Ta Muganyizi
R I P
- Oct 19, 2010
- 5,361
- 2,734
Naam, kila kona ya mtaa matangazo ni makubwa, Jana baada ya Bw. Kagasheki kuhutubia wananchi hapa Bukoba mjini leo ni Dr. wa Ukweli Dr. Slaa. Watu wameshaanza kuelekea viwanja vya Uhuru kwa ajili ya kumsikiliza Dr Slaa. Hamasa ni kubwa kwelikweli.
Nitajitahidi kadri niwezavyo kuwaletea updates za kinachoendelea.............vilevile ni imani yangu dada Hoyce vilevile atatudondoshea mambo kama yuko Bukoba. Nina imani pia na wana Jf wengine walioko hapa Bukoba mjini.......kuwa tushirikiane kuwa habarisha wenzetu walioko mbali ili wajue nini kinajiri. Asanteni.
Wananchi na viongozi wa CDM mkutanoni leo Bukoba Mjini