Dr Slaa: Nionyesheni hati ya muungano ili nami niutambue muungano!

CHAI CHUNGU

JF-Expert Member
Feb 20, 2012
7,113
930
Dr Willibrod slaa ameiomba serikali imuonyeshe hati ya muungano ili autambue muungano.Akiongea na waandishi wa habari leo amesema watanzania tuache unafiki na badala yake hati ya muungano inatakiwa ionyeshwe hadhali ili watanzania wa ione na kama inaitaji kufanyiwa marekebisho basi ifanyiwe.
Akimalizia mahojiano amewauliza waandishi kama kuna miongoni mwao aliyewahi kuiona hati hiyo ya muungano.

Chanzo:star tv.

Inamaana imefishwa?then why?kunani hapa???
 
ofcourse that's why wa-zenji wameamua kuivunja hii ndoa!
Bcoz wa zenji ndio wanaofaidika na huu muungano so why hawautaki?
 
Jaman c tuuvunje au kila m1 achukue 50 zake tubakie na tanganyika na wao wabakie na visiwa vya zanzibar kwan luna nn cha maana katika hili kufikia watu kulilia kuuvunja.......mm
 
Kwakuwa Kikwete hataki wananchi tuamue hatma ya muungano, sasa analazimika kutuonyesha wananchi hati ya muungano ili walau tuwe na imani kwamba muungano tulio nao sasa japo wananchi wengi hatuukubali muundo wake, kwamba una uhalali wa kisheria na kimkataba.

Hii hati ya muungano kufichwa(kama ipo) ni muendelezo wa usiri wa serikali ya ccm usiokuwa na tija yoyote kwa maslahi ya ustawi wa nchi yetu.
 
watanzania tuamke!!

tusipende kukubali na kuongea mambo ambayo hata hatuyajui

asante dr slaa kwa kutufungua macho
 
si ajabu hata kikwete hajawahi kuiona hati hiyo...kweli uongozi kazi kubwa kikwete ulikimbilia ikulu haya sasa tunaiomba hati ya muungano na hao mawaziri wako masele na Tzeba ni hovyo angalau huyo januari na hamisi....
 
Matatizo hayatatuliwi kwa kukaa kimya! Muungano ni wa kuungalia upya ili ijulikane moja ni wapi pa kuziba na wapi pa kuondoa kipande kizima. Kila anayeutetea muungano wa sasa hasemi faida waziwazi sasa kwa nini wategemee watu watakaa kimya kama majibu ni ya ujanja ujanja?
 
Hati ya muungano aijulikani iliko sasa huu ni ubwege au ufala?????????
Bora tuuvunje sasa lol!
Heko Dr.Slaa kwa kutuamsha usingizini kha!
 
Hivi wale Wazanzibari waliokwenda UN kupinga Muungano wakitaka nchi yao ijiondoe wamechukuliwa hatua gani za kisheria?

Ningeshauri hata kama Dr Slaa ataonyeshwa ule "MKATABA WA MUUNGANO" tulioona Mwalimu Nyerere na Abeid Amani Karume wakitia saini, Watanganyika sasa waulizwe kama wanauthibitisha kwa kura ya maoni au la. Kwa lugha ya Kiingereza "THERE SHOULD HAVE BEEN A PUBLIC REFERANDUM IN BOTH TANGANYIKA AND ZANZIBAR FOR THEIR RESPECTIVE CITIZENS TO ACCEPT OR REJECT THE ACT OF UNION".

In view of the doubts been expressed by both sides we can even hold the referandum NOW. It is never too late to put things right.
 
Back
Top Bottom