Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dr Slaa (Phd) atakuwa anakusanya nondo. Si unajua Dr wa ukweli ni mtaalam wa nondo?
Dr.Slaa ametuacha kwenye mataa, asingekwenda dodoma wakati mamillion ya wazalendo hawajui msimamo wake. We spent sleepless nights guaring election boxes, risking our own lives comfroting ccm security machinery and now he is in dodoma shaking hands with ccm thugs, the very same people who corrupted the election and physically abused us. Tulikosa usingizi na kupigwa mabomu bure! Dr. Slaa should be kind enough to talk to the people or at least apologize for not doing so. Ukimya utaondoa imani ya watu kwa huyu bwana, wapenda mageuzi wa kweli watakuja kuamini kwamba na yeye ni mbabaishaji tu kama waliomtangulia.
Siasa si UGOMVI mkuu, mambo taaratibu mpaka kitaeleweka, wewe si unaona Zanzibar, mpaka CCM imeamua ku give-up na ku share madaraka na CUF, kwa hivyo hivi sasa ni wakati wa kukusanya nguvu na kujiweka ready kwa 2015, Dr Slaa kwenda bungeni ni muhimu kwani huko ndiko atakutana na vijana wake ili awaweke sawa kwa MASHAMBULIZI.
Dr Slaa (Phd) atakuwa anakusanya nondo. Si unajua Dr wa ukweli ni mtaalam wa nondo?