Dr. Slaa ndani ya wilaya ya Urambo leo trh 14 Desemba,2013

Mulungwani

JF-Expert Member
Apr 20, 2013
457
170
Ndg wana JF baada ya Dr Slaa kutembelea wanachama na wafuasi wa mikoa ya Shinyanga na Kigoma hatimaye Dr Slaa aingia leo Wilaya ya Urambo mkoa wa Tabora na mkutano utafanyika katika viwanja vya Mwananchi squarea mishale ya saa 9 mchana kwa asubuhi Dr yuko kata ya Songambele ilipo ngome ya Samwel Sitta na baada ya mikutano ya mchana kutwa jioni kutakuwa na kikao cha ndani na wanachama wote wa Chadema wilaya ya Urambo
Hivyo karibuni sana!
 
mwa 4

JF-Expert Member
Oct 8, 2013
3,392
1,250
mkuu urambo wanalima tumbaku sana vipi mzee kaenda kuchukua nini au kaanza kufanya biashara gani tena.
 
mwa 4

JF-Expert Member
Oct 8, 2013
3,392
1,250
Ndg wana JF baada ya Dr Slaa kutembelea wanachama na wafuasi wa mikoa ya Shinyanga na Kigoma hatimaye Dr Slaa aingia leo Wilaya ya Urambo mkoa wa Tabora na mkutano utafanyika katika viwanja vya Mwananchi squarea mishale ya saa 9 mchana kwa asubuhi Dr yuko kata ya Songambele ilipo ngome ya Samwel Sitta na baada ya mikutano ya mchana kutwa jioni kutakuwa na kikao cha ndani na wanachama wote wa Chadema wilaya ya Urambo
Hivyo karibuni sana!

mkuu polisi chadema wapo make bila polisi chadema hafanyi mkutano vinginevyo mawe sana tu.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom