Elections 2010 Dr. Slaa nyanda za Juu Kusini: Songea, Iringa, Mbeya (picha na habari)

Kura kwa Dr JK? Kwa lipi hasa? Au ndio u-simba na yanga wenyewe?

Ewaaaah kwanza nina nia mathubuti juu ya hiyo familia na niko CCM,

Moja ndani ya UVCCM lazima nikafanye mapinduzi ya hali ya juu subiri utaipata habari na nitaanza na RizOne kumweka benchi na fitna ya hali ya juu maana huku nyamagana alichokuja kukileta ndicho kitakacho mgharimu 2015
 
JK siyo docta, ni mr. Alisoma shule gani kupata udokta? au ni sawa na dr. Yahya
 
Nadhani ni vema kila aliyeenda shule anayejua kuwa nchi hii inaliwa vibaya na vibaka, mabepali, mafisadi papa n.k apige kura kwa dr. Slaa. Mimi haiingii akirini kuona mtu aliyeenda shule anamchagua Jk kwa matatizo yote aliyaisababisha nchi hii? ebu fikiria wizi mkubwa uliofanyika BoT, mbuga za wanyama, sekta ya madini, shule za kata n.k. Why should you vote for this guy??? any justification??!!
 
tehetehe
na utakuta watu hawa hawa wanajitokeza kwa wagombea wa vyama vingine. na kama unavyosema haijulikani ni wangapi wana kadi za kupigia kura. ni vigumu ku judge matokeo ya uchaguzi kwa kuangalia tu umati wa watu

Well, sina uhakika sana na tathmini yako kuwa huwezi kujudge matokea kwa kuangalia crowd, na CCM pia watashindwa kukubaliana na wewe, kwani wasingekuwa wanajua umuhimu wa crowd wasingebeba watu na malori na kuwatumia wasanii kuvutia umati.

Cowd ni muhimu, ni tool mojawapo kushawishi independent voters kumpigia mtu fulani kura. Kuna independents wale ambao hawana vyama, na hawaendi kwenye mikutano ya kampeni-- kama mimi, lakini wanapiga kura. Kigezo kimojawapo ni kuangalia ni mgombea gani aliyekuwa anavuta watu wengi sana. Na atajua hayo kupitia news au magazeti, television au hata kupita karibu na eneo la mkutano.

Independent voter akiamua kwenda kwenye mkutano wa kampeni, ujue huyo maamuzi yake towards kumpigia kura huyo mgombea ni zaidi ya asilimia 50, na anaenda pale kuconfirm kama kweli anafanya decesion sahihi Akikuta crowd ni ndogo, tayari inaifluence sana decesion yake baadaye na huenda akabadili maamuzi yake ambayo alishayafanya kabla hajatokea kwenye mkutano.

Baraka Obama alikuwa anavuta crowd sio kawaida, alienda kwenye mji unaitwa Portland huko Oregon, akavuta watu karibu laki moja, hiyo ilikuwa haijawahi kutokea katika historia ya hiyo state, matokeo yake alivuta asilimia za kutosha za kura kwenye hiyo state
 
Kama si kuwadanganya wananchi ni nini,huyu fisadi hilo daraja kaliona sasa?miaka yote 5 iliyopita hakuliona!
Ningekuwa Igunga nisinge mpa kura yangu fisadi huyu hata kidogo.
 
No time for taarabu they are very attentive,but if it could be ccm too much dancing mipasho

Slaa_Songea.jpg

Angalia tofauti ya picha hizi.....[/QUOTE]
 
Go Slaa goooo.
Kura yangu tayari unayo, na hakuna swali!!!
 
