kuanguka chooni kule mwanza
[. Lisu akiwa mwanasheria mkuu was CDM alisimamia katiba ya chama kuvunjwa. Fisadi anakatwa CCM jioni anagombea chadema. Ndio chanzo Cha kudharaulika kwa chadema.
 
Mara nyingi ukishasaliti umma unakuwa kama punguani, yaani nani ataamini anachosema slaa? Suala sio ikulu ama lowasa ama lissu ama Rashid hamad ama sijui nini ni wananchi wa TZ na alivyohutubia sambamba na yeye binafsi alipoingia majaribuni alichowatendea. FULL STOP
 
Ni kama Lissu alimwita Lowassa shetani lakini akashiriki kumpa nafasi agombee nafasi ya juu ya uongozi wa kanisa..

Lissu ni sehemu ya uongozi ulioshiriki kumpokea Lowassa na kumfanya mgombea plus kumnadi majukwaani. Usimchomoe na kumwachia mzigo Mbowe peke yake.

Dr Slaa unafahamu kuwa hiyo ndio ilikuwa sababu za kuchomoka upinzani koz alimkubali Lowassa kwa sharti la kuungama jukwaani kwamba nilikuwa fisadi sasa naacha. Kwa mshangao alipitishwa bila kufanya hivyo .. Slaa akasepa..

Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa kenge wanapenda kujisahaulisha. Upinzani Kuja kupata mwanasiasa km Dr Slaa tutasubiri Sana. Lisu hajawahi kuwa na msimamo. Lisu, Mbowe , na mshenga wao Gwajima wanajua upuuzi waliofanya 2015. Pesa ilimuua Yuda! Leo lichama limewafia, KARMA is a bitch
 
Ndugu zangu,

Kwenye kitabu chake ambacho kwa sasa ni gumzo Tanzania na ughaibuni kinachoitwa "Nyuma ya pazia" Dr.Slaa anweleza Lissu kama mtu mwenye kuyumba yumba na kudandia hoja.Kwa sasa nimefika ukurasa wa 215.View attachment 1351152

Sent using Jamii Forums mobile app
Hicho kitabu ni balaa. Kwa nyanda za juu kusini mimi ndiye msambazaji. Ninazo kopi nyingi kwa 20,000/= Namba ni 0759829015/0747477917
 
Back
Top Bottom