Dr. SLAA sasa atoa facts suala la CCM & silaha, amvaa Amiri Jeshi Mkuu na Mwenyekiti

Maadam haya yasemwayo yameshaanza kutokea (Igunga na Arusha) basi yasipuuzwe.

Wakati Idd Amin anaanza kutumia vibaya Makindye Brigade kuna watu walisema ni fitina tu za nchi za Ulaya. Lakini tukaona Askofu Mkuu Luwum na wengine wengi wakiuawa.

Dr. Slaa anapunguza makali ya yanayoweza kutokea kwa kuyafichua mapema. Na hajawahi kuropoka. Alipota orodha ya mafisadi kuna watu walisema ni uongo, but History has been on his side.

CCM wataogopa kumdai Slaa athibitishe, kwani wanajua anavyo vithibitisho. Kwanza ameshawatajia namba za bunduki moja. Watoe maelezo basi. Kama ni ya kuwinda ngedere waseme, na kama waliingiza kihalali wathibitishe.
 
Tulianza na siasa za matusi, kejeli, kashfa,..., sasa tuko hatua nyingine ya kutwangana ngumi, visu, mapanga,..., baadae tunajiandaa kwa silaha za moto kwa kuwa tumeanza kuzitajataja. Tusidhani sisi WATANZANIA ni tofauti na WASOMALI, WAKENYA, WANYARWANDA, WACONGO,..., nani atatushtua kwamba tunakoelekea siko? Ni nini kinasababisha haya yote? Ipo tiba au chanjo ya kudumu kuzuia haya? Viongozi wetu wa serikali zote, vyama vyote, DINI zote, asasi zote, wanayaona haya kama ni tishio kwa AMANI yetu?
 
Slaa anachanganyikiwa sasa kila siku nasema ndumu mbaya inataahirisha oneni babu mzima na mwny watoto kama wajukuu zake anakurupuka na kuongea aibu kama hii shame on U Slaa
 
Wakuu, number J137 ni :spy: aaaah! kumbe J= Josephine na 13-7 ni birthday ya junior au mama yake, SINGLE BOY kwa mbwembwe?
 
Silaha na makambi ni ya nini haswa? Ndo maana nimefika mahali nimeamini kwamba think-tank ndani ya CCM wameisha..badala ya kubuni mikakati ya kuwafanya hao vijana kwenye makambi wajitegemee wao wanawapa silaha za moto..tatizo sio CDM wala CUF ni kukata tamaa kwa wananchi kupata kile walichokitarajia toka serikali ya CCM na kufumbiwa macho kwa ubadhirifu na uvunjifu wa sheria ufanyavyo na vyombo vinavyotakiwa kusimamia haki...pasipo na haki utulivu ni perception...!

CCM rudini kwenye mikakati ya kusaidia Taifa hili liondokane na umaskini wa kutupwa badala ya kupoteza muda kufundisha vijana kwenda kufanya vurugu..hizi ni mbinu za kizamani mno...!
 
Kweli akili yako ndiyo inakuajiri, sawa ila sasa tunaongelea facts, unapoanza kutukana humu JF unonekana huna mchango wa kujenga bali umeregister ili kuonesha ulivyo na tabia isiyofaa kuigwa na jamii, sina haja ya kulumbana na mtu kama wewe.

wt facts have you discussed.....! Thread ipo clear......... n ts tru huwezi lumbana na mm koz cna chembe ya ulumbano...

chuki banafsi ndio zinazosumbua hpa........ nxt tym b neutral
 
Tulianza na siasa za matusi, kejeli, kashfa,..., sasa tuko hatua nyingine ya kutwangana ngumi, visu, mapanga,..., baadae tunajiandaa kwa silaha za moto kwa kuwa tumeanza kuzitajataja. Tusidhani sisi WATANZANIA ni tofauti na WASOMALI, WAKENYA, WANYARWANDA, WACONGO,..., nani atatushtua kwamba tunakoelekea siko? Ni nini kinasababisha haya yote? Ipo tiba au chanjo ya kudumu kuzuia haya? Viongozi wetu wa serikali zote, vyama vyote, DINI zote, asasi zote, wanayaona haya kama ni tishio kwa AMANI yetu?

unataka nani akujibu hayo maswali? Utamlipa?
 
Bunduki za nini?
Mbona yeye alikamatwa na mbili mfukoni kule Arusha?
Hivi ile kesi iliishia wapi?

Ishu ni uhalali wa umiliki wa silaha, au huelewi hoja ya Dr Slaa nini, acha kukurupuka! Hata kama Dr. Angekutwa na Bastola 20 hazina Shida kama ni halali! Mbona Waziri wenu Malima alikutwa na SMG ambayo ni silaha ya kivita na hairuhusiwa kumilikiwa na mtu binafsi kwani serikali ya ccm ilimchukulia hatua gani?
 
Mkuu kama wewe una uhakika kuwa ni upuuzi wakati anayeongea hadharani yupo, mpeleke mahakamani, ukiushambulia kwa kujificha chini ya kitanda huo unaouamini kuwa ni upuzuuzi wakati mwenzako anataka ulielie halafu aseme zaidi watu wenye akili watakuona wewe ndiye mpuuzi. Mzibe mdomo kwa kumpeleka mahakamani, kwanza mahakama yenyewe si ni ileile wanayopewa waendeshaji kwa zawadi nao watawaenzi kwa kuwatetea tu? Mnaogopa nini? Mh. Lisu kasema yooooooote, hakuna aliyejibu mapigo, walidhani hataweza lakini kawakaanga maini kwa mafuta yao wenyewe. Mkilalamikia mvunguni sisi tutajua kisemwacho ni kweli kabisa. Mliyo waitu?