Nimeona kwa tbc1 ila sasa hawa wote wana kadi ya kupigia kuraaa? Na kama hawana wamekuja kusikiliza nadhani na ndipo hapo tathimini zetu huyumba na kama wana kadi za kupiga kura je wote wataenda piga kura siku hiyoooo?

b positive man! kwa nini wasipige kura?achana na mambo ya zamani ya akina lyatonga....mwaka watu wamejiandika tena bila kukususudia kupiga kura ...wao walitaka kwa matumizi ya kitambulisho tu ila sasa wanapofundishwa elimu ya uraia kama aliyoitoa askofu kakobe watapiga kura...mimi ni mtumishi wa kampuni kubwa hapa nchini,nilienda kufungua acc bank...hwakuridhika na kitambulisho changu cha kazi ila wakadai cha kura...kitu hicho kiliwakuta wengi na maana wakaandikisha sana hasa nje ya dsm....kura zitapigwa nyingi sana mwaka huu.
tusubiri.
 
A picture is worth a thousand words. Picha hii inaonyesha wazi kwamba watu wanakuja kwenye mikutano ya Slaa kumsikiliza, na sio kusikiliza mziki kama kwenye mikutano ya CCM.

Sehemu zote za Tanzania wameichoka CCM sana! It's Slaa time!

Ni tumaini langu kwamba CHADEMA kuna Documentation Officer anayetunza vizuri hizi picha za kihistoria.
We, the people of Tanzania, are renewing our independence.
 
Slaa_Songea.jpg

Dr.Slaa in Songea

rostam_election.jpg

Kikwete in Igunga

Duh ! hizo fulana, kofia na kanga - yanikumbusha hadithi ya mpiga zumari na mapanya.
 
Utofauti mwingine wa hizi picha ni Moja ina Wanawake weingi na nyingine wanaume wengi.
 
Tofauti ya hizi picha ni kuwa hawa wa ccm wanauhakika wa kumpigia kura jk lakini picha ya pili wananchi wanamsikiza na kumpima slaa kama anachosema ndicho anachokiamini!!!!
 
Ninapata faraja kubwa ninapoona wananchi wengi namna hiyo wakimsikiliza Dr. Slaa tena kwa umakini kiasi hicho. Kinachopatia faraja ni ukweli kwamba wananchi hao wamekuja kwa hiari yao na kwa gharama yao tofauti na mafisadi ambao wanahamasisha wananchi kuhudhudhuria mikutano yao na kuwaandalia vyombo vya usafiri. Kuhusu wangapi wamejiandikisha na wangapi watenda kupiga kura, mimi hilo sina wasiwasi kwani mwamko wa wananchi hivi sasa ni mkubwa japo jitihada bado zinahitajika kuendelea kuwaelimisha. Wengi wao wanafahamu kuwa umaskni wao umechangiwa na kutokuwa makini wakati wa kuchagua viongozi. Mwaka huu mafisadi wasitarajie kuvuna sana kutokana na ufahamu mdogo wa wananchi.
 
na hakuna watoto pale wote watu wazima

safi sana dr Slaa.
 
Mwenyezi Mungu ndiye mwezesha wa yote. Walisema mwaka 2005 JK alikuwa chaguo la Mungu na kama yaliyomtokea mfalme Saulo Mwenyezi Mungu amemhama JK kwa kutomwogopa Muumba na kulibeza Neno la Mungu na sasa Mwenyezi Mungu chaguo lake ni Dr. Slaa na hakuna nguvu ya dola ambayo itashindana na matakwa ya Yule Muumba wa vyote.

Mwenyezi Mungu tupo chini ya miguu yako tunakutukuza.tunakuabudu na tunaomba utupatie kiongozi Dr. Slaa atakayetutoa kwenye minyororo ya umasikini ambayo CCM imetufunga nayo kwa takribani miaka 48 sasa.

