Dr. Slaa ni Jembe

Kasheshe

JF-Expert Member
Jun 29, 2007
4,694
787
Huyu mzee namkubali... anapiga mzigo tu... kwake ni as if Afrika haina msiba Zitto kabwe Ben Saanane

Keep it up mzee... ila kuwa na kau-binadamu hata kwa mbali kidogo.

Afrika watu wanapenda kuhuzunika na kufurahi pamoja... try just to be like us!
 
Last edited by a moderator:
Timu ya kriket ya S. Africa ipo hapa nchini unataka ubinadamu gani wewe kazi ziko palepale.
 
Sijui na huyu atasingizia nini kwa akili zake hizi.. poor Kasheshe.
 
Last edited by a moderator:
Timu ya kriket ya S. Africa ipo hapa nchini unataka ubinadamu gani wewe kazi ziko palepale.
Ndio maana nimemkubali ... hahaha kuna tatizo ingawa twaweza weka vichwa kwenyemchanga lakini mmmmhhhh. Hongera @dr.slaa kiboko wa mafisadi ingawa recently chama chaco pia kimeonekana kina-dumisha mila za ufisadi...
 
Kwani leo ndio umejua?

kama hakwenda kuzika kwanini asifanye kazi? mjue akiwa rais haya mambo ya mlolongo wa public holidays ( sikukuu) na mapumziko ya Mee Ruksa Mwinyi mtayasikia kwa mbali!

Hahaha!, BEWARE you sons and daughters of TANZANIA; the real man and King is in the Making.
 
Huyu mzee namkubali... anapiga mzigo tu... kwake ni as if Afrika haina msiba Zitto kabwe Ben Saanane

Keep it up mzee... ila kuwa na kau-binadamu hata kwa mbali kidogo.

Afrika watu wanapenda kuhuzunika na kufurahi pamoja... try just to be like us!

Dr Slaa ni Jembe hakuna wa kupinga hapa labda wale mazezeta wa lumumba wenye I'd kumi kumi kila mmoja.

Dr Slaa ni kiboko ya mafisadi waTZ wote wanajua labda wale majuha wasiopenda kukubali kwa sababu ya maslahi binfsi
 
Last edited by a moderator:
Kwani leo ndio umejua?

kama hakwenda kuzika kwanini asifanye kazi? mjue akiwa rais haya mambo ya mlolongo wa public holidays ( sikukuu) na mapumziko ya Mee Ruksa Mwinyi mtayasikia kwa mbali!

Hahaha!, BEWARE you sons and daughters of TANZANIA; the real man and King is in the Making.

The only problem the King is extremely poor in leadership...But Extremely good in fingerpoint or showing wrong doing on others.
 
Huyu mzee namkubali... anapiga mzigo tu... kwake ni as if Afrika haina msiba Zitto kabwe Ben Saanane

Keep it up mzee... ila kuwa na kau-binadamu hata kwa mbali kidogo.

Afrika watu wanapenda kuhuzunika na kufurahi pamoja... try just to be like us!

Enzi hizoooo... za kiza (wakati binadamu wanaamini kutengeneza barabara ni hasara tupu kwani unyayo wa mtu hauzidi hata futi moja) ilikuwa msiba ukitokea watu wanaacha kufanya kazi na kuhuzunika kwa muda hata wa mwezi mmoja, lakini siku hizo huo ujinga hamna!
 
Dr Slaa hana mambo ya kipuuzi na kwenda kucheka cheka mbele za watu kama ------.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
The only problem the King is extremely poor in leadership...But Extremely good in fingerpoint or showing wrong doing on others.

You be the JUDGE but the FACT remains. Muhongo kaisha funga mjadala: kila kitu ni FACTS
 
Huyu mzee namkubali... anapiga mzigo tu... kwake ni as if Afrika haina msiba Zitto kabwe Ben Saanane

Keep it up mzee... ila kuwa na kau-binadamu hata kwa mbali kidogo.

Afrika watu wanapenda kuhuzunika na kufurahi pamoja... try just to be like us!

Mkuu Naona we ndie jembe Lao haswa, maaana pamoja Na huu msiba wetu we unapiga tu mzigo kwenye mitandao!
Au hapo lumumba hakuna msiba!
 
Last edited by a moderator:
Dr Slaa hana mambo ya kipuuzi na kwenda kucheka cheka mbele za watu kama ------.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums

Hii nimeipenda!!! So Nyerere and indeed our country tumepoteza muda kuwasaidia SADC country kupata uhuru. Dr. Slaa wewe jembe!
 
You be the JUDGE but the FACT remains. Muhongo kaisha funga mjadala: kila kitu ni FACTS

Kipenda roho! every body see the world different... piga mzigo Dr. Slaa our next president... at least with leadership failure record! and another selfish record ( refer: change a political party to a micro-finance/SACCO organization with restricted loaN to part leaders only)
 
hiki kibabu kinalaana ya mw.mungu na ndio maana mishipa ya aibu haifanyi kazi.

"tusaidiane kwa pamoja"
 
Kipenda roho! every body see the world different... piga mzigo Dr. Slaa our next president... at least with leadership failure record! and another selfish record ( refer: change a political party to a micro-finance/SACCO organization with restricted loaN to part leaders only)

PESSIMISM or negative minds?
 
Mtasema saaana lakini Slaa ni jembe na kasi yake kama kangarooo ni tamu lakini chungu kumeza
 
Mungu mbariki kiongozi huyu shupavu na jasiri...Heko Dr. Slaaa....Watanzania wote tunakupenda.....
 
Back
Top Bottom