Dr Slaa TAZAMA SAA YAKO NI SAA NGAPI HIVI SASA? WATU WAFUMBUA MACHO!!!

huku kwetu umeme ulikatwa kuanzia saa saba usiku wa manane hadi saa 2 usiku wa kesho yake.

kabla dr. slaa ahajaangalia saa yake, muambie kwanza huyo goigoi wenu wa magogoni atatue tatizo la umeme badala ya kurandaranda kujipendekeza kwa zuma ati ziara ya kihistori...ina huu?

Nina kazi ya kukupa njoo home kwangu usiku saa 5
 
basi kama hawezi kufanya anachokiongea mkatazeni kuropoka hovyo hovyo anashusha hadhi ya chama kama makamba! nakwambia si muda mrefu atafanana na makamba.

Rais anafanya Ziara ya Kihistoria Sauzi.

I hope akirudi mgawo wa umeme utakoma.
 
Mgawo wa umeme ni njaga la kitaifa,wanyama wetu wanaibwa kwa kutumia ikulu,rushwa imejaa katika serikali ya CCM,rais safari hazimwishi kila siku ULAYA kwenda kutalii,usanii ndiyo umejaa ndani ya SERIKALI YA CCM mpaka taifa limekuwa maskini.
 
Mwenzenu mkewe alivamiwa na vibaka, nadhani na saa yake iliibiwa.
 
Vijana wa CCM akili zenu ziko kwenye visigino? watu wanajadili maswala mazito mfano namna ya kuondoa tatizo la mgwo wa umeme ila nyie mmejikita kwenye issue ya CDM ambayo haisaidii kwenye mambo ya msingi.

CCM waandaeni vijana wenu vizuri.
 
JF naomba muwe mnafuatilia kauli ya mtu neno hadi neno na kuelewa maana yake Dr. SLAA alisema ikifika leo saa 7:02 kama watakuwa hawajawasilisha barua za kujizuru ndipo ktk muda huo hatua za kinidhamu ZITAANZA kuchukuliwa siyo muda huo ni tit for tat kuwafukuza

Ndiyo MAANA hata kipindi cha kampeni hakueleweka aliposema ndani ya siku 100 mchakato wa katiba utakuwa umeanza wengi ilikuwa ZERO kama leo HUYU NI PHD HOLDER YA UKWELI
 
Mwenzenu mkewe alivamiwa na vibaka, nadhani na saa yake iliibiwa.
Nyie ndo mtasababisha vurugu nchini na nadhani mnataka hilo na mnalisubiria.Naamini hatutakwenda mbali zaidi na kuwa a failed state kama Somalia ulipotokea.Tutaiweka nchi yetu kwenye mstari.Upinzani wetu si wa ubinafsi,bali ni ideas zitakazoleta mabadiliko nchini mwetu.Siyo huu upupu unaobandika humu kila siku.
Pamoja na tofauti zetu ambazo kimsingi ni kutafuta njia bora zaidi kuwatumikia watanzania,bado wenye akili timamu hawaombeani mabaya kwa namna hii.Kama kuna majambazi kweli walimvamia,basi tunaweza kuamini mmewatuma.Na hapo ndiypo naona mnatupelekea kubaya.However i believe that we will be victorious,God willing.
 
Waandishi wanazurura tu makao makuu ya chadema na hawaambiwi kitu hahahaaaa!! pole makamba mzee slaa!!
 
Waandishi wanazurura tu makao makuu ya chadema na hawaambiwi kitu hahahaaaa!! pole makamba mzee slaa!!
Waambie waende Bahi na Tunduru ambako uranium inachimbwa bila leseni na kwa mikataba feki,swala la madiwani waachie chadema na madiwani wao ukifika muda umma uratajulishwa
 
Hata mimi naunga mkono hoja yako mkubwa kweli kabisa hatuwezi kufuga mamluki ndani ya cdm....maana wao ni nani hata wampinge mbowe na lema?hawa watatuumiza vichwa bora tuwafukuze kabisa...mzee slaa uko wapi au ulikua unatupiga mchanga machoni kutuvaa mkenge...tunakupima wewe mzee kama ukatibu umekushinda mwachie mbowe wewe uwe mwenyekiti.
Hivi JK karudi siku nyingi sana hajahudtubia hotuba za kila mwezi au hajui kuhesabu tarehe
 
Hii ni thread nzuri. Naomba kuwa mtazamaji kwa muda. Just a tour guide nione wanakotaka kuelekea baadhi ya wazushi. Mnataka Dr. Rais Slaa achukue maamuzi kwa kukurupuka? Ameshasema baada ya muda huo kanuni, tataribu na katiba zitafanya kazi yake. Madiwani wale wanapamba na katiba, hawapambani na Dr. Slaa, Katibu Mkuu wa CDM. Na hamtaamini hatua zitachukuliwa, maana CDM wanataka kuonesha namna gani wangeweza kumudu serikali, kama wangekabidhiwa kuendesha dola, katika uchaguzi uliopita.
 
Ushabiki huwa unapotosha mantiki ya mjadala wa kitaifa. The great thinker unapojadili maslahi ya mtu kuhusu cheo wakati huna ihakika wa Umeme, Rushwa kila kona ni hatari. Tujaribu japo kwa masaa kadhaa tufikiri kwa kutumia kichwa hayo mengine tutumie tumbo kwa mwaka mmoja. Tunaweza kusema kweli tunaishi kwa utu si watu.
 
Ushabiki huwa unapotosha mantiki ya mjadala wa kitaifa. The great thinker unapojadili maslahi ya mtu kuhusu cheo wakati huna ihakika wa Umeme, Rushwa kila kona ni hatari. Tujaribu japo kwa masaa kadhaa tufikiri kwa kutumia kichwa hayo mengine tutumie tumbo japo kwa mwaka mmoja. Tunaweza kusema kweli tunaishi kwa utu si watu.
 
JF naomba muwe mnafuatilia kauli ya mtu neno hadi neno na kuelewa maana yake Dr. SLAA alisema ikifika leo saa 7:02 kama watakuwa hawajawasilisha barua za kujizuru ndipo ktk muda huo hatua za kinidhamu ZITAANZA kuchukuliwa siyo muda huo ni tit for tat kuwafukuza

Ndiyo MAANA hata kipindi cha kampeni hakueleweka aliposema ndani ya siku 100 mchakato wa katiba utakuwa umeanza wengi ilikuwa ZERO kama leo HUYU NI PHD HOLDER YA UKWELI

tuliambiwa tatizo la umeme itakuwa historia
tuliambiwa kigoma itakuwa dubai

unafikiri tumesahau?
 
Waandishi wanazurura tu makao makuu ya chadema na hawaambiwi kitu hahahaaaa!! pole makamba mzee slaa!!

waambie wakatafute habari vijijini zimejaa tele.

kama unatamani kuona maamuzi ya CDM weka tamaa yako kwenye fridge(ila umeme hamna utajiju) isije ikaharibika halafu subiri kitakachotokea.

CDM hawaogopi kurudi kwenye uchaguzi maana hawakubahatisha, sana sana watapata platform nyingine ya kuwamalizia ccm pale arusha.
 
Back
Top Bottom