Dr. Slaa ndani ya Bukoba Mjini... Kuwahutubia wapenzi wa CHADEMA na wananchi wote

Ta Muganyizi

R I P
Oct 19, 2010
5,361
2,732
Naam, kila kona ya mtaa matangazo ni makubwa, Jana baada ya Bw. Kagasheki kuhutubia wananchi hapa Bukoba mjini leo ni Dr. wa Ukweli Dr. Slaa. Watu wameshaanza kuelekea viwanja vya Uhuru kwa ajili ya kumsikiliza Dr Slaa. Hamasa ni kubwa kwelikweli.

Nitajitahidi kadri niwezavyo kuwaletea updates za kinachoendelea.............vilevile ni imani yangu dada Hoyce vilevile atatudondoshea mambo kama yuko Bukoba. Nina imani pia na wana Jf wengine walioko hapa Bukoba mjini.......kuwa tushirikiane kuwa habarisha wenzetu walioko mbali ili wajue nini kinajiri. Asanteni.

attachment.php

attachment.php


Wananchi na viongozi wa CDM mkutanoni leo Bukoba Mjini
 

Attachments

  • IMG_0155.JPG
    IMG_0155.JPG
    88.7 KB · Views: 221
  • IMG_0162.JPG
    IMG_0162.JPG
    76 KB · Views: 206
Mkuu ahsante kwa taarifa na naamini utatupatia kila kinachojiri huko bila kusahau picha kama evidence.
 
Akitoka hapo aingie na vijijini itapendeza zaidi!!

Vp mkuu mh. Kagasheki hajajiny**? Baada ya Dr kuwasili!!?

Good move Raisi ndani ya Bk leo!!!
 
Naam, kila kona ya mtaa matangazo ni makubwa, Jana baada ya Bw. Kagasheki kuhutubia wananchi hapa Bukoba mjini leo ni Dr. wa Ukweli Dr. Slaa. Watu wameshaanza kuelekea viwanja vya Uhuru kwa ajili ya kumsikiliza Dr Slaa. Hamasa ni kubwa kwelikweli.

Nitajitahidi kadri niwezavyo kuwaletea updates za kinachoendelea.............vilevile ni imani yangu dada Hoyce vilevile atatudondoshea mambo kama yuko Bukoba. Nina imani pia na wana Jf wengine walioko hapa Bukoba mjini.......kuwa tushirikiane kuwa habarisha wenzetu walioko mbali ili wajue nini kinajiri. Asanteni.

MKUU!

Kwanza asante kwa taarifa. Ki ukweli mwaka huu mtauwa WANA-MAGAMBA. Yaani CHADEMA inapiga kotekote. Haina simile kabisa. Licha ya MAGAMBA kuwa rasilimali. Nyingi zikiwa ni za dhuluma lakini kichapo kwa kwenda mbele.

Mbarikiwe wote. "CHADEMA TUNA MUNGU, WAO .................."
 
Muganyizi ucsahau vifaa vyako vya kazi najua kati ya hv unamiliki japo kimoja. Smart phone tablet na laptop au camera hakikisha unatupa vitu adimu. Viva le kagera.
 
Kwa taarifa ya wana JF Dk Slaha ameondoka leo asubuhi mapema na ndege, hivyo hatakuwapo kwenye mkutano huo wa adhara, labda tuudhurie kuwasikiliza akina Rwakatare, Shirejei na wengineo.

Tamganyizi naomba ujariobu kupepeleza mapema kuhusu hilo na tunaomba CDM wasijekusema tofauti hivyo kwani itawaondolea uhaminifu kwa wapenda ukweli, lakini nafikiri yeye alikuja kwa lengo la mikutano yake ya Karagwe sasa kwasababu Kagasheki amefanya mkutano jana wameamua kutumia njia hiyo ili Rwakatare apate watu kwani Slaha anakubalika.

Wana JF niwajulishe kuwa jana Kagasheki alizungumzia uvunjaji wa soko kuwa hautafanyika januari 15 kama hakujafanyika upembuzi yakinifu ili kujua ardhi ya eneohusika ikoje kama thamani ambayo itatoa picha ya ni soko la namna gani lijengwe.

Kitendo hicho kimeibua hisia baada ya kampuni moja kutoka Dar es salaam kuleta gari leo asubuhi kwenye soko hilo ikiwa imejaza mashine za kuchima ardhi lakini imefukuzwa na wananchi wafanyabiashara hayo nimeyaona kwenye kablog kamoja ka kandayaziwaleo.blogspot.com. Bwanamdogo ameweka picha na namba za gari pamoja na maneno ya wafanyabiashara hao fuatilia.
 
tupia picha mkuu maana watu wengine hata taarifa ya habari hatupati chombo cha habari pekee ni jamiii forums...
 
Taarifa za uhakika kwa wana JF, Dk Slaha ameondoka mapema leo asubuhi kwa ndege baada ya kuonekana akiwa safari moja na Blozi Kagasheki ambaye pia inaonekana ameelekea Dar.

Hivyo inawezakana matangazo ya kuwa Slaha atakuwa Bukoba si sahihi na inawezekana njia hiyo inatumika ili wananchi wajitokeze wengi kwakuwa Dk anakubalika si akina Rwakatare na wengineo.

Nimeona kwy kablog kamoja kuwa baada ya Kagasheki kusema soko halivunjwi mpaka wataalamu wapime ardhi hiyo kama taratibu zilivyo, leo gari aina ya FUSO iliyojaza mashine za kuchimba ardhi imeonekana sokoni wafantabiashara wameifukuza fuatilia kwenye kablog ako kandayaziwaleo.blogspot.com mtaona ni kampuni gani imeleta gari hiyo naona wametuwekea.
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom