Elections 2010 Dr slaa na waandishi wa habari j2

Mkombozi

JF-Expert Member
Feb 19, 2008
805
425
Wakuu,naomba mwenye sababu zozote za msingi ni kwa nini Dr Slaa hakufanya mkutano na waandishi wa habari J2 iliyopita?Tunapenda sana kumsikia Mpambanaji wetu shujaa wetu.Je lini atatuhabarisha?
 
Nafikiri ndio unaleta habari ya kikao kijacho cha Dr Slaa na wandisha
 
Dr Slaa (Phd) atakuwa anakusanya nondo. Si unajua Dr wa ukweli ni mtaalam wa nondo?
 
Rais wetu bado anakusanya data kiuhakika zaidi si unajua msomi yule hakurupuki km mkwere!
 
Dr Slaa (Phd) atakuwa anakusanya nondo. Si unajua Dr wa ukweli ni mtaalam wa nondo?

kuna watu wa karibu nae wanasema yeye angeweza kuongea na watu lakini anahofu ya kuwa nchi inaweza kukosa utulivu na asingependa kuona nchi anayoipenda ambayo mbali na kushinda lakini amemwachia jk inatikisika
 
Inasadikiwa wengi wa waandishi wa habari walihudhuria pale walikuwa UWT hivyo akaghairi.
 
Dr.Slaa ametuacha kwenye mataa, asingekwenda dodoma wakati mamillion ya wazalendo hawajui msimamo wake. We spent sleepless nights guaring election boxes, risking our own lives comfroting ccm security machinery and now he is in dodoma shaking hands with ccm thugs, the very same people who corrupted the election and physically abused us. Tulikosa usingizi na kupigwa mabomu bure! Dr. Slaa should be kind enough to talk to the people or at least apologize for not doing so. Ukimya utaondoa imani ya watu kwa huyu bwana, wapenda mageuzi wa kweli watakuja kuamini kwamba na yeye ni mbabaishaji tu kama waliomtangulia.
 
source: uwazi tarehe 9 nov 2010
dr. aliwaita waandishi wa habari kwenye ofisi za chadema, gazeti linasema walikuwa waandishi wengi akachezwa na machale kuwa amezingirwa na usalama wa taifa, hivyo hakuweza kufanya mazungumzo aliamua kuahirisha na kusema atamuita mwandishi mmoja mmoja akijirithisha. thats it ila sikupenda front page ya hilo gazeti la udaku
 
ni very simple Slaa anaongea kwa evidence, so no reach no ryt to speak.....wen he finish his reach he will speak kaka
 
Dr.Slaa ametuacha kwenye mataa, asingekwenda dodoma wakati mamillion ya wazalendo hawajui msimamo wake. We spent sleepless nights guaring election boxes, risking our own lives comfroting ccm security machinery and now he is in dodoma shaking hands with ccm thugs, the very same people who corrupted the election and physically abused us. Tulikosa usingizi na kupigwa mabomu bure! Dr. Slaa should be kind enough to talk to the people or at least apologize for not doing so. Ukimya utaondoa imani ya watu kwa huyu bwana, wapenda mageuzi wa kweli watakuja kuamini kwamba na yeye ni mbabaishaji tu kama waliomtangulia.

Siasa si UGOMVI mkuu, mambo taaratibu mpaka kitaeleweka, wewe si unaona Zanzibar, mpaka CCM imeamua ku give-up na ku share madaraka na CUF, kwa hivyo hivi sasa ni wakati wa kukusanya nguvu na kujiweka ready kwa 2015, Dr Slaa kwenda bungeni ni muhimu kwani huko ndiko atakutana na vijana wake ili awaweke sawa kwa MASHAMBULIZI.
 
pole pole ndo mwendo au siyo? Lakini awe makini inaweza kuwa too little too late! Ukweli ni kwamba Dr. Slaa hataweza kuimarisha chama wala upinzani bila kufanya mawasiliano na supporters wake. CUF zanzibar walikuwa na mawasiliano ya uhakika kupitia nyumba za ibada, baadhi ya watu walizuiliwa kuabudu ndani ya baadhi ya misikiti kutokana na misimamo yao ya kisiasa. Chadema siyo chama cha kidini, hawawezi kuwasiliana chini kwa chini kama CUF kupitia kwenye nyumba za ibada, mawasiliano yao ni hadharani kupitia vyombo vya habari. Bila mawasiliano hakuna umoja wala effective strategy. Wote tunajua ukiritimba wa ccm, hivi sasa huwezi kujua inawatenda vipi huko vijijini walioipigia kura chadema ambao kwa uelewa wa ki ccm wanaitwa "watu wa viherehere" Kama Dr. Slaa ataendelea kukaa kimya atakuwa amewasaliti hao wanyonge na hatima yao itabaki mikononi mwa ccm na huo ndo utakuwa mwisho wa chadema vijijini.
 
kweli lazima aandae Thesis na dessertation ili akiingia Habari kila mtu anamheshimu,Dr huwa hana haraka hivyo hatuna budi kumsubiri kidogo amalizie kuandaa nondo zake.
Dr Slaa (Phd) atakuwa anakusanya nondo. Si unajua Dr wa ukweli ni mtaalam wa nondo?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom