Dr slaa shujaa wetu!!!!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dr slaa shujaa wetu!!!!!!

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Noel Lemanya, Nov 2, 2010.

 1. N

  Noel Lemanya New Member

  #1
  Nov 2, 2010
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Naomba sana tujue ya kuwa mapinduzi haya makubwa yanayoendele kutokea sehemu malimbali kwa wabunge wa CHEDEMA kupta ktk majimbo mbalimbali ni kwasababu ya SHUJAA mmoja ambaye alikubali kwenda MISRI (EGYPT) na kututoa utumwani na kutuonyesha KAANANI. sasa KAANANI yetu ni TAnzania na Bungeni ni Yerusalemu. Amefanya kazi kubwa ya kuweka Zege ambalo CCM wameshndw kulitoa na tunashuhudia akina GOLIATI wanaanguka kama majani.

  Tusiache kumuombea huyu shujaa wetu Dr Slaa, tunajua kwasasa wanachakachua sana ili huyu jamaa aliyeko Madarakani aonekane ameshinda kwa kishindo, lakini MUNGU yupo 'anything gonna happen' nener give up easily, if u hv kept the faith endelea kuamini.

  Maana WABUNGE wengi wa CHADEMA wamekubalika sana na wananchi kupata imani nao just because there is somebdy who did something and that is "THE HERO DR SLAA". Tumuombe MUNGU amlinde na hila zote huku tukisubiri MUNGU anatuambia nini kuhusu kutangaziwa RAIS takaye iongoza Tanzania.

  Mimi sijakata tamaa bado na mwamini MUNGU kuwa Slaa ndiye RAIS wetu.
  May God bless u soooooooo much all Members. THAX
   
 2. T

  Tata JF-Expert Member

  #2
  Nov 2, 2010
  Joined: Dec 3, 2009
  Messages: 4,731
  Likes Received: 647
  Trophy Points: 280
  Nakubaliana na unachosema. Kimsingi nawapongeza CHADEMA na hasa Dr. Slaa kwa kazi kubwa waliyoifanya kwani tangu mwanzo nilisema kuwa walikuwa wanapambana na CCM inayosaidiwa na NEC, Polisi, Wasimamizi wa Uchaguzi, Jeshi, Wakuu wa Mikoa, Wakuu wa Wilaya, Wakurugenzi wa Wilaya na Miji, Msajili wa Vyama, Usalama wa Taifa na wawekezaji mafisadi. Lakini pia walikuwa wanapambana na ufisadi na ubadhirifu mkubwa wa pesa za walipa kodi ambazo zilitumika kugharimia kampeni za Mgombea wa uraisi wa Chama Cha Mafisadi nchi nzima.

  Mimi nashauri harakati za uchaguzi wa 2015 zianze mara moja kwa kudai kuandikwa upya kwa Katiba na sheria za uchaguzi na kuundwa upya kwa Tume ya uchaguzi itakayoshirikisha watu huru na sio hawa wanaotumiwa na CCM kwa maslahi yao binafsi. Lengo liwe ni kukamata uongozi wa Bunge na urais itakapofika 2015. Kuna haja ya kuwa na wawakilishi huru toka taasisi na jamii mbalimbali ambao hawatayumbishwa na amri za viongozi wa CCM na serikali walioko madarakani.

  Lakini pia baada ya kufanya tathmini ya matokeo ya uchaguzi kuna haja ya CHADEMA kuendeleza operation sangara kwa malengo ya kuwafikia wananchi wa ngazi za chini kabisa majimboni ili kukiimarisha chama vijijini. Wabunge wateule wawe chachu ya kuleta mwamko mpya wa mageuzi ya kweli ya kidemokrasia nchini na kwa kuwa wengi wao ni vijana basi wawalenge vijana kwani ndio wapiga kura wengi kwa sasa. Kipimo cha matokeo ya juhudi hizi yatakuwa ni uchaguzi wa serikali za mitaa ujao na lengo liwe ni kusimamisha wagombea nchi nzima. Hii itasaidia kufikisha ujumbe wa CHADEMA kwa wananchi kama maandalizi ya uchaguzi mkuu.
   
 3. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #3
  Nov 2, 2010
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,220
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  He is a GRAIN OF WHEAT!
   
 4. d

  david2010 JF-Expert Member

  #4
  Nov 2, 2010
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 226
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Ndugu yangu ninajua kuwa wote tunasikitika na matokeo wanayoendelea kututangazia kuwa ni wizi mtupu na sisi tulimaliza sehemu yetu na huo ndio ushahidi utakao wahukumu ccm na JK wake na hatakalia hicho kiti kwani Mungu ameshashuka kwa ajili ya kufanya maadiliko ndio maana ameanza kwa madiwani na wabunge sasa anaenda kwa kiti cha urais, kikwete atatangazwa mshindi wa bandia ambapo kwa kura hiyo akikalia kile kiti atakiona mambo aliyoyaona Farao tusikate tamaa tuendeleze maombi na kudumu tukimdai Mungu Kura zetu za dr Slaa zilizoibiwa na kupewa ushindi fisadi mkubwa kama JK na mtu asiyewajali watanzania wala hajui future yetu ndio maana aliulizwa kanini nchi yako ni maskini wakati mna kila kitu kinachoweza kuwaletea maendeleo akasema hajui '' aliulizwa baada yako kutawala miaka kumi maendeleo akasema hajui itakuwa imefika wapi, je huyu amekuja kutumia hela zetu kwa starehe tu ya kwenda marekani na nchi nyingine? na kuuza sura? watanzania hii nchi haina democrasia kwani hata kuna taarifa kuwa kura za dr slaa majimboni amepunguziwa kutokana na agizo la kikwete na watu wake akiwatishia hao wasimamizi kuwa wasipofanya hivyo atawafanyia mbaya anachotafuta ni asilimia 80% au zaidi ajikamilishie uongo wake alioutangaza kuwa atashinda. but we will see what GOD almight will do and Judge who was suppose to lead us. and take away who wasnt suppose and take him away.
   
 5. Mtende

  Mtende JF-Expert Member

  #5
  Nov 2, 2010
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 4,072
  Likes Received: 338
  Trophy Points: 180
  and he is the saint who came to save the poor
   
 6. Gurudumu

  Gurudumu JF-Expert Member

  #6
  Nov 2, 2010
  Joined: Feb 5, 2008
  Messages: 2,350
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  naunga mkono hoja hii, lakini iwe fundisho kwamba wakati wananchin wanapofanya kazi ngumu ya kulinda kura za udiwani na ubunge, wasisahau kulinda za urais pia. labda kuwe na timu mbili, moja inalinda za ubunge na nyingine inalinda za urais
   
Loading...