Dr. Slaa ndani ya Moshi Juni 25, Jumamosi na wanafunzi wa vyuo vikuu

ngurati

JF-Expert Member
Feb 14, 2011
221
240
Wanajanvi,

Jumamosi ya tarehe 25, June 2011 Dr. Slaa (PhD) atakuwa moshi kwenye kongamano la CHADEMA kwa wanafunzi wa vyuo vikuu vya moshi. Ataambatana na makamanda wengine wa CHADEMA. tafadhali tuwajulishe wanafunzi na wakazi wa moshi kujitokeza kwa wingi. *I cant wait kumsikia tena Rais wangu.

Vyuo vishiriki, MUCCoBS, KCMC, Mtakatifu STEPHANO, MWIKA, MARANGU etc..*
 
ebwana hiyo Marangu ni marangu TTC au marangu chuo kipi?
 
Dah! nna ham na hyo siku usipime! naombeni jameni wenye uwezo wa kuongea na mkubwa wetu Phd SLAA, jamani asiache kuja kutusalimia Arusha! Vyuo vikuu tunamsubiri, atufikirie japo yawezekana akawa hajaiweka ratiba hii, plz plz plz mwambien!, we love that tarented person, our honorable president!
 
kwa watakaokuwa tayari kwenda huko kuna watu wana-organise usafiri utakaoanzia viwanja vya Biafra karibu na chuo kikuu Huria so ur warmly welcome to join n listen to ur Presidaaa
 
Wanajanvi,

Jumamosi ya tarehe 25, June 2011 Dr. Slaa (PhD) atakuwa moshi kwenye kongamano la CHADEMA kwa wanafunzi wa vyuo vikuu vya moshi. Ataambatana na makamanda wengine wa CHADEMA. tafadhali tuwajulishe wanafunzi na wakazi wa moshi kujitokeza kwa wingi. *I cant wait kumsikia tena Rais wangu.

Vyuo vishiriki, MUCCoBS, KCMC, Mtakatifu STEPHANO, MWIKA, MARANGU etc..*
Tusubiri maandamano kama kawa!
 
Masahihisho ni June 25, 2011. Siku ya jumamosi

Jamani kuna thread imeletwa juzi inasema Dk Slaa atakuwepo TTC Chang'ombe akifungua tawi la CDM DUCE tar 25 june 2011.Hii ya Moshi tena mbona tunachanganyana,kipi ni kipi.
 
Wanajanvi,

Jumamosi ya tarehe 25, June 2011 Dr. Slaa (PhD) atakuwa moshi kwenye kongamano la CHADEMA kwa wanafunzi wa vyuo vikuu vya moshi. Ataambatana na makamanda wengine wa CHADEMA. tafadhali tuwajulishe wanafunzi na wakazi wa moshi kujitokeza kwa wingi. *I cant wait kumsikia tena Rais wangu.

Vyuo vishiriki, MUCCoBS, KCMC, Mtakatifu STEPHANO, MWIKA, MARANGU etc..*

Huyu bwashee naye ivi si awaache hao madogo wapige book? mbona anataka kuwa force kuingia ktk siasa? kwa hiyo list ya vyo ulivyotaja siwezi kuvishangaa sana kwani ni vya kanisa na Slaa amejikita katika kuwagawa watanzania kwa misingi ya dini ndiyo maana yeye utafutaji kura au support ume base makanisani. we are watching all your movement
 
Mllio karibu naye - mwambieni akimaliza kuongea na wanafunzi VYUO VIKUU VYOTE TANZANIA - apange ratiba ya kuongea na WAFANYAKAZI wooooote TZ
 
Samahanin wakuu,naomba kueleweshwa,moshi kuna vyuo vikuu au muanzisha thread anazungumzia college za ualimu kama marangu ttc na ile college ya ushirika!naomba kujuzwa hvo vyuo vikuu vilivyopo moshi...
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom