Dr. Slaa tumekusikia na ushauri wako tutausimamia siku zote kama CHADEMA asilia

Babeli

JF-Expert Member
Jul 20, 2015
6,659
3,233
Nashukuru kiongozi wetu shupavu kamanda wa ukweli na uwazi umepasua anga usiku huu bila unafiki. Tanzania ingekuwa na viongozi wengi kama wewe nadhani tungekua mbali sana.

Nashukuru kwa kuendelea kusisitiza Lowassa hatufai na hili ni kosa kubwa chama chetu kulifanya na mbaya zaidi kuvishinikiza vyama vingine kuingia bila kujitambua.

Nakushauri anzisha movement ambayo itarudisha sasa CHADEMA asilia yetu au anzisha chama kingine tuamie huko. Ikiwezekana hata ACT nao sio wabaya kujiunga nao.

Tumwache Mbowe ahangaike na mafisadi wake wasafishane mpaka wawe weupe kama theluji kwa mtazamo wao.

Maelfu ya wafuasi wako tuko na wewe na popote utakapokuwepo tupo na sisi.

Mungu akujalie afya njema uzidi kutufundisha na kutupa maono yako
 
Too late..... Bado siku 16 Lowassa aingie ikulu kupitia sanduku la kura
 
Slaa mpuuzi, anafikiri ana uwezo wa kutubadilisha, ninampa POLE KUBWA! Rais wetu ni Lowasaaaaaaaaa! ! ! ! ! ! ! ! ! !
 
Nashauri kiukweli na bila unafiki vyama shiriki vya ukawa vijipime na kuona kama vinastahili kujivika joho la mabadiliko yasiyokuwa na mbele wala nyuma. Mabadiliko ya kuelekea shimoni kwa kukumbatia ufisadi na sio vinginevyo. Mmeingizwa choo cha kike! Waswahili wanasema mmebugi meeeeen!
Tafakari chukua hatua mapema. Muwahi kwwnye vyama vyenu maana vimeanza kusambaratika, mtakuta patupu. Msizubae zubae huku hakuna dili.
 
Jf
Nashukuru kiongozi wetu shupavu kamanda wa ukweli na uwazi umepasua anga usiku huu bila unafiki. Tanzania ingekuwa na viongozi wengi kama wewe nadhani tungekua mbali sana.
Nashukuru kwa kuendelea kusisitiza Lowasa hatufai na hili ni kosa kubwa chama chetu kulifanya na mbaya zaidi kuvishinikiza vyama vingine kuingia bila kujitambua.
Nakushauri anzisha movement ambayo itarudisha sasa chadema asilia yetu au anzisha chama kingine tuamie huko. Ikiwezekana hata ACT nao sio wabaya kujiunga nao. Tumwache Mbowe ahangaike na mafisadi wake wasafishane mpaka wawe weupe kama theluji kwa mtazamo wao.
Maelfu ya wafuasi wako tuko na wewe na popote utakapokuwepo tupo na sisi. Mungu akujalie afya njema uzidi kutufundisha na kutupa maono yako

Kwa kuanzia, amesema 'mjiunge' CCM na mumpigie kura Magufuli na wabunge wake na madiwani wake. Baada ya uchaguzi mtaamua kama mbaki huko huko CCM au muanzishe chama kingine tayari kwa maandalizi ya 2020.
 
Slaa mpuuzi, anafikiri ana uwezo wa kutubadilisha, ninampa POLE KUBWA! Rais wetu ni Lowasaaaaaaaaa! ! ! ! ! ! ! ! ! !
Ndio anao uwezo sana kwani chadema imekuzwa na nani kama sio yeye. Chadema asilia tunaendeleza msimamo wetu uleule alipo Dr Slaa na sisi tupo. Mabadiliko yataanzia humuhumu ndani yetu. Tukiyamaliza ndio tunaenda nje.
 
Kwa mara ya kwanza baada ya tamko la kamanda Slaa ninathubutu kusema Magufuli woyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!
Inauma tumepoteza muda mwingi wa mapambano ya ufisadi alafu yamefia kapuni! Walaaniwe wote waliokumbatia ufisadi na mafisadi.
Hapa kazi tuu, Magufuli nenda ikulu mwanangu bahati imekuangukia.
 
Magufuli nenda ikulu ila ukumbuke kuna chadema asilia. Usibweteke, piga kazi mpaka kieleweke. Sisi tunarudisha majeshi nyuma tunaenda kujipanga upyaa.
Tutaonana mwaka 2020.
 
Ndio anao uwezo sana kwani chadema imekuzwa na nani kama sio yeye. Chadema asilia tunaendeleza msimamo wetu uleule alipo Dr Slaa na sisi tupo. Mabadiliko yataanzia humuhumu ndani yetu. Tukiyamaliza ndio tunaenda nje.

Eti chadema asilia,labda ya kula mihogo na unafiki,Chadema asilia unaweza kumpigia kampeni Magufuli na wakati huyohuyo dr,Mihogo alishasema ccm ni mfumo leo anabadilika na kusema chagua mtu.
 
Kumbe mkapa alisema kweli jangwani haiingii akilini mlituaminisha lowassa fisadi leo kawa msafi
 
Back
Top Bottom