Mkuu umeshajibiwa, ila kama huelewi ni suala lingine

Tumieni akili ndugu zagu!
Dr Slaa anarusha cheap shots.
Kumbu kumbu hazijatoweka kwamba miaka miwili tu iliyopita alikuja na imagination ya makontena ya chama tawala kuingia nchini.
Huwa anaota vibaya mzee huyu, ama sivyo ni kujitakia kesi za kumweka busy,Chadema hakuna kazi.
Ukimpa kazi ya kuhudhuria mahakamani bure ni kumpa umaarufu bure tu
Mzee Slaa endelea kuota.
Kesho ataota ma-scud ya chama tawala yanavyo mzengea.
 
Inakuwa vigumu kuamini hizo tuuma ama ni propaganda.

Kuna msemo mmoja wa kisukuma unasema,''Gucha go mbulu mpaga mininga mgutu'' maana yake ni,
PHP:
''Kufa kwa kenge mpaka damu imtoke masikioni".
Ninachotaka kusema ni kwamba kuna mijitu mingine mpaka ione kitendo cha mauaji kinafanyika ndipo ijue kuwa kumbe kweli kuna kifo! Kwa watu makini hawawezi kupuuza madai ya CHADEMA kwa madai kuwa ni propaganda.

Kama wewe ni mfuatiliaji utagundua kuwa haya madai yana ukweli kwa asilimia 100. Ushahidi ni matukio ya Igunga na Arumeru Mashariki ambako CCM walifanya mauaji ya kutisha kwa wafuasi wa CHADEMA wakti wa kampeni za chaguzi ndogo. Lakini pia vitendo kama vya kutekawa kwa Dr. Ulimboka,kumwagiwa tindi kali kwa Mhariri wa Mwanhalisi ndugu Kubenea,ugonjwa wa Dr. Mwakyembe na kuondolewa kwa waalimu kwenye orodha ya watakao hesabu sensa ni namna mpya ya sera au style yenye visasi inayotumiwa kwa sasa na CCM aidha kuwadhibiti wapinzani na wakosoaji wa Serikali ya CCM!

Huu ni ukweli ambao hata Rais Kiwete anaufahamu.
 
unataka nani akujibu hayo maswali? Utamlipa?
Sihitaji kujibiwa. Nimeyaweka hivo ili tuyatafakari kwa pamoja. Tuchukue hatua kwa nafasi zetu. HAtua yoyote utakayochukua kuyazuia haya ndio malipo stahiki kwa kwangu na ninaamini kwa WATANZANIA pia.
 
ala! Kwanini kama wanasingiziwa wasimburuze Dr.Slaa mahakamani na ikibainika ni uongo afungwe,kwanini hawafanyi hivyo¡? Au unataka kuniambia nchi hii ni ruksa kuongea chochote ukitakacho?

swali la msingi sana hili, Mungu atatulinda watanzania ccm mnakwenda kaburini mtake msitake, na hao wanaotetea maovu ya ccm laana itawafika kwa kufurahia manyanyaso ya watz, inasikitisha sana kwa kweli.
 
Kuna msemo mmoja wa kisukuma unasema,''Gucha go mbulu mpaga mininga mgutu'' maana yake ni,
PHP:
''Kufa kwa kenge mpaka damu imtoke masikioni".
Ninachotaka kusema ni kwamba kuna mijitu mingine mpaka ione kitendo cha mauaji kinafanyika ndipo ijue kuwa kumbe kweli kuna kifo! Kwa watu makini hawawezi kupuuza madai ya CHADEMA kwa madai kuwa ni propaganda.

Kama wewe ni mfuatiliaji utagundua kuwa haya madai yana ukweli kwa asilimia 100. Ushahidi ni matukio ya Igunga na Arumeru Mashariki ambako CCM walifanya mauaji ya kutisha kwa wafuasi wa CHADEMA wakti wa kampeni za chaguzi ndogo. Lakini pia vitendo kama vya kutekawa kwa Dr. Ulimboka,kumwagiwa tindi kali kwa Mhariri wa Mwanhalisi ndugu Kubenea,ugonjwa wa Dr. Mwakyembe na kuondolewa kwa waalimu kwenye orodha ya watakao hesabu sensa ni namna mpya ya sera au style yenye visasi inayotumiwa kwa sasa na CCM aidha kuwadhibiti wapinzani na wakosoaji wa Serikali ya CCM!

Huu ni ukweli ambao hata Rais Kiwete anaufahamu.
Mkuu wewe unaye amini 100% ugoro wa Dr Slaa unanihuzunisha, lakini imani ni kitu ingine bana.
Sasa mtafute huyo guru wako na akumalizie stori ya makontena ya CCM ya silaha wakati wa uchaguzi wa mwaka 2010.

Kwa faida yako usichanganye issues, maana naona unaishia kujichananganya mwenyewe.
 
Bunduki za nini?
Mbona yeye alikamatwa na mbili mfukoni kule Arusha?
Hivi ile kesi iliishia wapi?

Waulizeni polisi wenu wanaoacha kufanya utaalamu na kufanya propaganda! Jibuni kwa nini mnaingiza na kumiliki silaha bila kibali wala leseni? Acheni maneno matupu au siyo Mzee Mzima Kobello...
 
Inakuwa vigumu kuamini hizo tuuma ama ni propaganda.
Ukiendelea na mawazo hayo ya kutokuamini nadhani utandelea kuamini kwamba CCM ndio chama kitakacholeta mabadiliko Tanzania na wakati kimetawala zaidi ya miaka 30 na uchumi unazidi kudidimia. Kama ungechora graph ungegundua kuwa as time goes with the country in the hands of CCM, our country will eventually becomes one of the poorest countries in the world while it has riches in natural resources.
 
Back
Top Bottom