Dr slaa ni nani?....taifa let linahitaji uwezo wake? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dr slaa ni nani?....taifa let linahitaji uwezo wake?

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Not_Yet_Uhuru, Oct 28, 2010.

 1. Not_Yet_Uhuru

  Not_Yet_Uhuru JF-Expert Member

  #1
  Oct 28, 2010
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 1,305
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Ni Vyema sana kwa watanzania wakazingatia kuwa kiongozi wa Taifa letu anatakiwa awe na ufahamu na upeo kiasi gani na ni vipi alivyokwishaweza kujenga uwezo na mtazamo wa kijamii katika kukabiliana na hali ya sasa na hali ijayo katika ngazi ya chini, kitaifa na kimataifa.

  Ndiyo Tanzania kwa sasa inamhitaji mtu wa namna hiyo. Je Slaa analinganishwa na JK kwa JK kuweza au kuwa na ufahamu gani? si ameshajionyesha kushindwa hata kuliongoza jimbo lake dogo la Bagamoyo, sembuse nchi nzima?

  Rejea Wasifu wa Rais mtarajiwa Dr W. Slaa ulioambatanishwa, Piga kura kwake, Badilisha nchi yetu, tupate watu na viongozi makini ambao JK kadiriki kawatukana pamoja na watanzania kuwa etu ni Majuha!! Ole wake ifikapo 31 Oct atajiju kuwa ndiye alitangulia kuwa **** no.1 kabla!

  View attachment Kwa NINI DR SLAA HANA MFANO WA KUMPINGA.pdf
   
Loading...