Dr. Slaa ndani ya Moshi Juni 25, Jumamosi na wanafunzi wa vyuo vikuu

Wanajanvi,

Jumamosi ya tarehe 25, June 2011 Dr. Slaa (PhD) atakuwa moshi kwenye kongamano la CHADEMA kwa wanafunzi wa vyuo vikuu vya moshi. Ataambatana na makamanda wengine wa CHADEMA. tafadhali tuwajulishe wanafunzi na wakazi wa moshi kujitokeza kwa wingi. *I cant wait kumsikia tena Rais wangu.

Vyuo vishiriki, MUCCoBS, KCMC, Mtakatifu STEPHANO, MWIKA, MARANGU etc..*

Mkuu kongamano hilo linafanyika ukumbi gani? Tujuze tafadhali
 
Huyu bwashee naye ivi si awaache hao madogo wapige book? mbona anataka kuwa force kuingia ktk siasa? kwa hiyo list ya vyo ulivyotaja siwezi kuvishangaa sana kwani ni vya kanisa na Slaa amejikita katika kuwagawa watanzania kwa misingi ya dini ndiyo maana yeye utafutaji kura au support ume base makanisani. we are watching all your movement
Wewe acha ulimbukeni KIKWETE huwa anafata nini sasa vyuo vya dini kama SAUTI,kama huna cha kuchangia usitugawe kwa roho yako mbaya ya udini,nyie CCM mmeshazoea kuwagawa watanzania kwa propaganda za udini ili muendelee kuwanyonya hadi kufa,hata kwa CUF Mlifanya hivyo na mkafanikiwa ila kwa CHADEMA hamtaweza.
 
Huyu bwashee naye ivi si awaache hao madogo wapige book? mbona anataka kuwa force kuingia ktk siasa? kwa hiyo list ya vyo ulivyotaja siwezi kuvishangaa sana kwani ni vya kanisa na Slaa amejikita katika kuwagawa watanzania kwa misingi ya dini ndiyo maana yeye utafutaji kura au support ume base makanisani. we are watching all your movement

Kwani siasa ni nini mpaka hao madogo wasiingie. Mbona watanzania tuna matatizo. Sisi tuliingizwa TANU youth legue tukiwa primary. Siasa ni part ya life ya kila mwananchi, unless ni mbumbumbu.
 
Samahanin wakuu,naomba kueleweshwa,moshi kuna vyuo vikuu au muanzisha thread anazungumzia college za ualimu kama marangu ttc na ile college ya ushirika!naomba kujuzwa hvo vyuo vikuu vilivyopo moshi...

hata mimi nashangaa mkuu then Kwa Marangu ttc hawapo chuoni, wapo likizo mpaka july.
 
Samahanin wakuu,naomba kueleweshwa,moshi kuna vyuo vikuu au muanzisha thread anazungumzia college za ualimu kama marangu ttc na ile college ya ushirika!naomba kujuzwa hvo vyuo vikuu vilivyopo moshi...
Kuna vyuo vikuu KCMC, Ushirika ni chuo kikuu na Mwenge university. Kuna vyuo vikuu vitatu.
 
Huyu bwashee naye ivi si awaache hao madogo wapige book? mbona anataka kuwa force kuingia ktk siasa? kwa hiyo list ya vyo ulivyotaja siwezi kuvishangaa sana kwani ni vya kanisa na Slaa amejikita katika kuwagawa watanzania kwa misingi ya dini ndiyo maana yeye utafutaji kura au support ume base makanisani. we are watching all your movement
Wewe ni dhahiri kuwa ni ***** mtozeni. Unaposema Slaa anataka kuwalazimisha wanafunzi waingie kwenye siasa unazungumziaje hekaheka za CCM vyuoni? Unaweza kutoa ushahidi wa Slaa kuwagawa watu kwa misingi ya dini? Halafu unaposema anakwenda kwenye hivyo vyuo kwa sababu ni vya Kikristo, je unaweza kutoa orodha ya vyuo vya Kiislam ambavyo mtu anaweza kuvitembelea? Ni wazi anakwenda kwenye centres of excellence na kwa kawaida hapa nchini hakuna centre yoyote ya excellence iliyo chini ya Waislam kwa hiyo hakuna cha kujadili nao. Labda muombe Lipumba akatembelee madrasa yenu.
 
Kuna vyuo vikuu KCMC, Ushirika ni chuo kikuu na Mwenge university. Kuna vyuo vikuu vitatu.

Vyuo vikuu Moshi vipo vingi: KCMC, MWENGE, MASOKA(UNIVERSITY COLLEGE OF TUMAINI), USHIRIKA(MUCCOBS), MWIKA(BISHOP STEPHANO), NA HATA MWEKA (IN PREP) NA USISAHAU CHUO KIKUU CHA POLISI MOSHI
 
Mbona hakuna aliejibu hata kidogo kesho yaani trh 25 ni siku ambayo DUCE wanadai dr atakua huko nini na nani mkweli
 
breaking news: dr slaa hatakuja moshi kuzungumza na wana vyuo vikuu kutokana na majukumu mengine mengi ya kitaifa aliyonayo.hata hivyo amepanga kuja mwezi wa tisa mwaka huu.taarifa itatolewa tena muda ukifika.
 
Huyu bwashee naye ivi si awaache hao madogo wapige book? mbona anataka kuwa force kuingia ktk siasa? kwa hiyo list ya vyo ulivyotaja siwezi kuvishangaa sana kwani ni vya kanisa na Slaa amejikita katika kuwagawa watanzania kwa misingi ya dini ndiyo maana yeye utafutaji kura au support ume base makanisani. we are watching all your movement

Upofu wa fikra ni mbaya kuliko upofu wa macho, Kuwa kibaraka kunasababisha ugando wa mawazo. Kwa mantiki yako vyuo vyenye matawi ya CDM ni vya kanisa. Fikiria Tz ukiwa kwenye jukwaa kama JF. Na vyuoni ndipo hasa pa kufanya siasa, kwasababu wanatakiwa kuwa na wigo mpana wa kufikiri na kufanya maamuzi wa pindi watakapo kuwa watendaji.
 
Huyu bwashee naye ivi si awaache hao madogo wapige book? mbona anataka kuwa force kuingia ktk siasa? kwa hiyo list ya vyo ulivyotaja siwezi kuvishangaa sana kwani ni vya kanisa na Slaa amejikita katika kuwagawa watanzania kwa misingi ya dini ndiyo maana yeye utafutaji kura au support ume base makanisani. we are watching all your movement
vilaza utawajua tu, hii 25 june itawafanya wasisome? Kwani wanayoipata kwenye kongamano siyo elimu? Hivi Dk slaa alipozungumza na wana-UDSM pale mabibo, lilikuwa kanisa? Upuuzi unawafaa wapuuzi wenzako, ni kupoteza muda hapa JF kwa unachokifanya.
 
una maana gani kusema moshi kuna vyuo vikuu.We ni mtanzania au?maana Moshi tuna vyou vikuuu Muccobs,KCMCo,Stephano Moshi.Masoka etc.Kuna sehemu nyingine tz yenye kisima cha elimu kama moshi?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom