Dr Slaa( Phd)- Rais anayeongoza nchi akiwa nje ya IKULU | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dr Slaa( Phd)- Rais anayeongoza nchi akiwa nje ya IKULU

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Supervisor, Jan 4, 2011.

 1. Supervisor

  Supervisor JF-Expert Member

  #1
  Jan 4, 2011
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 553
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 45
  Kama mnakumbuka vizur wakati wa campain moja ya mambo aliyokua akitaka kuyafanya Dr endapo angechaguliwa kuwa Rais ni kufanya mchakato wa kuandika katiba mpya ndani ya siku 100 ambao sasa ingawa yuko nje ya Jengo tukufu (IKULU) ambalo limegeuzwa genge la mafisadi na watu wenye kashifa na matusi ya nguoni(salva) mchakato ndo wimbo wa Taifa.

  Kuna mengi kafanya mengind mtanisaidia ku mention....
   
 2. L

  LAT JF-Expert Member

  #2
  Jan 4, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  there is logic.... but thanks to coincidence
   
 3. Michelle

  Michelle JF-Expert Member

  #3
  Jan 4, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 7,364
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  Amemtaja mmliki wa Dowans japo hajatupa ushahidi bado,amemtambua Rais aliyeko madarakani pamoja na Chama anachokiongoza,amepinga matokeo ya uchaguzi mkuu uliopita na bado anaendelea........................................
   
 4. M

  Mapinduzi JF-Expert Member

  #4
  Jan 4, 2011
  Joined: Aug 23, 2008
  Messages: 2,427
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Kwa hiyo unataka kusema Dr Slaa kazua?
   
 5. m

  mzambia JF-Expert Member

  #5
  Jan 4, 2011
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 885
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Na bado kama ivori coast tu mpaka kieleweke
   
 6. Mimibaba

  Mimibaba JF-Expert Member

  #6
  Jan 4, 2011
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 4,566
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  sina uhakika na kumtambua rais. Ila nadhani kama amemtambua ni kwa maana ya rais wa nec
   
 7. BRUCE LEE

  BRUCE LEE JF-Expert Member

  #7
  Jan 4, 2011
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 2,089
  Likes Received: 1,157
  Trophy Points: 280
  SALUUUUUUUT, kwa Rais wa moyo wangu raisi wetu DR SLAA. Wewe ndio raisi wetu na wala usitishike na ikulu, nilipokua form 6, mwalim mkuu wangu aliwahi sema mara zote rais wa kweli ni yule anakubalika kwa watu masikini na anaeishi kama wao na kuzitambua shida zao. NAKUPENDA KAMA NINAVYOMPENDA NYERERE,kama ikifikia kuvaa mabomu mi nipo tayari kufa kwajili yako na uongozi wako. Songa mbele baba tupo pamoja.
   
 8. Michelle

  Michelle JF-Expert Member

  #8
  Jan 4, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 7,364
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  Sijasema kazua,naamini Dr Slaa hawezi zua jambo kubwa hivi,anajua anachokisema.nimesema tu bado hajatoa ushahidi.
   
 9. KIPANYA

  KIPANYA Member

  #9
  Jan 4, 2011
  Joined: Jan 3, 2011
  Messages: 57
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  mabomu tena ndugu yangu!!!? hilo balaaaa,punguza munkali brucelee
   
 10. Michelle

  Michelle JF-Expert Member

  #10
  Jan 4, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 7,364
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  Hakusema anamtambua Rais wa NEC bali Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania aliyetangazwa na isiyo tume huru inayotambulika na katiba ya sasa ambayo tunasisitiza inahitaji marekebisho.
   
 11. BRUCE LEE

  BRUCE LEE JF-Expert Member

  #11
  Jan 4, 2011
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 2,089
  Likes Received: 1,157
  Trophy Points: 280
  ndugu kipanya fidel castro aliwahi sema kua kama unadai haki yako na unaowadai hawataki kukupatia hivyo basi yakupasa utumie nguvu kuidai haki yako na huo ndio hua mwanzo wa mapinduzi ya kweli, then hakuna cha munkari hapa ikibidi kuvaa mabom tuwe tayari,nashauri kwa wasiojua matumizi ya silaha waanze kujiandikisha mgambo na kupitia mafunzo haraka huko ndiko tunapoelekea.
   
 12. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #12
  Jan 4, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 895
  Trophy Points: 280
  unataka ushahidi gani zaidi ya ule aliotoa mkwere kwenye hotuba yake ya zunguka-mbuyu?
   
 13. Michelle

  Michelle JF-Expert Member

  #13
  Jan 4, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 7,364
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  Nafikiri ye ana uwezo wa kujibu hiyo hoja na subiri tu utasikia kautoa,kwani kwenye hayo mengine alitoa ushahidi wa nini? si kila mtu ameamini alichosikia,hatufanani ndugu yangu.si kwa kuwa wewe umeamini basi kila mtu kaamini..........

   
 14. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #14
  Jan 4, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 895
  Trophy Points: 280
  ikulu yenu imejibu hoja.

  wamesema dr.slaa ni kizabizabina.
   
 15. z

  zamlock JF-Expert Member

  #15
  Jan 4, 2011
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 3,849
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  ndugu yangu nampenda sana raisi wangu aliyoko ndani ya moyo wangu nakuunga mkono kaka hakika huyu mtu anakubarika jamani mpaka ccm wanachanganyikiwa
   
 16. Bollo Yang

  Bollo Yang JF-Expert Member

  #16
  Jan 4, 2011
  Joined: Aug 10, 2009
  Messages: 440
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Anakubalika!! We mkurya nini??
   
 17. Ngalikivembu

  Ngalikivembu JF-Expert Member

  #17
  Jan 5, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 1,908
  Likes Received: 355
  Trophy Points: 180
  Nataka niwatahadharishe wanaJf kuwa katiba ijayo ccm inaweza kuweka kikomo cha umri wa kugombea urais ili tu Dr asigombee tena.Mana ni kiboko yao.
   
 18. Ngalikivembu

  Ngalikivembu JF-Expert Member

  #18
  Jan 5, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 1,908
  Likes Received: 355
  Trophy Points: 180
  Dr ndiye mwenye uelewa na nchi hii.Ndiye mwenye upeo wa kuona mbali juu ya umaskini wa watz
   
 19. BRUCE LEE

  BRUCE LEE JF-Expert Member

  #19
  Jan 5, 2011
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 2,089
  Likes Received: 1,157
  Trophy Points: 280
  Bollo yang karibu ndugu ujiunge na mimi bruce lee ili tuinusuru nchi, hawa jamaa mkwere na kundi lake sina imani nao hata hiyo katiba mpya wataichakachua kuanzia kwenye kura za maoni,mwenzio nishamaliza kungfu na jujitsu na sasa najikita kwenye aikido sei ke kai na judo. Hapa hakuna ujanja ni kulazimisha kwa njia zote, wana diplomasia waongee na sisi watu wa action tuendelee na mazoezi huku tukisubiri muda muafaka then tuingie mitaani, bila kuchapana hakuna heshima hapo, tena mi nahitaji hata nifungiwe kwenye cage na familia yote ya mkwere then utaona nitacho wafanya ni pigo mojamoja tu nawatoa roho kabisa. Welcome to the calacium.
   
 20. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #20
  Jan 5, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Dr.Slaa for real
   
Loading...