Dr Slaa TAZAMA SAA YAKO NI SAA NGAPI HIVI SASA? WATU WAFUMBUA MACHO!!!

oneni mlivyopwaya kwenye hoja hii, badala ya kuongea mantiki mnaropoka tu, mambo ya umeme hata mimi yananitesa, nataka mtu anayesema aweza kuwa rais awe na kauli zilizo nyooka sio kuwa kama hawa wanaosababisha matatizo kwa sasa hivi, oneni mnavyojichanganya.
 
JF naomba muwe mnafuatilia kauli ya mtu neno hadi neno na kuelewa maana yake Dr. SLAA alisema ikifika leo saa 7:02 kama watakuwa hawajawasilisha barua za kujizuru ndipo ktk muda huo hatua za kinidhamu ZITAANZA kuchukuliwa siyo muda huo ni tit for tat kuwafukuza

Ndiyo MAANA hata kipindi cha kampeni hakueleweka aliposema ndani ya siku 100 mchakato wa katiba utakuwa umeanza wengi ilikuwa ZERO kama leo HUYU NI PHD HOLDER YA UKWELI
Vijana wa Nape mkiwa kazini.
Chorus: Naapa naahidi mbele ya Chama Mapinduzi nitakulinda mpaka kufa x2
 
Malumbano ni mabaya sana,watu kama hawa ni kufukuza tu,la sivyo tutajipunguzia credit sana..this how TLP finished few years ago na hi ndo kazi ya kitengo cha propanda CCM.
 
Vijana wa CCM akili zenu ziko kwenye visigino? watu wanajadili maswala mazito mfano namna ya kuondoa tatizo la mgwo wa umeme ila nyie mmejikita kwenye issue ya CDM ambayo haisaidii kwenye mambo ya msingi.

CCM waandaeni vijana wenu vizuri.

mbona mada zinazoleta umbea kam huu mnazijadili kwa nguvu sana tena kwa matusi mengi sana au wakati huo hakuna mgao wa umeme? acha ukichaa wa utambuzi
 
Kwa slaa awe makini sana mimi namtazama kwa jicho la tatu, ngoja aendelee kutoa matamko hewa tu amabyo hawezi kuyafanya, madiwani wanajua ukweli nami nataka awatokee ili tuone ukweli ni upi.
 
Ngoma ngumu jamani msichukulie ili suala kama Kitchen Party!Dr Slaa, alipiga mkwala wa barua kakutana ni mtu wa shoka Naibu Meya wa CDM kamgeuzia kibao anataka Dr Slaa aitishe mkutano na vyombo vya habari hawaombe radhi Madiwani wote kama ataki ngoma mahakamani

Nchi nzima ina giza! Waliotuweka gizani ndo wanasababisha mambo mengine yote yawe halted kwanza cos they are not as important as darkeness.
 
Gizani hatutoki??? Watu walinga'ng'ania madaraka japo walipigwa chini kwa kura. Sasa yanawatokea puani. Kuongoza nchi si lelemama
 
Mwenzenu mkewe alivamiwa na vibaka, nadhani na saa yake iliibiwa.
Viongozi wa bongo wabunifu kweli, unahonga wabunge ili bajeti uchwara ipite? Some of these things are historical, really!!
 
guys mbona kuna maongeziu hayana staha ? Slaa kuwa hapa jamvini haina maana kwamba tumshushie hadhi .kweli unaweza kusema anaropoka ropka na mkifungiwa mnalalamiaka ? Sidhani kama slaa na hao wachadema arusha ni issue kubwa kuliko ya jairo na ikulu na umeme tanzania .lakni ile iko ambayo inaumiza taifa kwa kiasi kikubwa .kashfa nzito ya rushwa na ikulu imekaa kimya eti likizo au kasimamishwa kwa nusu mshahara kuchunguza .hebu tuweni wastaarabu .kutumia majina ya kuficha si ruhusa kumtukana slaa na swala arusha ni lao chadema nyie ccm mnahesabu saa ipi ? Iwasaidie nini ? Hebu tusimamie maswala ya nchi chadema wamesema kwa wana chama wao wacha tuone slaa kama km atafanya nini .hawezi kufanya maamuzi kupitia jf .
kwa akili yako haitakiwi tujadili chochote zaidi ya umeme??...kisa...imeguswa cdm...acheni hizo bwana...hapa tutajadili hata kama kuna kiza...
 
JF naomba muwe mnafuatilia kauli ya mtu neno hadi neno na kuelewa maana yake Dr. SLAA alisema ikifika leo saa 7:02 kama watakuwa hawajawasilisha barua za kujizuru ndipo ktk muda huo hatua za kinidhamu ZITAANZA kuchukuliwa siyo muda huo ni tit for tat kuwafukuza

Ndiyo MAANA hata kipindi cha kampeni hakueleweka aliposema ndani ya siku 100 mchakato wa katiba utakuwa umeanza wengi ilikuwa ZERO kama leo HUYU NI PHD HOLDER YA UKWELI

Makada wa CCM wapo very clever kwenye kupanga njama za wizi na rushwa ila upande wa analysis na intelligent thinking ni close to zero.
 
oneni mlivyopwaya kwenye hoja hii, badala ya kuongea mantiki mnaropoka tu, mambo ya umeme hata mimi yananitesa, nataka mtu anayesema aweza kuwa rais awe na kauli zilizo nyooka sio kuwa kama hawa wanaosababisha matatizo kwa sasa hivi, oneni mnavyojichanganya.

Jibu swali gizani tunatoka lini??
 
Kwa slaa awe makini sana mimi namtazama kwa jicho la tatu, ngoja aendelee kutoa matamko hewa tu amabyo hawezi kuyafanya, madiwani wanajua ukweli nami nataka awatokee ili tuone ukweli ni upi.

Swali ni kwamba hili giza hatuna serikali??
 
unadhani dr.slaa akifanya yale unayotamani afanye ndiyo matatizo sugu ya ukosefu wa umeme na rushwa ndani ya serikali yatakoma?
kaka naona unatoka nje ya mada. hii post haihusiani na umeme bali majigambo ya Slaa kwenye vyombo vya habari kuwa ikifika sa7 na dakika2 ndipo ataanza kutoa maamuzi sasa mbona anakuwa ulojo tena?
 
Ngoma ngumu jamani msichukulie ili suala kama Kitchen Party!Dr Slaa, alipiga mkwala wa barua kakutana ni mtu wa shoka Naibu Meya wa CDM kamgeuzia kibao anataka Dr Slaa aitishe mkutano na vyombo vya habari hawaombe radhi Madiwani wote kama ataki ngoma mahakamani
Mbona wewe hukumpeleka mahakamani Dr Slaa na Mch Mtikila? Au nawe ilikuwa ngoma nzito?
 
Kwa mujibu wako mwenyewe, ulisema deadline ni leo saa saba mchana, kwa madiwani wa arusha wawe wametoa taarifa za kujiuzulu, tunakusubiri wewe mzee rais kivuli wa tanzania!

Haikuhusu wewe na mwenzio FF humjawahi kuwa CDM . Ebu malizeni ya Jairo, Nepi na maCCJ ya Rostam yamewadodea, Ya chenge (chenji) na EL hata mkifanyeje mnayo tu.
 
Jamani mbona tunatoka nje ya mada?? Thread hii inajadili ahadi ya Dr Slaa kuwakufuka uachama madiwan wa CHADEMA wa Arusha leo, kama ni ishu za umeme na mambo mengine mbona Thread zake zimo humu humu JF jaman, pliiiiiz turudi kwenye mada.
 
Back
Top Bottom