Dr. Slaa ndani ya Manispaa ya Sumbawanga leo 1/6/2015

simaye

JF-Expert Member
Nov 5, 2010
426
214
Leo Katibu mkuu wa CHADEMA Dr.Wibrod Slaa anatarajia kuwahutubua wananchi wa Manispaa ya Sumbawanga mkoani Rukwa.

Watu wamejitokeza kwa wingi kwa ajili ya kusikia ujunbe wa kiongozi wa Chama hicho kikuu cha upinzani nchini Tanzania.

Karibuni nyote hasa wanachama wa CCM kwa ajili ya kusikia hatuba ya kiongozi huyo.

Wale wenye simu za picha naomba mpige na kuzitupia humu ndani ili watanzania waone jinsi watu wa Sumbawanga walivyo na hamasa na mapenzi ya kusikia hotuba ya Katibu mkuu wa CHADEMA

Kila la kheri wadau.
 
Good , wakati magamba wanahangaika na kutia nia CDM wanahamasisha watu kujiandikisha na hatimaye wawapigie kura ......
 
haa haa tunaomba dr. slaa awahamasishe watanzania wajiandikishe kwa ajili ya kupiga kura.
 
Huyu Babu Slaa mbona hatangazi nia ya kugombea Urais? Au anasubiri akodishe watu wa kumchukulia fomu?
 
Dr Slaa kashatangaza nia tangu 2010,, ndio maana anaamasisha wapiga kura wajiandikishe kwa wingi.... Ccm ndio wanatangaza nia kwa sababu awajulikani....
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom