Dr. Slaa ondoeni huyu ndani ya CHADEMA

Nipe number ya diwani huyo niko maeneo ya hamugembe hapa nimtafute baadaye.
 
Ina maana madiwani wanajiamulia tu kama hakuna mwenyekiti wa halimashauri? au serikali ipo likizo
 
Hii vipi?


200808_356671934412462_568397296_n.jpg
 
CHADEMA si chama cha malaika,kuna viongozi wabovu kama hawa.
Ni jukumu la wananchi kuchagua mtu bora bila kujali chama anachotoka.
Shida hao wananchi walichagua CHADEMA badala ya kuchagua DIWANI!
 
Halmashauri ya Manispaa inanyanyapaa kata zenye madiwani wa CDM. Kama Diwani hayuko active kama huyu basi utegemee ukosefu wa huduma kama hizi.
 
Diwani wa Kata ya Kibeta mjini Bukoba amefunga barabara ya wapigakura wake kwa zaidi ya miaka 5 sasa. Kutokana na hali hiyo barabara hiyo imetelekezwa na Manispaa ya Bukoba kwa kuachwa bila matengenezo yoyote.

Wananchi zaidi ya 250 wanaruka mawe na maji kama ngedere bila msaada wa Diwani wao kwa kukosa uongozi wake ambao ungezaa matunda kwa wapigakura hao kupata huduma ya barabara inayopitika.

Rai yangu kwa Dr Slaa, ondoeni mtu huyu maana ameshindwa kutekeleza ahadi zake na anakidhalilisha Chama chetu.

Slaa amuondoje kwani hakuna wananchi waliomchangua? usitumie kichwa kufuga nywele!
 
Back
Top Bottom