GO DR. SLAA GO TO IKULU HII NI ZAMU YAKO
 
Nilikuwa kwenye mkutano wa Slaa songea,mkutano huu ulifanyika viwanja vya shule na msingi songea kata ya majengo.Ukweli watu walikuwa wengi na walijitokeza kwa mapenz yao na mji wote wa songea ulitetemeka.yafuatayo ni mapungufu ambayo yalitokea na km sio mapenz ya dhat ya wananchi kwa slaa na mbunge wao Edson mbogoro bac mkutano ulishaharibika.1)mikutano mingi ya slaa mkoa wa ruvuma ilivunjika jana kutokana na helikopta kukwama songea mjin kutokana na gari ambalo lilibeba mafuta lile fuso big sound kukwama njombe na kushindwa kufika songea hivyo kumlazimu slaa asafiri kwa gar toka songea had mbinga na kufanikiwa kufanya mkutano mmoja tu mbinga mjini,na mikutano zaid ya mitatu ambayo ingebid ifanyike ktk vijiji tofauti vya jimbo la mbinga magharibi haikufanyika kutokana na muda wa kusafir na gari,hali hii imewakasilisha sana wananchi wa mbinga kwa kuwa watu walifika ktk maeneo ya tukio toka hasubuh wakimsubiri dokta Slaa,hali hii pia ilitokea katika jimbo la songea mjini kulipangwa ifanyike mikutano miwili eneo la majengo na eneo la yule ya Tanga nje kidogo ya mji wa songea,lakini ulifanyika mkutano mmoja tu eneo la majengo na kuwaacha wanakijiji waliojitokeza kwa wingi katika eneo la shule ya Tanga ambao toka asubuh walikuwa wakisubiri mkutano wakilalamika kwa kuwa kilichofanyika ni kwamba dr slaa hakushuka pale,alizunguka tu na helikopta ktk eneo na kuwaomba radhi wananchi kwa kupitia kwa viongoz,lakin kwa hali halic wananchi hawakuelewa.baada ya hapo slaa alipitiliza moja kwa moja ktk viwanja vya majengo tena kwa kuchelewa.2)viwanja alivyofanya mkutano slaa hapa songea mjin vilifulika watu weng kuanzia majira ya saa saba mchana lakini cha kushangaza lile fuso la big sound halikufika na viongoz wa mkoa waliambiwa waandae mkutano wa shule ya tanga na huyu mgombea wa ubunge aliuandaa vizur kuanzia jukwaa na sound kwa ujumla,lakin huu wa majengo ulikuwa unashughulikiwa na makao makuu na waliwaambia viongoz wao wa songea kuwa big sound yan lile gar linalotumiwa km jukwaa na limebeba sound system kwamba linakuja na litatumika majengo,lakin wananch walijaa uwanjan na had saa kumi na robo gar hilo lilikuwa halijafika na uwanja ulikuwa hauna muziki wala jukwaa na waratibu wa kampen wakikaa kimya.Hal hii ilimlazimu mgombea ubunge mwanasheria edson mbogoro kunusuru haibu kwa kuleta majukwaa ya dharura kwenye majira ya saa kumi na nusu.saa kwenye maspika na vipaza sauti ndio ilikuwa balaa,yaan watu walifulika weng lakin hawasikii kitu hasa wale waliokaa mbal na jukwaa,hata dr alikuwa anaumia sana kwa kuwahutubia watu weng kupitia vipaza saut hafifu vitumikavyo kwenye magar ya matangazo.Hakika wasaidiz wa slaa sasa wanaanza kumuhujumu slaa..hizo ndizo kasoro kubwa zilizokea songea..hakika chadema tupo nyuma yenu bac jipangeni il muctuangushe.
 
wewe unadhani wale wanaosombwa na ,malori na ccm wamejiandikisha? thubutu....bora hawa wanaokuja wenyewe naamini wana lengo la kusikiliza sera ili wapige kura kwa haki
Nimeona kwa tbc1 ila sasa hawa wote wana kadi ya kupigia kuraaa? Na kama hawana wamekuja kusikiliza nadhani na ndipo hapo tathimini zetu huyumba na kama wana kadi za kupiga kura je wote wataenda piga kura siku hiyoooo?

tunashukuru kwa taarifa.............Mungu aingilie kati ili ujumbe wa kulikomboa taifa ufike kwa kila mtz kupitia dr.slaa

