Dr. Slaa: Shitambala hana hatia

Wa Kwilondo

JF-Expert Member
Sep 15, 2007
1,081
312
Kutokana na uchunguzi wa mwanzo imeonekana Bwana Shitambala hana hatia juu ya kupokea mil 600 toka ccm na ameruhusiwa kuendelea na shughuli zake kama M/kiti.

Source: Dr. Slaa -TBC leo saa 2 usiku
 
Kutokana na uchunguzi wa mwanzo imeonekana Bwana Shitambala hana hatia juu ya kupokea mil 600 toka ccm na ameruhusiwa kuendelea na shughuli zake kama M/kiti.

Source: Dr. Slaa -TBC leo saa 2 usiku

Hapo tu ndiyo huwa ninaamini Dr. Slaa ni genius. Ni Daktari wa Falsafa kweli kweli.

Ngoja tusubiri makanjanja wa magazeti ya udaku (uhuru, habarileo, jamboleo, daily noise, mtanzania) watakavyoandika hii habari kesho.
 
katibu Mkuu wa CHADEMA Dr.Wilbroad Slaa amesema uchunguzi uliofanyika umethibitisha kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA aliyejiuzuru mkoa wa Mbeya hana hatia na ataendelea na cheo chake kama kawaida,hiyo ndio CHADEMA bwana,hakuna zengwe wametenda haki kama iinavyotakiwa,Hongereni sana wana CHADEMA.
Source:Taarifa ya habari TBC saa 2.00 usiku
 
Kwa kuwa uchunguzi wa awali umeonyesha hana hatia, na Shitambala ni mwelewa, aendelee tu na shughuli zake, chama kiendelee kusonga mbele. Hizo ndiyo changamoto ya siasa ya bongo hakuna kulegea.
 
Shitambala ni Capt mstaafu wa jeshi hawezi kuwa fisadi namwamini. atarudi kuendesha mapambano. Slaa 2015
 
Hapo tu ndiyo huwa ninaamini Dr. Slaa ni genius. Ni Daktari wa Falsafa kweli kweli.

Ngoja tusubiri makanjanja wa magazeti ya udaku (uhuru, habarileo, jamboleo, daily noise, mtanzania) watakavyoandika hii habari kesho.

Shida ipo kwa wenye chama cha kijani kinachofikiria kuzalisha wadudu hasa Mbu ili watuletee vyandarua zaidi..... Kitakachofuata ni kutushauri tuwe tunalala muda wote kuepuka kuumwa na mbu!!!!
Trust me.... Kwa jibu la DR. Slaa watatwist hili suala ili Shitambala aonekane amedhalilishwa... ahame chama.
 
safi sana,nilikuwa namkubali sana jamaa na bado namwamini ingawa sipo mbeya tena!

He is very great :A S crown-1:
 
Back
Top Bottom