Nilikuwa kwenye mkutano wa Slaa songea,mkutano huu ulifanyika viwanja vya shule na msingi songea kata ya majengo.Ukweli watu walikuwa wengi na walijitokeza kwa mapenz yao na mji wote wa songea ulitetemeka.yafuatayo ni mapungufu ambayo yalitokea na km sio mapenz ya dhat ya wananchi kwa slaa na mbunge wao Edson mbogoro bac mkutano ulishaharibika.1)mikutano mingi ya slaa mkoa wa ruvuma ilivunjika jana kutokana na helikopta kukwama songea mjin kutokana na gari ambalo lilibeba mafuta lile fuso big sound kukwama njombe na kushindwa kufika songea hivyo kumlazimu slaa asafiri kwa gar toka songea had mbinga na kufanikiwa kufanya mkutano mmoja tu mbinga mjini,na mikutano zaid ya mitatu ambayo ingebid ifanyike ktk vijiji tofauti vya jimbo la mbinga magharibi haikufanyika kutokana na muda wa kusafir na gari,hali hii imewakasilisha sana wananchi wa mbinga kwa kuwa watu walifika ktk maeneo ya tukio toka hasubuh wakimsubiri dokta Slaa,hali hii pia ilitokea katika jimbo la songea mjini kulipangwa ifanyike mikutano miwili eneo la majengo na eneo la yule ya Tanga nje kidogo ya mji wa songea,lakini ulifanyika mkutano mmoja tu eneo la majengo na kuwaacha wanakijiji waliojitokeza kwa wingi katika eneo la shule ya Tanga ambao toka asubuh walikuwa wakisubiri mkutano wakilalamika kwa kuwa kilichofanyika ni kwamba dr slaa hakushuka pale,alizunguka tu na helikopta ktk eneo na kuwaomba radhi wananchi kwa kupitia kwa viongoz,lakin kwa hali halic wananchi hawakuelewa.baada ya hapo slaa alipitiliza moja kwa moja ktk viwanja vya majengo tena kwa kuchelewa.2)viwanja alivyofanya mkutano slaa hapa songea mjin vilifulika watu weng kuanzia majira ya saa saba mchana lakini cha kushangaza lile fuso la big sound halikufika na viongoz wa mkoa waliambiwa waandae mkutano wa shule ya tanga na huyu mgombea wa ubunge aliuandaa vizur kuanzia jukwaa na sound kwa ujumla,lakin huu wa majengo ulikuwa unashughulikiwa na makao makuu na waliwaambia viongoz wao wa songea kuwa big sound yan lile gar linalotumiwa km jukwaa na limebeba sound system kwamba linakuja na litatumika majengo,lakin wananch walijaa uwanjan na had saa kumi na robo gar hilo lilikuwa halijafika na uwanja ulikuwa hauna muziki wala jukwaa na waratibu wa kampen wakikaa kimya.Hal hii ilimlazimu mgombea ubunge mwanasheria edson mbogoro kunusuru haibu kwa kuleta majukwaa ya dharura kwenye majira ya saa kumi na nusu.saa kwenye maspika na vipaza sauti ndio ilikuwa balaa,yaan watu walifulika weng lakin hawasikii kitu hasa wale waliokaa mbal na jukwaa,hata dr alikuwa anaumia sana kwa kuwahutubia watu weng kupitia vipaza saut hafifu vitumikavyo kwenye magar ya matangazo.Hakika wasaidiz wa slaa sasa wanaanza kumuhujumu slaa..hizo ndizo kasoro kubwa zilizokea songea..hakika chadema tupo nyuma yenu bac jipangeni il muctuangushe.
 
mkandara

Picha ya juu askari wanachunga watu sijui wasiondoke? halafu sijui kama wanasikiliza. Picha ya pili hata askari anasikiliza sera kwa makini.

Ila kitu ambacho sikupenda ni pale watu wanapolazimishwa kuhudhuria mikutano ya CCM, kwa kweli si busara kumlazimisha mtu yeyote hata kumkodia gari haipendezi.
 
Wamekuja wenyewe hawa, je ingekuwa kuna malori ya kuwabeba ingekuwaje?
 
Back
Top Bottom